ukraine

  1. EINSTEIN112

    15 wauawa kwa kufukiwa na vifusi vya ghorofa lililoshambuliwa na Urusi mashariki mwa Ukraine

    Takriban watu 15 wameuawa na wengine takriban 20 wanahofiwa kufukiwa na vifusi baada ya roketi za Urusi kushambulia jengo la ghorofa huko Chasiv Yar, mji ulioko mashariki mwa Ukraine, maafisa wanasema. Waathiriwa watano wamefanikiwa kuokolewa wakiwa hai. Idadi ya waliofariki ilitolewa na afisa...
  2. S

    Ukraine: Iron Dome ya Israel haiwezi mudu kuzuia makombora ya Urusi, Iron Dome imeundwa kuzuia makombora dhaifu yatengenezwayo gereji kwa tech duni

    Waziri wa Ulinzi wa Ukraine amesema kuwa mfumo wa Ulinzi wa anga wa Israel maarufu kwa jina la Iron Dome hauwezi kuhimili kuzuia makombora ya Urusi nchini Ukraine. Waziri huyo aliyeshuhudia na kutesti nguvu ya makombora ya Urusi anasema kuwa mfumo huo wa Iron Dome umeundwa kwa ajili ya kuzuia...
  3. EINSTEIN112

    15 wauawa kwa kufukiwa na vifusi vya ghorofa lililoshambuliwa na Urusi mashariki mwa Ukraine

    Takriban watu 15 wameuawa na wengine takriban 20 wanahofiwa kufukiwa na vifusi baada ya roketi za Urusi kushambulia jengo la ghorofa huko Chasiv Yar, mji ulioko mashariki mwa Ukraine, maafisa wanasema. Waathiriwa watano wamefanikiwa kuokolewa wakiwa hai. Idadi ya waliofariki ilitolewa na afisa...
  4. JanguKamaJangu

    Rais wa Ukraine amuondoa balozi wao Ujerumani baada ya kauli yenye utata

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy amemuondoa Balozi wa taifa lake Nchini Ujerumani, Andriy Melnyk siku chache baada ya kutoa kauli yenye utata. Pamoja na kusema kuwa hayo ni mabadiliko ya kawaida lakini balozi wao wa Ujerumani hivi karibuni alinukuliwa akiishutumu Serikali ya taifa hilo kwa...
  5. Gama

    Ukraine yadai Urusi imetumia makombora ya sumu (phosphorus)

    Mamlaka za Ukraine zimesema kuwa majeshi ya Urusi yamekuwa yakitumia kemikali aina ya Phosphorus kufanya mashambulizi katika maeneo kadhaa ya mapambano. Kemikali hiyo ikiwa imechanganywa na mpira huwaka na kutoa moshi mweupe na joto kali. My take: majeshi ya urusi yametumwa kupunguza uwingi wa...
  6. EINSTEIN112

    Ndegevita za Urusi zalipua maghala ya silaha za Ukraine

    Vikosi vya anga vya Urusi vimeharibu vituo vya muda vya kuweka silaha na maghala ya risasi karibu na mji wa Artemovsk huko Donetsk, Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilisema hapo jana ( Alhamisi). Hadi wafanyikazi 350 wa Ukraine na magari 20 ya kivita yaligongwa kwenye eneo hilo, kulingana na wizara...
  7. EINSTEIN112

    Putin azidhibiti nchi za Magharibi kuingilia vita nchini Ukraine

    Rais Vladimir Putin ametoa hotuba kali kwa wabunge la Urusi, akithubutu nchi za Magharibi kujaribu kupambana na Moscow kwenye uwanja wa vita nchini Ukraine . "Unaweza kusema nini, waache wajaribu," alisema kwa sauti. Kiongozi huyo wa Urusi pia alidai kuwa upande wake ulikuwa umeanza...
  8. YEHODAYA

    Russian businesses in the U.S. face backlash over war in Ukraine

    Russian businesses in the U.S. face backlash over war in Ukraine “We’ve had people call and say they would bomb us,” the owner of a Russian restaurant in California said. A window of the Russia House in Washington was boarded up last week after it was vandalized. A window of the Russia House in...
  9. EINSTEIN112

    Model who joined Ukraine army as ‘elite sniper’ is killed in Russian air strike

    Binti murembo sniper wa Brazil katandikwa na mashambulizi ya anga ya Russia. Huu MZIKI WALI Canadian Elite sniper aliukimbia halafu karembo kanaenda eti kuongeza CV😅😅😅😅 Nb: chombo kilichoripoti ni cha UK kwaio usije na porojo za kunihoji mimi 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇 An elite sniper and former...
  10. EINSTEIN112

    Urusi yatangaza kuharibiwa kwa makombora ya Marekani nchini Ukraine

    Wizara ya Ulinzi ya Urusi siku ya Jumatano imetangaza uharibifu uliofanywa na wanajeshi wa Urusi wa makombora mawili ya HIMARS MLRS ya Marekani huko Donbass. Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Urusi Luteni-Jenerali Igor Konashenkov alisema makombora hayo yaliyotengenezwa na Marekani ya HIMARS na...
  11. Gama

    Urusi: Wasiopenda uvamizi wa Ukraine hawapendwi

    Tangu uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukrain uanze kumekuwepo baadhi ya watu ambao wamekuwa wakionja madhira ya kujitanabaisha kutofurahishwa na uvamizi huo. Wale wanaodhibitika kufanya hivyo wamekuwa wakipata taaabu mbalimbali ikiwemo kuripotiwa kwa polisi na kisha kuhojiwa. Hakuna mtu aliyehukumiwa...
  12. Gama

    BBC: Putin hakutarajia haya yatafanyika alipoivamia Ukraine

    Putin hakutarajia haya yatafanyika alipoivamia Ukraine CHANZO CHA PICHA, REUTERS Tarehe 24 Februari 2022, Urusi iliivamia Ukraine katika hatua iliyozidisha mzozo wake nan chi hiyo Jirani tangu kuanza kwa usahama mwaka wa 2014 Uvamizi huo ulisababisha mzozo mkubwa zaidi wa wakimbizi barani...
  13. M

    Mabeberu wameshaanza kupigana vikumbo wakipigania fursa ya kuijenga upya Ukraine baada ya vita: Wanajua pesa ipo-ile iliyozuiwa ya Urusi na Warusi!

    Mabeberu hawana kabisa mshipa wa aibu hata kidogo!! Wakati ikraine inaambulia kipigo kikali toka kwa urusi na watu wengi wanauawa, mawazo ya mabeberu sasa hivi ni kupigania fursa ya kuijenga upya ukraine baada ya vita. Hao ndio mabeberu!! Poland iliyokuwa inajitia kimbelembele imeanza kulalamika...
  14. EINSTEIN112

    Ukraine confirms it has lost eastern city to Russia in bitter defeat

    After heavy fighting for Lysychansk, the defence forces of Ukraine were forced to withdraw from their occupied positions and lines,’ the army general staff said. Earlier Moscow claimed it had taken control of the Luhansk region in its entirety. If confirmed by Kyiv, the development would mark...
  15. beth

    Ukraine: Vikosi vya Urusi vyadhibiti eneo la Lysychansk

    Jeshi limethibitisha kuondoka katika Mji wa Mashariki wa Lysychansk unaoripotiwa kuwa mikononi mwa Wanajeshi wa Urusi. Rais Volodymyr Zelensky amesema Vikosi vya Ukraine vitarejea, na silaha za masafa marefu zitawawezesha kudhibiti eneo hilo Awali, Waziri wa Ulinzi wa Urusi, Sergei Shoigu...
  16. Yoda

    Historia chungu ya maisha ya taifa la Ukraine, Mapinduzi ya utu (Maidan Revolution) hadi uvamizi wa 2022

    Tangu kupata uhuru wake kutoka USSR mwaka 1991 Ukraine lilikuwa ni taifa linalopata viongozi wanaopokezana mitazamo na mielekeo wakipokezana kufungamana kati ya West (EU&US) au Russia kwa vipindi tofauti lakini kadri muda ulivyosonga mbele raia wengi wa taifa hilo walizidi kuwa na muelekeo wa...
  17. 5

    Jeshi la Ukraine lakomboa Snake Island kwa kulishambulia vikali jeshi la Urusi na kukichu tena kisiwa hicho

    Ukrainian forces have pushed Russian forces from Snake Island, a strategic Black Sea island off the southern coast near the city of Odesa. Russia portrayed the pullout from Snake Island off the port city of Odesa as a “goodwill gesture”. Ukraine’s military said the Russians fled the island in...
  18. Gama

    Wanajeshi 25,000 wa Urusi wapoteza maisha Ukraine

    25,000 of Vladimir Putin’s troops have been killed in Ukraine, says UK Defence Secretary Beb Wallace ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa Uingeleza amrsema kuwa wanajeshi 25,000 wa Urusi wamepoteza maisha wakati wakipigana nchini Ukraine, amehitimisha pia kuwa Ukraine ni mshindi katika vita hii...
  19. JanguKamaJangu

    Ukraine ina wakimbizi wa ndani milioni 6.2 kutokana na vita inayoendelea

    Imefahamika kuwa zaidi ya watu milioni 6.2 wamepoteza au kuyakimbia makazi yao ndani ya Ukraine kutokana na vita inayoendelea kati ya taifa hilo na Urusi. Umoja wa Mataifa (UN) umetoa ripoti hiyo na kusema kuwa watu hao bado wamo ndani ya Ukraine wakati watu milioni 5.26 wakikimbilia nje ya...
  20. JanguKamaJangu

    Kombora la Urusi latua sehemu ya maduka makubwa Ukraine

    Kombora la Urusi limelipua sehemu yenye maduka makubwa katika Mji wa Kremenchuk Nchini Ukraine na kusababisha vifo vya tu kadhaa na uharibifu wa majengo. Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema kulikuwa na watu 1,000 kabla ya taarifa za kombora hilo, wengi walitoka lakini baadhi...
Back
Top Bottom