Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesema kuwa Mazungumzo ya Amani na Ukraine yataendelea, huku akionya kuwa hatari ya Vita ya Tatu ya Dunia ni kubwa na haiwezi kudharauliwa
Lavrov amemshutumu Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky kwa kujifanya anataka majadiliano. Pia, amekosoa...