Ikulu ya Marekani yadai Wapiganaji 30,000 wa Wagner Group wameuawa vitani Ukraine

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,379
8,123
Msemaji wa Ikulu ya #WhiteHouse John Kirby, amesema kundi hilo limepoteza Wapiganaji wake zaidi ya 9000 ndani ya wiki 1 huku likiendelea kuajiri wafungwa zaidi kutoka Magereza ya #Urusi wengi wao wakiwa hawana uzoefu na mafunzo ya Kivita.

Jeshi la #Ukraine limesema Wapiganaji wa Wagner ambao hawana mafunzo wamekuwa wakitangulizwa mbele kwa makundi makubwa jambo ambalo limekuwa rahisi kushambuliwa na kuuawa huku Urusi ikitelekeza majeruhi na maiti zao

#WagnerGroup ni Jeshi Binafsi ambalo limekuwa litumika katika Vita zinazoongozwa na Urusi ambapo miezi minne iliyopita Mtanzania #NemesTarimo aliripotiwa kufariki kwenye Mapigano Ukraine akiwa mwajiriwa wa kundi hilo.

===================

Over 30,000 mercenaries fighting for the Russian paramilitary Wagner Group have been killed or injured since the Ukraine war began, US officials say. White House spokesman John Kirby said the group had suffered significant losses in recent weeks, with about 9,000 fighters killed in action.

Wagner has recruited heavily in Russian prisons, and Mr Kirby said most casualties were untrained convicts. Despite the casualties, Wagner has made gains around the city of Bakhmut. Some of the fiercest fighting of the war has taken place around the eastern city, with Wagner mercenaries heavily involved in Russian efforts to capture it.

Ukrainian troops say Wagner fighters had been sent into attacks in large numbers over open ground, and a Ukrainian army spokesperson said Moscow had failed to evacuate wounded and dead soldiers - leading to "places where their bodies are just piled up".

Capturing Bakhmut could allow Russia to make advances to bigger cities further west, like Kramatorsk and Slovyansk.

However, Mr Kirby - the US National Security Council spokesman - suggested further advances could prove difficult given the gains made in Bakhmut had taken months to achieve and come at a "devastating cost that is not sustainable".

He also questioned the military significance of the city. "It is possible that they may end up being successful in Bakhmut, but it will prove of no real worth to them because it is of no real strategic value," Mr Kirby told reporters.

Elsewhere, UK intelligence officials have estimated that Russian regular forces and Wagner troops may have suffered between 175,000-200,000 casualties - including 40,000-60,000 deaths.

The high number of deaths was "almost certainly" due to "extremely rudimentary medical provision", the UK's defence ministry said. The Wagner Group was much smaller before the war, with just 5,000 fighters, most of whom were experienced former soldiers.

It started recruiting tens of thousands of fighters last year - largely from prisons, according to the US - as Russia had trouble finding troops for its invasion of Ukraine. Half of those convicts have probably been wounded or killed, UK officials say.

But last week, Mr Prigozhin, the group's founder, announced it would stop recruiting in prisons. The move followed longstanding tensions between Wagner and the Russian military. "The number of Wagner units will decrease, and we will also not be able to carry out the scope of tasks that we would like to," he said.

Mr Prigozhin has blamed Moscow's "monstrous bureaucracy" for slowing down progress in Ukraine, and accused the Russian army of unfairly taking credit for previous Wagner successes.

Wagner is believed to have started operations in 2014 in the annexed Crimean Peninsula and has since operated elsewhere in Ukraine, in Syria and across Africa. It has been accused of brutality and war crimes.

BBC
 
Wagner wanapigana vizuri sometimes kuliko jeshi la Urusi. Hata kwenye mission ya Syria kupigana na ISIS walikuwa hatarishi kuliko vikosi vya serikali ya Urusi ambavyo huogopa casualties na mipango mingi. Hata ukiwakurupua na ukiwapa suicide mission hamna shida, hakuna kamanda wao atakuwa persecuted kisa amepoteza wapiganaji wengi kwa pamoja. Na hawalindwi na sheria.

Wagner wa mwanzo walikuwa vizuri kwa kuwa waliamua wenyewe kuingia frontline, ni wanajeshi wastaafu ambao bado wana nguvu na morali, wazoefu wakorofi waliofukuzwa kwa utovu wa nidhamu, na wenye uchu wa kupigana. Watu kama hawa vita yoyote huwa wana matumizi yao. Sio kila mwanajeshi huwa ana hali ya kupigana wengine ni mjomba kanituma na kutafuta ajira.

Wagner ikipewa silaha sahihi na mafunzo zaidi ina faida. Tatizo makamanda wa jeshi la Urusi wanaionea wivu inachukua credit zao. Syria kuna waandishi wa habari walienda kutembelea hospitali wakakuta majeruhi na waliokufa wengi sana ni Wagner sio wa serikali. Kuchunguza kumbe wa serikali wanapiga patrols zaidi ikija mapigano wanatangulizwa Wagner. Kwenye Battle of Khasham nchini Syria pale Wagner waliuzwa na Urusi, battle imepangwa wakavamie vikosi vya Marekani hakuna mwanajeshi wa Urusi katokea wala Urusi haikutoa air cover kama ilivyopangwa. Kamanda wa Marekani alicontact wa Urusi akawakana watu wake, hawana air cover walipigwa na helicopters na drones tu. Wagner ni disposable hata uue battalion nzima hamna shida.
 
Ubaya wa jeshini au vitani hauruhusiwi rudi nyuma bila ruhusa ya CO wako.

Kuna wanajeshi wanawekwa kwenye defence line hawaruhusiwi ondoka
Vitu vingine tutumie akili kama wanauawa wengi hivyo kwanini NATO wanawaogopa? Kwanini nchi kama Mali iliwafurumusha NATO (France) na kuwakaribisha Urusi (Wagner group)?

Embu tutumie akili bado asubuhi akili hazijachoka.
 
Wagner wanapigana vizuri sometimes kuliko jeshi la Urusi. Hata kwenye mission ya Syria kupigana na ISIS walikuwa hatarishi kuliko vikosi vya serikali ya Urusi ambavyo huogopa casualties na mipango mingi. Wagner hata ukiwakurupua na ukiwapa suicide mission hamna shida, hakuna kamanda wa Wagner atakuwa persecuted kisa amepoteza wapiganaji wengi kwa pamoja. Na hawalindwi na sheria.

Wagner wa mwanzo walikuwa vizuri kwa kuwa waliamua wenyewe kuingia frontline, ni wanajeshi wastaafu ambao bado wana nguvu na morali, wazoefu wakorofi waliofukuzwa kwa utovu wa nidhamu, na wenye uchu wa kupigana. Watu kama hawa vita yoyote huwa wana matumizi yao. Sio kila mwanajeshi huwa ana hali ya kupigana wengine ni mjomba kanituma na kutafuta ajira.

Wagner ikipewa silaha sahihi na mafunzo zaidi ina faida. Tatizo makamanda wa jeshi la Urusi wanaionea wivu inachukua credit zao. Syria kuna waandishi wa habari walienda kutembelea hospitali wakakuta majeruhi na waliokufa wengi sana ni Wagner sio wa serikali. Kuchunguza kumbe wa serikali wanapiga patrols zaidi ikija mapigano wanatangulizwa Wagner. Kwenye Battle of Khasham nchini Syria pale Wagner waliuzwa na Urusi, battle imepangwa wakavamie vikosi vya Marekani hakuna mwanajeshi wa Urusi katokea wala Urusi haikutoa air cover kama ilivyopangwa. Kamanda wa Marekani alicontact wa Urusi akawakana watu wake, hawana air cover walipigwa na helicopters na drones tu. Wagner ni disposable hata uue battalion nzima hamna shida.
Mkuu US na ulaya wanatumia science sana kwenye hii vita hawa Wagner walikuwa hawajafika mahali ambapo wanaweza kushughulikiwa zaidi kama hapa walipopelekwa sasa, tutegemee soon hutasikia tena Wagner
 
Kama hawana training na uzoezi si ndo vizuri sasa kwa Ukraine kurudisha maeneo yake.

Au shida nin hasa kwa Ukrain na USA, me nilidhani ni fursa kwao kushinda vita

Hata sielewi kwanin marekani kama analalamika
Hakuna maeneo mkuu ni vile hujui kinachoendelea, kule bakhmut Ukrean wamefanya ku-retreat ili jamaa waingie wamalizwe na ndivyo Ukraine wanavyofanya toka vita imeanza, na hayo maeneo ambayo russia wanasema wamecontroll sio full ni partial vita inaendelea
 
Wagner wanapigana vizuri sometimes kuliko jeshi la Urusi. Hata kwenye mission ya Syria kupigana na ISIS walikuwa hatarishi kuliko vikosi vya serikali ya Urusi ambavyo huogopa casualties na mipango mingi. Wagner hata ukiwakurupua na ukiwapa suicide mission hamna shida, hakuna kamanda wa Wagner atakuwa persecuted kisa amepoteza wapiganaji wengi kwa pamoja. Na hawalindwi na sheria.

Wagner wa mwanzo walikuwa vizuri kwa kuwa waliamua wenyewe kuingia frontline, ni wanajeshi wastaafu ambao bado wana nguvu na morali, wazoefu wakorofi waliofukuzwa kwa utovu wa nidhamu, na wenye uchu wa kupigana. Watu kama hawa vita yoyote huwa wana matumizi yao. Sio kila mwanajeshi huwa ana hali ya kupigana wengine ni mjomba kanituma na kutafuta ajira.

Wagner ikipewa silaha sahihi na mafunzo zaidi ina faida. Tatizo makamanda wa jeshi la Urusi wanaionea wivu inachukua credit zao. Syria kuna waandishi wa habari walienda kutembelea hospitali wakakuta majeruhi na waliokufa wengi sana ni Wagner sio wa serikali. Kuchunguza kumbe wa serikali wanapiga patrols zaidi ikija mapigano wanatangulizwa Wagner. Kwenye Battle of Khasham nchini Syria pale Wagner waliuzwa na Urusi, battle imepangwa wakavamie vikosi vya Marekani hakuna mwanajeshi wa Urusi katokea wala Urusi haikutoa air cover kama ilivyopangwa. Kamanda wa Marekani alicontact wa Urusi akawakana watu wake, hawana air cover walipigwa na helicopters na drones tu. Wagner ni disposable hata uue battalion nzima hamna shida.
Hao wagner ni Raia nje ya Urusi? Kama ni shirika ndani ya Urusi basi hilo ni la Putin
 
Mkuu US na ulaya wanatumia science sana kwenye hii vita hawa Wagner walikuwa hawajafika mahali ambapo wanaweza kushughulikiwa zaidi kama hapa walipopelekwa sasa, tutegemee soon hutasikia tena Wagner
Wagner wataendelea kuwepo mkuu hata Prigozhin afe. Wale ni force multiplier, Urusi haiwezi piga suicide mission kwa kutumia jeshi lake. Wagner ni disposable na watu wa kazi chafu, sasa ulitaka Urusi ipeleke wanajeshi wake Libya au Central African Republic kulinda mafuta na migodi.
 
Back
Top Bottom