Mabilioni ya Urusi yaliyotaifishwa kupelekwa Ukraine, yaani $300 billions

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Jameni $300B sio hela ndogo, ni ndefu kinoma yaani itabidi uunganishe uchumi wa Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, DRC na bado ubaki na salio....
============

The US and European partners are studying the legal basis for using about US$300 billion of frozen Russian assets to restore Ukraine.
Quote from Blinken: "My own view is you broke it, you bought it. And so the Russians having broken it, they ought to pay for it. And one way to do that would be through the use of these assets. We have to make sure that there is a legal basis to do that. And as I said, since most of the assets are in Europe, Europeans also have to be convinced that there’s a basis to do it."

Details: Blinken said the amount of frozen assets was US$300 billion.

Blinken also added that if Russia is allowed to do what it is doing with Ukraine and does not receive any punishment, it will send a signal around the world to countries that are going to start aggression that they can get away with it. "It’s opening a Pandora’s box of conflict. And in that kind of world, a world of conflict, a world of aggression, that’s not going to be good for anyone".

Blinken believes that in this world, the US would always be drawn into a conflict, and it would be much more expensive than supporting Ukraine.
 
Wanasema if Russian is allowed to do what are doing……

Usa has been doing that everyday for decades
 
Sema hela zilizoibwa na US na wenzake kutoka akiba ya Russia kuliwa kupitia kisingizio cha kupewa Ukraine!!! Utaeleweka na utakuwa mkweli.

Na zitasakwa kote, yaani hata huku Afrika, kila senti lazima itaifishwe...labda asaidiwe na waarabu.
 
Jameni $300B sio hela ndogo, ni ndefu kinoma yaani itabidi uunganishe uchumi wa Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, DRC na bado ubaki na salio....
============

The US and European partners are studying the legal basis for using about US$300 billion of frozen Russian assets to restore Ukraine.
Quote from Blinken: "My own view is you broke it, you bought it. And so the Russians having broken it, they ought to pay for it. And one way to do that would be through the use of these assets. We have to make sure that there is a legal basis to do that. And as I said, since most of the assets are in Europe, Europeans also have to be convinced that there’s a basis to do it."

Details: Blinken said the amount of frozen assets was US$300 billion.

Blinken also added that if Russia is allowed to do what it is doing with Ukraine and does not receive any punishment, it will send a signal around the world to countries that are going to start aggression that they can get away with it. "It’s opening a Pandora’s box of conflict. And in that kind of world, a world of conflict, a world of aggression, that’s not going to be good for anyone".

Blinken believes that in this world, the US would always be drawn into a conflict, and it would be much more expensive than supporting Ukraine.
Upuuzi na wapuuzi ndio watakaofurahia. Hao walioiteketeza Syria, Iraq libya na Afghanistan wamelipa fidia gani au ndio tunakubaliana na ule usemi wa kunya anye kuku akinya bata...
 
Sema hela zilizoibwa na US na wenzake kutoka akiba ya Russia kuliwa kupitia kisingizio cha kupewa Ukraine!!! Utaeleweka na utakuwa mkweli.
Wameibaje unaweza kutupa uthibitisho ili tuamini kwamba sio stori za kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Jameni $300B sio hela ndogo, ni ndefu kinoma yaani itabidi uunganishe uchumi wa Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, DRC na bado ubaki na salio....
============

The US and European partners are studying the legal basis for using about US$300 billion of frozen Russian assets to restore Ukraine.
Quote from Blinken: "My own view is you broke it, you bought it. And so the Russians having broken it, they ought to pay for it. And one way to do that would be through the use of these assets. We have to make sure that there is a legal basis to do that. And as I said, since most of the assets are in Europe, Europeans also have to be convinced that there’s a basis to do it."

Details: Blinken said the amount of frozen assets was US$300 billion.

Blinken also added that if Russia is allowed to do what it is doing with Ukraine and does not receive any punishment, it will send a signal around the world to countries that are going to start aggression that they can get away with it. "It’s opening a Pandora’s box of conflict. And in that kind of world, a world of conflict, a world of aggression, that’s not going to be good for anyone".

Blinken believes that in this world, the US would always be drawn into a conflict, and it would be much more expensive than supporting Ukraine.

sasa ww nchi zote zilizotawaliwa ni nani alilipa fidia for Genocide, mali zilizo ibwa, au zilizofilisiwa

Muafrica kweli unatetea “if you broke it, you bought it”

Unahitaji uwe hata na mshipa wa aibu we mwanamke kwa kuwatetea mabwana zako
 
"Sema lazima ziibiwe..." Hata hivyo, nakutahadharisha Russia akiamua jambo lake hatanii!!! Jana katoa maelezo yayojitosheleza nakushauri uyapitie kwa utulivu, Utapata ujumbe ninaojaribu kukufikishia hapa.

ilmu ya dunia bro, kajielimishe, yaani hapo mpo mnashabikia Urusi kuiba ardhi ya watu na kusambaratisha nyumba zao, sijui hiyo dini huafundisha nini haswa.
Hela yote ya Urusi lazima itaifishwe ikalipe kila kitu na hata mali binafsi ya Putin tunaisaka.
 
sasa ww nchi zote zilizotawaliwa ni nani alilipa fidia for Genocide, mali zilizo ibwa, au zilizofilisiwa

Muafrica kweli unatetea “if you broke it, you bought it”

Unahitaji uwe hata na mshipa wa aibu we mwanamke kwa kuwatetea mabwana zako

Kwa hiyo point yako nini haswa, Mrusi ameingia kwenye nchi ya watu akaiba ardhi na kuharibu, uzuri hela yake ipo kote duniani, inasakwa senti kwa senti.
 
Nchi za ulaya zinafuata sheria na jinsi wanavyoiogopa Russia, nina waaiwasi na jaribio hilo kufeli pakubwa sana

Urusi iliogopwa hapo awali ila hii ya sasa hata JWTZ wanaipiga, kwa taarifa zako hela za Urusi zimeshachukuliwa.
 
Upuuzi na wapuuzi ndio watakaofurahia. Hao walioiteketeza Syria, Iraq libya na Afghanistan wamelipa fidia gani au ndio tunakubaliana na ule usemi wa kunya anye kuku akinya bata...

Hayo mataifa umetaja hapo yalijiharibu kwa mizuka ya kijinga ya dini ya mwarabu, ila kwenye huu ugomvi Urusi imeikuta nchi ya watu na kuiba ardhi na kusambaratisha makazi ya watu, lazima hela zao zitaifishwe.
 
Kwa hiyo point yako nini haswa, Mrusi ameingia kwenye nchi ya watu akaiba ardhi na kuharibu, uzuri hela yake ipo kote duniani, inasakwa senti kwa senti.

point yangu !! huu muda unaotumia kushopokea western ungeutumia katka kupigania masilahi ya nchi zako za africa, na injustice na racial segregation zinazoendelea,,, na vita zilizopo africa zinazochochewa na hao mabwana zako wa ulaya
 
Urusi iliogopwa hapo awali ila hii ya sasa hata JWTZ wanaipiga, kwa taarifa zako hela za Urusi zimeshachukuliwa.
Huyo anayeogopwa mbona hatii mguu kama alivyotia Syria, Libya, iraq nk nk?

Mmechukua au mpo ktkt mkakati wa kisheria kujimilikisha baabda ya kuishiwa feda za kufadhiri vita ya Ukraine matokeo ya chumi zenu kuanguka
 
Ukraine hata ikipewa kiasi hicho cha fedha sidhani kama kitaisaidia sana!
Kiasi hicho ni kidogo kulinganisha na uharibifu mkubwa uliofanyika Ukraine! Ikiwemo na kupoteza ardhi kwa Russia!
Nadhani US na Washirika wanazipigia chapuo hizo ili kurudisha gharama zao za misaada ya zana za kivita na fedha waliyoipa Ukraine! Usifikiri Wazungu wanatoa misaada kwa Ukraine bure.
Anyway hata hivyo ni kiasi kikubwa!
 
Back
Top Bottom