ukraine

  1. JanguKamaJangu

    Waandishi wawili wa Reuters wajeruhiwa, dereva wao auawa Ukraine

    Waandishi wawili wa habari wa Reuters wamejeruhiwa huku dereva wao akiuawa baada ya gari walilokuwa wakilitumia kushambuliwa Mashariki mwa Ukraine katika Jiji la Sievierodonetsk Tukio hilo ni mwendelezo wa maumivu wanayopata waandishi wa habari katika vita ya taifa hilo dhidi ya Urusi...
  2. lee Vladimir cleef

    Ugumu kwa NATO kuingiza majeshi moja kwa moja katika mgogoro baina ya Urusi na Ukraine

    Tofauti na nchi za Yugoslavia, Iraq, Afghanistan, Libya na hata Syria. Urusi ni nchi yenye jeshi kubwa sana hapa duniani na lililokamilika. Urusi Ina majeshi kamili ya Ardhini,angani na majini. Sio TU kamili,Bali pia Ina silaha za Kila aina na za kipekee,katika majeshi hayo matatu. Russia...
  3. JanguKamaJangu

    Zelensky: Urusi wameshatawala 20% ya eneo la Ukraine

    Rais wa Ukrainee, Volodymyr Zelensky amesema majeshi ya Urusi yanashikilia asilimia 20 ya ardhi ya Ukraine wakati mapigano yakiendelea. Zelensky amesema hayo wakati akihutubia Bunge la Luxembourg kwa njia ya mtandao Juni 2, 2022. Hii ni mara yake ya kwanza kutoa kauli hiyo tangu kuanza kwa...
  4. EINSTEIN112

    VITA YA UKRAINE: Urusi yazingira kitovu cha viwanda

    Kramatorsk. Vikosi vya Russia vinavyohusika katika mapigano makali mashariki mwa Ukraine vimeuteka mji wa kimkakati wa Lyman na kuzingira kituo kikuu cha viwanda, Moscow imedai. Hata hivyo Ofisa wa Ukraine amekanusha kuwa mji wa Severodonetsk ambao ni kitovu cha mapigano makali ya wiki...
  5. STRUGGLE MAN

    Poland yasema haina mafuta ya bure ya kuipatia Ukraine

    Vita vimeiharibu vibaya Ukraine, sasa Poland imeikatia mafuta ya bure. Wakati nchi za Ulaya zikiendelea kudai kuwa ziko pamoja na Ukraine kwa hali na mali na kwamba ziko tayari kuisaidia nchi hiyo iwapo Russia itafunga bomba lake la gesi isiingie Ukraine, sasa hivi nchi jiran ya Poland imesema...
  6. Lady Whistledown

    Marekani yakubali kupeleka Roketi za Masafa Marefu nchini Ukraine

    Inaelezwa kuwa Marekani imekubali ombi la muda mrefu la #Ukraine la msaada wa silaha nzito zikiwemo roketi hizo ili kupambana na vikosi vya #Russia kutoka umbali mrefu, ambalo hapo awali lilikataliwa Silaha hizo zitajumuisha Mfumo wa Roketi wa Kivita wa M142 (HIMARS), ambao unauwezo wa kurusha...
  7. S

    Vita ya Urusi na Ukraine: Kiulinzi wa nchi yetu tunajifunza nini?

    Nionavyo silaha zote tunazotumia ni za kizamani na hazifai kabisa kabisa katika mapambano ya kivita vya kileo. Kuna Hapasoniki, kuna drones,kuna thermobaric ambayo inapoteza oxyen kutoka centre point ya mlipuko kwa kilomita 2 na nusu, kwa maana atakaekuwa ndani ya eneo hilo maisha yake ndio...
  8. DeepPond

    Zelensky: Ukraine inapoteza wanajeshi 60 - 100 kwa siku

    Raisi Zelensky usiku wakuamkia leo Amesema nchi yake inapoteza wanajeshi 60-100 kila siku kwenye mapambano yanayoendelea nchini kwake. Amezungumza hayo katika mahojiano yake na kituo Cha television Cha NEWSMAX TV CHANNEL kuhusiana na Hali ya Vita mashariki mwa Ukraine. Zelensky alisisitiza...
  9. J

    President Biden: What America Will and Will Not Do in Ukraine

    The invasion Vladimir Putin thought would last days is now in its fourth month. The Ukrainian people surprised Russia and inspired the world with their sacrifice, grit and battlefield success. The free world and many other nations, led by the United States, rallied to Ukraine’s side with...
  10. M

    Ukraine yaitishia USA: Yasema isipopewa makombora ya masafa marefu "itaibwatukia na kuisemea mbovu mbovu kwa kiwango ambacho kitakuwa cha mfano”

    Nilishawahi kusema kuwa mwisho wa siku Zelensky na Ukraine yake watajakuwa maadui wakubwa sana wa Marekani na NATO kwa ujumla. Kisa ni kwamba haiwezekani kuipatia Ukraine kila inachokitaka bila kuangalia athari yake kwa usalama wa dunia! Kwa mfano Zelensky alikuwa anataka NATO waweke NO FLY...
  11. Chachu Ombara

    Mwandishi wa Habari raia wa Ufaransa auawa kwa bomu katika vita Nchini Ukraine

    Mwandishi wa Habari wa Ufaransa Frédéric Leclerc-Imhoff (32) ameuawa kwa kupigwa risasi nchini Ukraine. Leclerc-Imhoff alikuwa akifanya kazi katika Shirika la habari la BFM TV na alikuwa nchini Ukraine kutangaza hali halisi ya vita ikiwemo uokoaji wa watu. ------ A French journalist has been...
  12. M

    Biden: Marekani haitaipatia Ukraine Mfumo wa Silaha za Maroketi ya Masafa Marefu yenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Urusi

    Akiongea na Waandishi wa Habari viunga Vya White House,Rais wa Marekani ametamka wazi kwamba Marekani haitaipatia Ukraine Silaha za Masafa Marefu zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi. Kwa mda wa wiki 2 Sasa,Rais wa Ukraine amekuwa akiitaka Marekani Kuipatia nchi yake Silaha za...
  13. Nyuki Mdogo

    Kuna jamaa kutoka Ukraine kanistua tufanye biashara ya Mchongo

    Maisha haya yana risk nyingi sana. Jamaa kanipa dili zito sana. Eti huko Ukraine kuna Bunduki kibao zikizotelekezwa, anaziuza kimagendo kuja huku Africa. Kanishirikisha kwamba nikiweza nimcheki tufanye biashara. Gharama za kusafirisha mpaka mzigo kunifikia ni juu yake. Yani nawaza sana hii...
  14. Yoda

    Makundi ya pro-Russia jukwaani na mitaani baada ya uvamizi huko Ukraine

    Tangu uvamizi wa Russia nchi Ukraine uanze Pro-Putin/Russia naweza kuwagawanya katika makundi matano 1. Wanaozungumzia huu uvamazi wa Urusi kwa upande wa Historia ila bahati mbaya historia imewapitia kushoto au ni ile historia waliyoisikia vijiweni tu kwa watu ambao hawajakanyaga hata darasa...
  15. JanguKamaJangu

    Zelenskyy: Ukraine tunahitaji silaha zaidi kupambana na Urusi

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema nchi yake inahitaji silaha zaidi kwa ajili ya kundelea kupambana na Urusi kauli ambayo amesema inalenga washirika wake wenye nia ya kuwasaidia. Ametoa kauli hiyo baada ya kutembelea eneo la mapambano Mji wa Kharkiv, Mei 28, 2022 na kuzungumza na...
  16. N

    Battle analysis: Wapiganaji wa Ukraine ni mfano halisi wa uzalendo uliotukuka

    Kila taifa lina tunu zake ambazo kimsingi ndio kimsingi ndio nguzo na uhai wa taifa husika. Logically speaking, najivunia kuwa mtanzania kwani tumebarikiwa kuwa na tunu ya amani na upendo miongoni mwetu. Kutokana na uwepo wa propaganda nyingi watu wengi wamekuwa blinded na aggressive traits za...
  17. Gama

    Wale mabingwa wa kufurusha mabomu wa Syria wametua kuisaidia Urusi dhidi ya Ukraine

    Mabingwa wa kurusha mabomu makubwa ya kudondosha kutoka Syria wametua nchini Urusi ili kuisaidia nchi hiyo katika vita yake dhidi ya Ukraine, watu hawa hudondosha mabomu ya petrol ana chlorune kutoka kwenye ndege. Aina hii ya mabomu hufanya uharibifu mkubwa hasa yanapodondoshwa kaatika makazi...
  18. I

    Vladimir Putin today declared that Russia will 'conduct a lightning strike' against countries supporting Ukraine with 'means and tools'

    Yeah, yeah, we’ve heard that before. 1944, the alleged “Wunderwaffen” of the Nazis. Didn’t work then, won’t work now. It’s propaganda directed at the Russian population, drawing attention away from the war that’s not going as planned. The worst he can do, short of annihilating the world, is...
  19. MakinikiA

    Sijapenda Rais Putin kuruhusu usafirishaji chakula kutoka bandari za Ukraine

    Kwa mtazamo wangu nilipenda Sana dunia ipate machungu Kama wananchi wa Ukraine wanavyopata machungu ,Jambo moja ambalo dunia haitambui tatizo lingekwisha kitambo Sana endapo Ukraine ingeamua kujikalia kimya kwenye majumba yao na siyo kutunisha misuli na misuli hawana wanategemea support ya watu...
  20. MakinikiA

    Vita Ukraine itaisha na zile billion za ruzuku kwenye mafuta hatutaona manufaa yake.

    Salama wandugu,si ajabu zile billion zilizotolewa kwa ajiri ya kupunguza Bei za mafuta tusione manufaa yake tutashangaa Vita Ukraine imeisha na Bei ya mafuta ipo palepale na billions zetu zimetumika na wajanja nimeamua kuja hapa baada ya kuona Hali ni tete kwenye usafiri wa umma wameanza mwendo...
Back
Top Bottom