Utafiti umefanywa na kituo cha utafiti cha Pew.
https://youtu.be/BW2vSfYCpH8?si=n9QBPY-e4wkvzRtY
Idadi ya waislamu imeongezeka kwa wafuasi milioni 347, ikizishinda dini nyingine zote kwa pamoja. Ukuaji wa uislamu umepanda kwa 25.6%. Sasa kuna wakristo bilioni 2.3 na waislamu bilioni 2. Zaidi...
Kwa mujibu wa Biblia Takatifu, Kuua, Kubaka, Kulawiti na kuonea watu ni dhambi.
Kama nchi yetu imefikia hatua Makanisa yanafungiwa kwa kukemea dhambi kwa mujibu wa Biblia basi tukubaliane kuwa Ukristo unashambuliwa rasmi nchini Tanzania.
Huu ni wakati Wakristo wa Tanzania wanapaswa kusimama...
Hamjambo!
Falsafa ya Yesu ni Mungu katika Ukristo haipo katika personality na ID. Wakristo huamini Yesu ni Mungu sio kwa sababu Mungu ni Mtu au alizaliwa na binadamu.
Uungu wa Kristo ni umoja wao katika baadhi ya Majukumu na utendaji.
Kwa wasioelewa, nitawapa Mfano rahisi,
Mwanamke na...
Baada ya kusulubiwa kwa Yesu wa Nazareti mnamo mwaka 30.Ad harakati aliyoanzisha iliendelea ndani ya mfumo wa Uyahudi wa Hekalu la Pili. Wafuasi wake wa awali, ambao walikuwa Wayahudi, walimwona kama Masihi aliyesubiriwa kwa muda mrefu lakini bado walizingatia Torati na imani ya Mungu mmoja ya...
Leo nimemsikiliza Fr kitima anasema Mungu lazima ajibu na at the same time Gwajima naye anasema Mungu hawezi kunyamazishwa.
It is as if kuna vita ya kidini ukiangalia kwa macho makaliwith 3D na kwa critical thinkers pekee.
Sasa ngoja tuone kati ya Mungu wa wislam na Mungu wa wakristo ni Mungu...
In short m sijihusishi na dini yoyote hapo juu kuna ile kasumba ya wafasi kujiona wao bora na kuwaita wenzao majina yasio faa.
Mnakosea sana kwa mtazamo wangu usije kumvunjia vyungu vya uchawi mtu angalia pita hivi sababu vinamnufaisha yeye sasa kumuona mwenzako pepo ni hakili ndogo tu
Mimi...
Mbingu ya saba” si tu mahali angani bali ni hali ya juu kabisa ya fahamu, uelewa, na muunganiko na Mungu/Nguvu ya Juu.
Katika mafundisho ya dini na mila nyingi:
Mbingu ya kwanza hadi ya sita ni viwango vya uumbaji na uhai wa kiroho.
Mbingu ya saba ni ya juu zaidi, iliyojaa mwanga, hekima, na...
Ukitaka uielewe science kiundani sana basi kuwa msomaji wa biblia huyo aliyesema science na dini hasa ya ukristo havina uhusiano alitukosea sana sisi wanadamu ni wa kulaaniwa
Kama dunia inge-embrace hii partnership basi tungekuwa mbali sana tuko nyuma sana kimaendeleo kwenye nyanja nyingi kwa...
Hatimaye BBC wameokoteza habari kuonesha kwamba hata bara la Afrika lilishawahi kutoa papa. Hii inaua hoja kwamba, safari hii Papa atoke Afrika. Ikiibuka hoja ya kutaka Papa Mweusi, tutasema huo ni ubaguzi wa rangi katika dini!
Habari kamili;
Afrika Kaskazini ambayo wengi wao ni Waislamu...
📊 MAKADIRIO YA VIFO VYA VITA KWA KUZINGATIA DINI ZA KITAIFA (Nchi zenye Wakristo wengi vs Waislamu wengi)
✅ 1. Nchi zenye Wakristo WENGI (Christian-majority countries):
Vita vikubwa vilivyotokea kutoka nchi hizi ni:
WWI (1914–1918)
WWII (1939–1945)
Vita vya ukoloni Afrika na Asia
Vita vya...
Huu ni unafiki nkubwa na ujinga uliopitiliza linapokuja swala la mkristo kufungishwa ndoa na viongozi wa dini ambao wao wamekatazwa kuoa na hawana ndoa wala uzoefu wa ndoa.
Kufungishwa ndoa na kushauliwa maswala ya ndoa na padri asiye na mke ni ukichaa kwani hana uzofu kwa hiyo hapa ni kupigana...
Kwa hivyo hii ina uhusiano gani na Ukristo barani Afrika? Wamishonari wa kwanza wa Kikristo barani Afrika walikuwa na silaha na vitu vitatu BUNDUKI yenye nguvu ya mabwana wa wakoloni ,muujiza wa DAWA za kisasa (wakati huo) na BIBLIA.
Wamishonari wengi wa kwanza walikuja kama madaktari na...
Yohana 5:30
Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo; na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenipeleka.
Na haya ndio maneno aliyoambiwa ayaseme
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa...
Je unajua nguvu ya manabii, wachungaji, mitume, waalimu na wainjilisti wa uongo inatoka wapi?
Si kwingine zaidi ya kwa wakristo wa uongo!..
Labda utajiuliza wakristo wa uongo ni wapi?
Wakristo wa uongo ni wale wenye majina ya kikristo, na madhehebu ya kikristo, na wenye kukiri ukristo lakini...
Kama wazungu walipingana ktk ukristo i.e: Rc,Anglican,Protestants,Sabatho,Moravian,Lutheran nk kwanini sisi WAAFRIKA tusiupinge ukristo?
Hivi kama ukristo ingekuwa ni dini ya kweli wazungu wenyewe wangepinga kwa kuanzisha madhehebu tofauti?
Na kwanini ktk madhehebu ya kikristo hakuna hata...
Ukristo ni dini ambayo imeshazoeleka kutaniwa na kufanyiwa mizaha ila ni ngumu kusikia kelele wakilalamika, nashangaa wakristo wa hapa bongo wakilalamika utani wa Mwijaku
Imeshazoeleka kushoot video za bongo flava makanisani, watu kucheza amapiano na bolingo kwenye gospel, mabinti kuingia...
Habarini,
Ni kiasi cha kufikiri kidogo tu na wala haihitaji nguvu nyingi au muda mwingi juu ya ukweli.
Kama waarabu wanatuuzia mafuta kwa bei kubwa na waliwauza WAAFRIKA kama bidhaa hivi kweli mtu mwenye akili zako unaweza kusimama na kupiga kelele kuwa watakupeleka mbinguni?
Kama wazungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.