ukristo

  1. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Redio maria acheni udini, nyie kutwa kutwa mambo ya dini ya ukristo na kwaya tu?

    Radio maria acheni udini aisee mnazingua aisee Tanzania kuna dini kubwa mbili aisee sasa kwanini kila siku nyie mnaizungumzia dini moja tu ya ukristo? Ili hali nyie ni radio tu kila mtu anapaswa kuisikiliza sio kubase kwenye dini moja tu aisee mnakera sana aisee Mtanirekebisha kama ni radio ya...
  2. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Ukristo una miaka mingi ila ushawahi kusikia nchi inaitwa "The christian Republic of so and so"?

    Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating. Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu. Lina fukuza watu wasio wa kundi lao katika jamii zao ila jamii zao ziikishia kupata kash kash ziletazwo na watu wa kundi lao...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Dunia inapoelekea sijui miaka ijayo ukristo utakuwa na hali gani

    Kila kitu kinachofanywa kwenye makanisa hakuna mpango na kumtukuza Mungu Bali ni mipango ya kibiashara kupata pesa..kwanzia mahubiri yanalenga pesa ,nyimbo ndo usiseme ni zaid ya bongo flavor
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini harakati za kumjua Mungu kupitia Ukristo na Uislamu zimeambatana na vurugu na mateso yasiyoisha?!

    Habarini! Hongereni kwa michango yenu kabambe inayoendelea humu ingawa mingi yenu, haswa siku hizi, imeathirika mno kwa itikadi za kisiasa na dini. Nimeona hii iwe mada yangu ya kwanza kabisa tangu nijiunge humu. Nawaomba muishiriki ipasavyo na kunipatia michango yenu🙏🙏 Kama kichwa Cha habari...
  5. Jagwanana

    JamiiForums Tanzania Ukristo ni kutukuza utamaduni wa watu weupe, tujitafakari sana

    Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite. Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Dini iliokuwa haijapitia misuko misuko ya Kisiasa- hii hapa kwa ndugu zetu Wakiristo

    Ndugu wadau. JamiiForums ni sehemu nziri ya Kupata elimu- Tuangalie misuko suko waliopitia ndugu zetu wa dini ya kikiristo. Vita vya madhehebu ya Kikristo vinahusisha migogoro na mapambano kati ya makundi mbalimbali ya Wakristo wenye imani tofauti ndani ya Ukristo. Hapa chini ni mifano ya vita...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakristo tunaamini Israel ni taifa la Mungu wetu huku Waisrael hawamuamini Yesu wala dini ya ukristo?

    Waisraeli si wakrsito, na hadharani Wayahudi wanamkana Yesu Kristo kwamba hawamtambui wanamuona ni tapeli tu. Na hata mafundisho yake hawayafati. Agano jipya la biblia kwao hawalitambui. Na mafundisho yote ya yesu hawayatambui. Je, ni kwanamna gani taifa lilokataa Ukiristo likawa taifa la...
  8. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Naomba nieleweshwe kwenye ukristo! Kwahiyo akikaribia kufa na akaomba sala ya toba haendi motoni?

    Naomba nieleweshwe kabisa maana leo wakati nipo na washikaji tunapiga story nikaambiwa na hawa watu wakristo ya kwamba hata kama mtu amefanya mabaya sana kama vile amefanya mauaji kama yale ya akina ben saa nane,azory gwanda na akwalina au yale mauaji ya zanzibar akiombewa kwa sala ya toba eti...
  9. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Si sahihi kuwaita watumishi wezi kwani wanaotoa sadaka hutoa kwa hiari yao bila kulazimishwa

    Mimi nikiwa mkristo huru na ninaeheshimu haki na uhuru wa watu kuabudu ! Kutoa sadaka kwa mujibu wa Imani zao kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote ,kwenda kuhudhuria makongamano na mikutano mikubwa na midogo kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote nipo kinyume na dhana ya kuwaita...
  10. SILLENT KILLER 2

    JamiiForums Tanzania Umejiandaaje na uwepo wa Anti-Christ

    Kuna hii kitu ambayo inaitwa Anti Christ. Kitu hii kweli mbona inakuja kwa kasi sana wakuu nyie mmejiandaaje?
  11. Brojust

    JamiiForums Tanzania Licha ya Baadhi ya vifungu vya biblia lakini mimi nilipendezwa sana na baadhi ya mifano hai ya watu waliojaaliwa vipawa mbali mbali katika imani hapa

    Salaam Jamiiforum Leo naomba kushare kitu fulani ambacho naamini kitatupa experience kubwa kwa sisi vijana wa kileo kutoka kwenu wana jamiiforum wakongwe na ambao mnajua mambo mengi kwenye nchi yetu hii ya Tanzania. Yapata wiki sasa imepita nilikuwa nahudhuria semina ya Askofu. Mkama wa...
  12. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

    Wataalamu wa dini mje hapa? Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu? Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan Abraham—Isack —-Yakobo (Israel)——Yesu) Wakati ALLAH alijifunua kwa waarabu uzao wa mtoto wa nje ya...
  13. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Sifa za Manabii wa uongo

    1. Wanajali zana pesa kuliko kumtumikia Mungu. 2. Wanaamini Yesu sio Mungu. 3. WANA MADHABAHU ZAO, hata maombi wanaomba kwa madhabahu ya mtumishi huo, sio kwa Jina la Yesu, wanaamini madhabahu yao ina nguvu, kumbe Nguvu zetu zinapaswa zitokane na Roho. 4. Injili zao muda mwingi ni za miujiza...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanne wamcharaza mwanamke viboko kisa dini

    Swali ambalo huwa najiuliza, hivi ufanye huu ukatili wote halafu hatimaye uje kugundua huyo "mungu" unayemuadu kumbe siye. Njemba nne zilizoshiba zinamchangia mwanamke mmoja na kumcharaza kisa dini Hizi laana zitakuja kuwatafuna brazaj === Ujumbe: Video imeondolewa.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania na nchi za Afrika zilizojaa wakristo zina uhuru wa imani, Nchi za kiislam zinanyanyasa wakristo, Penye wakristo wengi pana amani ya imani

    Na sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya waislam huongezeka kwa kasi ya ajabu sababu imani zingine hupitia manyanyaso makali, vitisho mpaka...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

    Dhana ya Haki na Uhuru wa Kuabudu JE NI HAKI KWA WATENDAJI WA SERIKALI KULAZIMISHA RAIA AU WATUMISHI WA UMMA KUISHI BILA DINI AU KUZUIA UHURU NA HAKI YA KUABUDU WAKIWA KTK OFISI ZA UMMA? Kwa ufupi Serikali haina haki ya kuzuia haki na uhuru wa watu kuabudu na kuwang'anya haki yao ya kuwa...
  17. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Chama cha wasio waislam wala wakristo kinahitajika

    Wadau mimi nimekuwa atheist kwa miaka 20, sasa nikiwa mdau mkubwa sayansi technology and fact, scientific theories. Nimekua nikiiona huruma sana jinsi dini ya ukristo inavusambaa kwa kasi na watu kuamini vitu potofu na wachungaji kuwadanganya waumini. Waislam wao muda wote kuwaza fujo na...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Vita vya Palestine na Israel ni vita ya kugombania Ardhi na mipaka yao kwa miaka maelfu Kabla ya ukristo na uislam, ni ujinga kudhani nivita ya kidini

    Wakuu kwa kifupi Vita ya Israel na Palestine ni ya Karne nyingi zilizopita kabla ya ukristo na dini nyingine Na kinachagombaniwa siku zote ni maslahi ya hayo mataifa mawili Na historia inaonyesha Kuna kipindi Israel inapigwa na kutaliwa na Palestine haswa pale wanapomwasi Mungu wao Na pia Kuna...
  19. Mshamba wa kusini

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba mnieleweshe concept ya Mungu katika ukristo

    Habari 1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu 2. Wengine wanasema Mungu mmoja 3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu sana YESU kuliko huyu Mungu Baba Lengo ni kuelewa kipi ni kipi maana naona kama wanatofautiana sana...
  20. Pearce

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa JF nisaidieni Kuwaelewa hawa wadada

    Kuna wanawake wawili niliwahi kuwatokea wakati huo kwa kipindi tofautitofauti wakati nikiwa single sababu niliona ni watu sahihi 1.Nilimwambia dhamira yangu kweli aliniambia kwamba ana mtu wake, na alibaki na msimamo huo basi nikapunguza mawasiliano lakini tangu wakati huo lazima atanitafuta...
Back
Top Bottom