ukraine

  1. Kikosi Cha Wanajeshi Wapatao 1000 Wa Urusi Chazungukwa Na Vikosi Vya Ukraine Wakati "Command Centre"Yao Ikiangamizwa Kabisa Huko Pokrovsk, Ukraine

    Majanga Kwa Putin🤔 .. Pokrovsk continues to be one of the hottest areas on the frontlines in , the scene of fierce fighting.
  2. M

    Spika wa zamani wa Ukraine auwawa kwa kupigwa risasi

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kimataifa/aliyekuwa-spika-bunge-la-ukraine-auawa-kwa-kupigwa-risasi-5173452
  3. Kwa maana hii Ukraine wameshindwa vita

    Kwasababu ambazo Trump ameziorodhesha ni kweli Ukraine pamoja na kusaidiwa na marekani pamoja na umoja wa nchi za ulaya hii vita imewashinda
  4. Urusi yaanzisha mashambulizi mapya magharibi mwa Ukraine

    Urusi imerusha mamia ya ndege zisizo na rubani na makombora magharibi mwa Ukraine usiku kucha katika moja ya mashambulizi makubwa zaidi ya mabomu katika wiki za hivi karibuni, maafisa wa Ukraine wamesema. Mashambulizi hayo yaliripotiwa huko Zaporizhzhia, Dnipropetrovsk, na Lviv, ambapo mtu...
  5. Wanao mkosoa Putin kwa kuchelewesha kumaliza operesheni yake ya kijeshi huko Ukraine wanategemea hisia zaidi ya hoja

    Leo nimekaa na kutafakari ingekuaje kama NATO na EU wasingekuq nyuma ya Ukraine katika vita vyake na Russia. Ingekua sasa Putin ameshajenga ikulu pale Kyiv na sasa anakunywa mvinyo wake pendwa Spanish red wine. Uo ni ukweli na ushahidi upo pale Georgia mwaka 2008 alipovamia kuwakomboa watu wa...
  6. TRUMP: kurejeshwa kwa Crimea na Ukraine kujiunga na NATO sio sehemu ya mazungumzo ya Ukraine

    BREAKING: Trump says that taking back Crimea and joining NATO are off the table for Ukraine
  7. Tathmini ya Vita ya Urusi na Ukraine. Imeshtua watu wengi sana. Hali inatisha

    Mpaka sasa Urusi imepoteza watu wengi sana katika vita yake na Ukraine, si ukiwazia tu wapiganaji waliokufa, bali pia wale waliojeruhiwa au kupotea — na ripoti kutoka vyanzo mbalimbali vinaelezea kiwango kikubwa cha uharibifu upande wake. Taarifa za Karibuni kuhusu Hasara za Urusi Ukadiriaji...
  8. Trump asema atajaribu kurudisha eneo la Ukraine katika mazungumzo na Putin

    kwamba atajaribu kurejesha baadhi ya maeneo ya Ukraine wakati wa mkutano wake na Rais wa Urusi Vladimir Putin Ijumaa ijayo. "Urusi imechukua sehemu kubwa ya Ukraine. Wamechukua eneo muhimu. Tutajaribu kurudisha baadhi ya eneo hilo kwa Ukraine," alisema katika mkutano na waandishi wa habari...
  9. Kilele cha Trump-Putin nchini Alaska kinafanana na kushindwa kwa taratibu kwa Ukraine

    Mahali ni jambo la maana, alisema Rais wa Marekani Donald Trump, aliyewahi kuwa mfanyabiashara wa mali isiyohamishika. Dakika chache baadaye, alitangaza kuwa Alaska, eneo ambalo Urusi iliuza kwa Marekani miaka 158 iliyopita kwa dola milioni 7.2, ndiko Rais wa Urusi Vladimir Putin atajaribu kuuza...
  10. Trump, Putin kukutana Alaska kwa mazungumzo ya vita vya Ukraine wiki ijayo

    Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Urusi Vladimir Putin watakutana Alaska Ijumaa ijayo kujadili mustakabali wa vita vya Ukraine. Trump alitangaza mkutano wa Agosti 15 kwenye mitandao ya kijamii na baadaye ikathibitishwa na msemaji wa Kremlin, ambaye alisema eneo hilo lilikuwa "lina mantiki...
  11. NATO na Ukraine wamekubali yaieshe mbele ya Putin

    Wasalam tena ndugu mwana JF za ndani kabsa kutoka katika vyanzo vya karibu na rais wa Ukraine vinasema rais volodymir Zelensky anapanga kujisalimisha mbele ya putin ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa ukraine. Haya yanaripotiwa baada ya simu ya pamoja ya volodymir zelensky rais wa US Donald...
  12. NATO kuwasilisha kiwango kikubwa cha silaha kwa Ukraine

    Muungano wa kijeshi wa NATO unaratibu ufikishaji wa kawaida wa silaha kubwa kwa Ukraine baada ya Uholanzi kusema itatowa mfumo wa ulinzi wa anga, risasi na msaada mwengine wa kijeshi wenye thamani ya euro milioni 500. Sweden pia ilitangaza siku ya Jumanne (Agosti 5) kwamba itachangia dola...
  13. Ukraine Yadai Kuiba Taarifa za Siri(Classified Information) Za Manuari Mpya Kabisa Za Kurusha Makombora Ya Nyuklia Za Urusi

    Wataalamu wa Shirika la Ujasusi la Kijeshi la Ukraine (HUR) wamefanikiwa kuvunja ulinzi wa Jeshi la Majini la Urusi na kupata nyaraka za ndani zinazohusu manowari mpya ya daraja la Project 955A Borei, Knyaz Pozharsky, iliyowekwa rasmi kwenye huduma chini ya wiki mbili zilizopita. Kwa mujibu wa...
  14. Kikosi maalum cha Urusi chawateka maafisa wa juu wa kijeshi na kijasusi ndani ya Ukraine

    Kikosi maalum cha urusi toka spetnaz cha spat-12,kilifanya operation yenye uthubutu wa hali ya juu ndani ya ukraine Operation hiyo iliyodumu kwa dakika 15 usiku mwingi,ilifanyika kwenye kambi inayotumiwa na NATO ndani ya ukraine na kuwateka maafisa watatu wa juu wa uingereza ambao hawakuwa na...
  15. Trump ampa Putin siku 12 Urusi kuonyesha muelekeo wa kumaliza vita Ukraine la sivyo aishughulikie

  16. Ukraine yaiomba Marekani mifumo 10 mipya ya ulinzi wa anga ya Patriot, Zelensky asema

    Volodymyr Zelensky alisema kuwa Ukraine imeiomba Marekani kuipatia mifumo kumi zaidi ya ulinzi wa anga ya Patriot na tayari imeweza kukubaliana na washirika wake juu ya utoaji wa mifumo mitatu ya aina hiyo. "Nimepokea uthibitisho rasmi kutoka Ujerumani watatupatia mifumo miwili, Norway mmoja...
  17. Putin apuuza vitisho vya Trump, aapa kuendeleza vita Ukraine

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amedhamiria kuendeleza vita dhidi ya Ukraine hadi pale mataifa ya Magharibi yatakapokubali kujadili amani kwa masharti yake, licha ya tishio la Rais Donald Trump kuiwekea Urusi vikwazo zaidi. MigogoroUlaya Putin apuuza vitisho vya Trump, aapa kuendeleza vita Ukraine...
  18. Trump asema makombora ya Patriot tayari yametumwa Ukraine

    Rais wa Marekani Donald Trump alisema Jumanne, bila kutoa maelezo, kwamba makombora ya Patriot tayari yalikuwa yametumwa Ukraine chini ya utaratibu mpya wa utoaji. "Tayari wametumwa," Trump alimkatiza mwandishi wa habari ambaye alikuwa ameanza kuuliza swali juu ya makombora ya Patriot...
  19. Sio vita vyetu' - Mkataba wa Trump wa silaha za Nato kwa Ukraine waibua hasira za MAGA

    Baadhi ya wanachama wa kihafidhina wa vuguvugu la Donald Trump la "Make America Great Again" wamejibu kwa hasira mipango ya rais ya kuiuzia Nato silaha, wakisema ni usaliti wa ahadi yake ya kukomesha ushiriki wa Marekani katika vita vya kigeni. Siku ya Jumatatu, Trump alisema atatuma silaha kwa...
  20. Trump aitishia Urusi kwa kutoza ushuru mkubwa kama hawatamaliza vita huku akiendelea na mpango wake wa kuwapa silaha wa Ukraine

    Wanaukumbi Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa Marekani itatuma "silaha za hali ya juu" kwa Ukraine kupitia nchi za Nato, huku pia akitishia Urusi kwa kutoza ushuru mkubwa ikiwa makubaliano ya kumaliza vita hayatafikiwa ndani ya siku 50. "Tunataka kuhakikisha Ukraine inaweza kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…