Wanajeshi wawili wastaafu wa Marekan ambao walikuwa Nchini Ukraine wakipigana vita dhidi ya Urusi hawajulikani walipo na inahofiwa wametekwa na wanajeshi wa Urusi.
Alexander Drueke, 39, na Andy Huynh, 27 mara ya mwisho walionekana katika Mji wa Kharkiv, Juni 8, 2022. Familia za wahusika hao...
Kufuatia uvamizi wa kijeshi wa Urusi nchini Ukraine, nchi mbili za nchi za Skandinavia yaani Nordic zisizoegemea upande wowote, Finland na Sweden, zilibadili sera zao na kuomba kujiunga na muungano wa kijeshi wa NATO.
Kwa baadhi ya wachambuzi, uamuzi wa Finland na Uswidi ni "janga" kwa Moscow...
Awali ya yote natangaza wazi kwamba mimi ninaiunga mkono Urusi.
Hata hivyo, kwa mtu yeyote ambaye amefuatilia hii vita, hitimisho iko wazi. Urusi pamoja na kuchukua muda mrefu kukamilisha malengo yake tofauti na wengi tulivyodhani ukizingatia uwezo wa Urusi kijeshi, bado ushindi upo kwake...
Mwanajeshi huyo aliyeenda pamoja na Sniper Wali anasema ilikuwa ni majanga matupu...ilikuwa kila siku rafiki zake wanajeshi wa kigeni wanauawa...yeye akaamua kuachana na kwenda front line.
Anasema ktk tukio moja akiwa na sniper Wali wakijitia kujificha kwenye nyumba moja ili kuwalia timing...
Mexico’s president slammed NATO’s policy on the Russian invasion of Ukraine on Monday, calling it “immoral.”
President Andrés Manuel López Obrador’s did not mention NATO or the United States by name, but his comments were the latest example of his party's ambiguous stance on the invasion...
Agenda ya nchi za Magharibi kuidhoofisha urusi kwa kuitumia ukraine hasa ilianza tangu mwaka 2014 baada ya kumpindua Rais aliyekuwa wa mlengo wa Urusi.
Tangu wakati huo nchi za Magharibi zimekuwa zikiipa Ukraine silaha na mafunzo ya kijeshi ili hatimaye ukraine itiwe kiburi kukataa makubaliano...
Caroline Nassoro
Janga la COVID-19 limekuwa na athari kubwa kwa uchumi wa nchi mbalimbali duniani, kwani katika kudhibiti maambukizi, hatua kadhaa za lazima zilichukuliwa, ikiwemo kufunga shughuli za biashara na kijamii, jambo lilivuruga mwelekeo wa uchumi wa nchi mbalimbali na dunia kwa...
Kikosi cha Urusi kimefanya mashambulizi makubwa Nchini Ukraine na kusababisha uharibifu mkubwa katika ghala ya silaha kutoka Marekani na Nchi za Ulaya.
Mashambulizi yamefanyika katika Mji wa Ternopil baada ya mapambano ya saa kadhaa katika Mji wa Sievierodonetsk.
Serikali ya Ternopil imesema...
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya (EU), Ursula von der Leyen amewasili Ukraine, leo Juni 11, 2022 kwa ajili ya mazungumzo ya taifa hilo kuelekea kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya, ikielezwa kuwa hatima yake itajulikana wiki ijayo.
Von der Leyen amepanga kuwa na mazungumzo na Rais wa...
Wanasayansi wanasema mvua katika Mji wa Mariupol inaweza kusababisha mlipuko wa kipindupindu kutokana na Mifumo ya maji kuharibiwa kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya Ukraine na Urusi
Meya wa Mji huo, Vadym Boichenko amesema mbali na Mifumo ya Maji kuharibiwa, maji katika baadhi ya...
Kwa mara ya pili baada ya wiki mbili, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alitembelea ngome za jeshi kwenye mstari wa mbele - kwanza katika mkoa wa Kharkiv, na sasa katika sehemu hatari zaidi za mkoa wa Donbass na Zaporizhia. Wataalamu wa Ukraine na nje ya nchi wana hakika kwamba, licha ya...
Serikali ya Urusi na ya Uturuki zilifanya kikao maalum kwa ajili ya kupata njia ya kusafirisha nafaka kupitia bahari nyeusi eneo ambalo limewekewa milipuko na Serikali ya Ukraine ili kujilinda na mashambaulizi ya Urusi.
Ukrain imepandikiza milipuko katika bandari za Mikolaev na Odesa ambazo...
Imeelezwa kuwa Urusi imekabidhi maiti 210 za wapiganaji wa Ukraine, ambao wengi wao walifariki wakati wa mapigano walipokuwa wakilinda Mji wa Mariupol dhidi ya Wanajeshi wa Urusi
Asilimia kubwa walifariki wakati walipokuwa wamezuiwa katika kiwanda cha chuma cha Azovstal kwa wiki kadhaa wakati...
"Marekani kutoa sheria inayolenga kuziadhibu nchi za Afrika ‘zinazofungamana’ na Russia." Hiki ni kichwa cha makala moja iliyochapishwa hivi karibuni katika gazeti la Nigeria Premium Times. Wakati huohuo, Gazeti la Daily Maverick nchini Afrika Kusini pia lilionya kuwa sheria hiyo inaweza...
Jean Caude Sangwa Raia wa DRC aliyekuwa akiendelea na masomo nchini Ukraine ameamua kujiunga na wapiganaji wa Ukraine wanaomuunga mkono Putin. Hongera Comrade Kangwa
FUATILIA HAPA
The Congolese student fighting with pro-Russia separatists in Ukraine
Fighting alongside pro-Russia separatists...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amepata pigo baada ya kumpoteza jenerali wa 11 katika mapambano dhidi ya Ukraine, aliyefariki ni Meja Jenerali Roman Kutuzov.
Inaelezwa gari lake lilishambuliwa wakati wa mapigano katika Mji wa Donbas. Kinatajwa kuwa kifo cha juu zaidi kwa waliofariki katika...
Rais Vladimir Putin amekosoa Mataifa ya Magharibi yanayoendelea kuipatia Ukraine silaha, akisema yanalenga kuendeleza Vita kati ya Urusi na Taifa hilo
Amesisitiza kuwa, kupeleka silaha hizo hakubadilishi hali ya Jeshi la Ukraine. Viongozi wa Urusi wamekuwa wakionya uamuzi wa Marekani kuipatia...
1. Atoa onyo kwamba watayateketeza.
2. Nchi yoyote itakayojiingiza moja kwa moja na kutishia usalama wa Russia itapewa majibu ya haraka na mazito.
3. Asema wana silaha ambazo hakuna nchi yoyote duniani wanazo kwa sasa na watazitumia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.