Putin ampoteza Meja Jenerali, auawa katika mapigano Ukraine

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Roman.JPG

Rais wa Urusi, Vladimir Putin amepata pigo baada ya kumpoteza jenerali wa 11 katika mapambano dhidi ya Ukraine, aliyefariki ni Meja Jenerali Roman Kutuzov.

Inaelezwa gari lake lilishambuliwa wakati wa mapigano katika Mji wa Donbas. Kinatajwa kuwa kifo cha juu zaidi kwa waliofariki katika mapigano dhidi ya Ukraine, hivi karibuni.

Source: Daily Maily

===============

Vladimir Putin 'loses his 11th general' in Ukraine war as defenders 'ambush his vehicle in Donbas'

Vladimir Putin was today hit by the death of Russia’s 11th general in his bloody war with Ukraine.

Major-General Roman Kutuzov was the chief of staff of the 29th Combined Arms Army, according to reports.

His vehicle was ambushed by Ukrainians and he died in a fight in Donbas, say sources.

His death is the 11th general, but the first such high ranking army officer in more than a month.

In addition, at least 49 colonels have been killed in the war with Ukraine.

The latest was Lt-Col Zaur Dimayev, deputy commander of the 4th battalion of the Akhmat Kadyrov special forces regiment.

He was a close associate of Chechen leader Ramzan Kadyrov.

In 2020, Kutuzov was head of the headquarters of the combined arms formation of Russia’s sprawling Eastern Military District.

The previous general to be killed was Kanamat ’Flop Gun’ Botashev, 63.

He was a 'pensioner pilot' who was hit in his Su-25 after coming out of retirement to fly in Putin’s forces.

He was reportedly shot down by a Ukrainian Stinger missile.

There have been unconfirmed claims that Western countries are assisting Ukraine to target high-ranking Russian officers.

Russian sources say Kutuzov was killed in the area of Nikolaevka settlement, in the Popasnyansky district of the Luhansk People’s Republic, close to the frontline.
 
Ndio maana ya ushujaa Jenerali kufa kwenye vita, sio wale majenerali wa Ukraine wanawaamrisha kurutu kukaa mstari wa mbele thn wao wanakaa na phone tu, ndio maana majeshi wengi wa Ukraine kabla ya kuacha mapigano walilalamika kuwa wanapelekwa kwenye vita wakati makamanda wao hawapo ndani ya nchi wanakimbia

Huyu ni shujaa
 
View attachment 2251853

Yap..
Zelensky tembeza kichapo bila huruma kwa wavamizi...
 
Hivi na majenerali nao huenda mstari wa mbele wa mapambano ?
T14 Armata Kichuguu Katunge World Wide
Umeniita tena ndugu yangu. Ukweli ni kuwa Kuanzia Major kwenda juu huwa haingii kwenye frontline, Ila Major na Luteni Kanali wako karibu kidogo na frontline kwa vile ndio wanaoongoza kombania. Kuanzia Kanali hadi general officesr wote hawako kwenye frontline kwani wale ni watu wa kupanga mikakati na kuongozi vikosi vikubwa ambavyo kwa formation ya kivita ni private hadi koplo ndio wanaokuwa msitali wa mbele zaidi wakiwa wanaongozwa na Sajenti.

Ila Urusi ni taifa tofauti kabisa kijeshi kwa vile jeshi lao ni la maofisa tu, Sasa hao maprivate hadi sajenti ni watu wa kupita tu kwa mktaba mfupi, wanaitwa conscripts. Kwahiyo hao siyo wataalamu wa mapigano ndiyo maana Makanali hadi majenerali wanajikuta wako kwenye frontline na kuuawawa. Tatizo kubwa sana katika muundo wa jeshi la Urusi, wao inaonekana walirithi ile filosofi ya jeshi la kizamani la vita ya pili ya dunia kuwa wingi wa vifaru, mizinga na ndege za kivita ndiyo ukali wa jeshi lenyewe hivyo hakuna haja ya kuwa na askari wa miguuni. Ndiyo maana sasa hivi "special military operation" imekuwa "terrible quagmire."

Ni afadhali angeifanya hii special military operation mwaka 2014 ambapo Ukraine walikurupushwa unprepared kwa vile walikuwa wanaamini kuwa wanalindwa na ile Budapest Memorandum iliyowekwa saini na Rais wa Urusi wakati huo Yelstin, Rais wa Marekani Clinton na Rais wa Ukraine Kravchuk kuwa waigawie Urusi silaha zao za Nyuklia halafu Urusi itawalinda. Kichaa mmoja wa Urusi akaona ile memorandum ni karatasi tu akaivamia na kujimegea Crimea. Kuanzia pale Ukraine ingawa kwenye katiba yao bado wana limit ya kuwa jeshi lisizidi wapiganaji 250,000, wakajifunza umuhimu wa kuwa na jeshi na wakaomba kufundishiwa jeshi la kisasa na Marekani. Kwa hiyo mzee Putin alipovamia, alikuta Ukraine imeshaaza kujenga jeshi la kisasa, wakati yeye analeta jeshi la 1948, ndiyo maana majenerali wanapukutika kama sisimizi waliomwagiwa petroli. Hiyo ni zaidi ya hao conscripts zaidi ya 23,000 pamoja na vifaru zaidi ya 1500. Pumzi ya Urusi inalindwa na wingi wa silaha walizo nazo pamoja na ukubwa wa jeshi lenyewe, vinginevyo sasa hivi jeshi lingekuwa kwenye drip.
 
Umeniita tena ndugu yangu. Ukweli ni kuwa Kuanzia Major kwenda juu huwa haingii kwenye frontline, Ila Major na Luteni Kanali wa karibu kidogo na frontline kwa vile ndio wanaoongoza kombania. Kuanzaia Kanali hadi general officesr wote hawako kwenye frontline kwani wale ni watu wa kupanga mikakati na kuongozi vikosi vikubwa ambavyo kwa formation ya kivita ni private hadi koplo ndio wanaokuwa msitali wa mbele zaidi wakiwa wanaongozwa na Sajenti.

Ila Urusi ni taifa tofauti kabisa kijeshi kwa vile eshi lao ni la maofisa tu, Sasa hao maprivate hadi sajenti ni watu wa kupita tu kwa mktaba mfupi, wanaitwa conscripts. Kwahiyo hao siyo wataalamu wa mapigano ndiyo maana Makanali hadi majenerali wanajikuta wako kwenye frontline na kuuawawa. Tatzio kubwa sana katika muundo wa jeshi la Urusi, wao inaonekana walirithi ile filosofi ya jesi la kizamani la vita ya pili ya dunia kuwa wingi wa vifaru, mizinga na ndege za kivita ndiyo ukali wa jeshi lenyewe. Ndiyo maana sasa hivi "special military operation" imekuwa "terrible quagmire."

Ni afadhali angeifanya hii special military operation mwaka 2014 ambapo Ukraine walikurupushwa unprepared kwa vile walikuwa wanaamini kuwa wanalindwa na ile Budapest Memorandum iliyowekwa saini na Rais wa Urusi wakati huo Yelstin, Rais wa Marekani Clinton na Rais wa Ukraine Kravchuk kuwa waigawie Urusi silaha zao za Nyuklia halafu Urusi itawalinda. Kichaa mmoja wa Urusi akaona ile memorandum ni karatasi tu akaivamia na kujimegea Crimea. Kuanzia pale Ukraine ingawa kwenye Katiba yao bado wana limit ya kuwa jeshi lisizidi wapiganaji 250,000, wakajifunza umuhimu wa kuwa na jeshi na wakaomba kufundishiwa jeshi la kisasa na Marekani. Kwa hiyo mzee Putin alipovamia, alikuta Ukraine imeshaaza kujenga jeshi la kisasa, wakati yeye analitea jeshi la 1948, ndiyo maana majenerali wanapukuti9ka kama sisimizi waliomwagiwa petroli. Hiyo ni zaidi ya hao conscripts zaidi ya 23,000 pamoja na vifatu zaidi ya 1500. Pumzi ya Urusi inalindwa na wingi wa silaha waliza nazo pamoja na ukubwa wa jeshi lenyewe, vinginevyo sasa hivi jeshi lingekuwa kwenye drip.
... thanks Chief! Picha nayoipata hapa ni kwamba quality ya jenerali wa kirusi ni ya kiwango cha chini kulinganisha na majeshi mengne ya dunia ya kwanza. Kwamba, Russia are after quantity than quality. Kwamba Russia wanajeshi wao kuuwawa vitani sio issue kubwa kwani wana jeshi kubwa ambalo kulimaliza sio rahisi.
 
Umeniita tena ndugu yangu. Ukweli ni kuwa Kuanzia Major kwenda juu huwa haingii kwenye frontline, Ila Major na Luteni Kanali wa karibu kidogo na frontline kwa vile ndio wanaoongoza kombania. Kuanzaia Kanali hadi general officesr wote hawako kwenye frontline kwani wale ni watu wa kupanga mikakati na kuongozi vikosi vikubwa ambavyo kwa formation ya kivita ni private hadi koplo ndio wanaokuwa msitali wa mbele zaidi wakiwa wanaongozwa na Sajenti.

Ila Urusi ni taifa tofauti kabisa kijeshi kwa vile eshi lao ni la maofisa tu, Sasa hao maprivate hadi sajenti ni watu wa kupita tu kwa mktaba mfupi, wanaitwa conscripts. Kwahiyo hao siyo wataalamu wa mapigano ndiyo maana Makanali hadi majenerali wanajikuta wako kwenye frontline na kuuawawa. Tatzio kubwa sana katika muundo wa jeshi la Urusi, wao inaonekana walirithi ile filosofi ya jesi la kizamani la vita ya pili ya dunia kuwa wingi wa vifaru, mizinga na ndege za kivita ndiyo ukali wa jeshi lenyewe. Ndiyo maana sasa hivi "special military operation" imekuwa "terrible quagmire."

Ni afadhali angeifanya hii special military operation mwaka 2014 ambapo Ukraine walikurupushwa unprepared kwa vile walikuwa wanaamini kuwa wanalindwa na ile Budapest Memorandum iliyowekwa saini na Rais wa Urusi wakati huo Yelstin, Rais wa Marekani Clinton na Rais wa Ukraine Kravchuk kuwa waigawie Urusi silaha zao za Nyuklia halafu Urusi itawalinda. Kichaa mmoja wa Urusi akaona ile memorandum ni karatasi tu akaivamia na kujimegea Crimea. Kuanzia pale Ukraine ingawa kwenye Katiba yao bado wana limit ya kuwa jeshi lisizidi wapiganaji 250,000, wakajifunza umuhimu wa kuwa na jeshi na wakaomba kufundishiwa jeshi la kisasa na Marekani. Kwa hiyo mzee Putin alipovamia, alikuta Ukraine imeshaaza kujenga jeshi la kisasa, wakati yeye analitea jeshi la 1948, ndiyo maana majenerali wanapukuti9ka kama sisimizi waliomwagiwa petroli. Hiyo ni zaidi ya hao conscripts zaidi ya 23,000 pamoja na vifatu zaidi ya 1500. Pumzi ya Urusi inalindwa na wingi wa silaha waliza nazo pamoja na ukubwa wa jeshi lenyewe, vinginevyo sasa hivi jeshi lingekuwa kwenye drip.
Mkuu naomba nikuite "MLIMA" badala ya "KICHUGUU"
 
Ndio maana ya ushujaa Jenerali kufa kwenye vita, sio wale majenerali wa Ukraine wanawaamrisha kurutu kukaa mstari wa mbele thn wao wanakaa na phone tu, ndio maana majeshi wengi wa Ukraine kabla ya kuacha mapigano walilalamika kuwa wanapelekwa kwenye vita wakati makamanda wao hawapo ndani ya nchi wanakimbia

Huyu ni shujaa
Unajua Gharama ya kumtrain mtu mwenye sifa kama huyo au unabwabwaja tuu, ni aheli upoteze Askari 1000 kuliko kumpoteza mtu kama huyo
 
... ukiisoma post ya Kichuguu hapo juu anaeleza jeshi la Russia ni la maofisa zaidi so kuwa jenerali Russia ni kawaida sana tofauti na nchi nyingine. That means, jenerali kuwa front line hence high risk ya kuuwawa ni kawaida.
 
Back
Top Bottom