ukosefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania JE, UTAPELI NA WIZI NI KIPIMO CHA AKILI? AU JAMII YETU IMEANZA KUCHANGANYA UJANJA NA UKOSEFU WA UADILIFU?

    Habari za muda huu wana-JF. Kuna tukio lililowahi kunitokea ambalo mpaka leo linanifanya niitafakari namna tunavyopima akili za watu katika jamii yetu. Kipindi cha awamu ya tano, wakati nikiwa mwanachuo mkoani Dar es Salaam, nilikuwa na rafiki yangu ambaye alinieleza kuhusu fursa ya kununua...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ijitahidi kuweka vyoo vya umma kwenye vituo vya mabasi na maeneo yenye msongamano

    Kwenye vituo vya mabasi na maeneo yenye msongamano mkubwa wa watu, kama Mbezi, tunaomba Serikali ijenge vyoo vya umma vinavyopatikana kwa urahisi. Vyoo hivyo vitasaidia wasafiri, wanaowasindikiza au kuwapokea ndugu zao, pamoja na wapita njia, kupata huduma bila kulazimika kuingia ndani ya vituo...
  3. JamiiForums Tanzania KERO Tabora tuna kufa kwa ukosefu wa maji safi na mamlaka zipo kimya tu

    Nina kero hii kutoka hapa Tabora Mjini. Tunakaribia mwezi mmoja na nusu sasa hatuna maji safi, na hakuna sauti yoyote kutoka kwa mamlaka husika. Hawana hata samahani wala taarifa yoyote kwamba kuna mgao wa maji. Athari kwa wakazi ni pamoja na: Kukosa maji kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Ukosefu wa Maji Shule ya Sekondari Bombambili

    Shule ya Sekondari Bombambili iliyopo kata ya Kalangalala Wilaya ya Geita, Mkoani Geita, inakabiliwa na ukosefu mkubwa wa maji unaoathiri usalama wa wanafunzi ilihali maji ya GEUWASA yanapatikana 400m tu kutoka shule ilipo. Ukosefu huu wa maji umesababisha uchafu uliokithiri wa vyoo vya...
  5. JamiiForums Tanzania “Kumtetea Rais Samia Mbele ya Wananchi Si Kazi Rahisi: Wingi wa Malalamiko ya Utekaji, Mauaji, Dhuluma na Ukosefu wa Haki Wazua Maswali Mazito”

    Kulingana na wingi wa matukio ya watu kupotea, kutekwa, kuuawa, kudhulumiwa, pamoja na malalamiko ya wananchi kuhusu mahakama kutotenda haki, kumtetea au kumsemea Rais Samia mbele ya wananchi ni kazi kubwa sana! Kwa sababu huwezi kumtetea kiongozi kwa maneno pekee wakati wananchi wanapaza sauti...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Stupid UN, badala ya kujadili ukosefu wa demokrasia, mauaji, udikiteita wa African presidents mnajadili ramani ya dunia! Shame upon you

    Jadi ntakimeshaji udikiteita wa African presidents na mauaji ya watu wao. Mnajadili eti Greenland ni ndogo kuliko Afrika na ramani ya dunia haiko sawa. Haya ni ya kujadili, hadala ya kujadili ni kwa vipi UN itakomesja udikiteita wa , mauaji ya watu Africa.
  7. JamiiForums Tanzania AJIRA TANZANIA: Nini hasa chanzo cha ukosefu wa ajira hapa Nchini ?

    Habari wana jf , Tanzania ina vijana wengi wanaomaliza vyuo kila mwaka, lakini bado wengi wanapata changamoto kubwa ya kupata ajira . Swali ni hili: Je, tatizo kubwa ni kwamba ajira hazitoshi, au mfumo wetu wa elimu hauwaandai vijana na skills zinazohitajika kwenye soko la ajira? Kwa mfano...
  8. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa Kipato chanzo cha Changamoto za Afya ya Akili

    Umasikini wa kipato umetajwa kuwa kichocheo kikubwa cha migogoro katika familia na hatimaye kusabaisha msongo wa mawazo na changamoto za afya za akili. Hayo yameelezwa Agosti 6, 2026 katika mkutano wa tathini ya matokeo wa mradi wa unasihi wa busara, Faraja na Ustawi uliofanywa kwa miezi sita...
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji namba ya daktari wa afya ya uzazi kwa wanaume , nasumbuliwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Nahitaji daktari humu ndani niwasiliane nae naombeni msaada wenu tafadhali
  10. R

    JamiiForums Tanzania KERO Kilio cha Wanafunzi UDOM: Ukosefu wa maji umezidi na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa (ni zaidi ya siku5 sasa)

    Ukosefu wa maji katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umeendelea kuwa kero kubwa kwa wanafunzi. Tunalazimika kutumia muda mwingi kusaka maji badala ya kusoma kwaajili ya UE na mitihani mingine, huku wengine wakikosa kuoga, kufua na hata kupata maji ya ziada. Inasikitisha kuona tatizo hili...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini vilabu vya Tanzania haviingizi sokoni jezi zenye majina ya mastaa wao? Je, ni ukosefu wa mipango ya kibiashara?

    Mauzo ya jezi ni miongoni mwa vyanzo vya mapato ya vilabu vya soka duniani, ingawa fedha zote zinazolipwa na mashabiki haziendi moja kwa moja kwa klabu. Kwa kawaida, mapato hayo hugawanywa kati ya mtengenezaji wa jezi, wauzaji wa rejareja na klabu kulingana na makubaliano ya kibiashara. Hivyo...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye ugonjwa wa Tezi dume vijijini wanakosa matibabu ya ugonjwa huo kutokana na umaskini

    Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume. Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye ugonjwa wa Tezi dume vijijini wanakosa matibabu ya ugonjwa huo kutokana na umaskini

    Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume. Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa Maji Kata ya Sombetini, Wilaya ya Arusha Mjini

    Ni wiki sasa inakwenda, wakazi wa kata ya Sombetini hatuna huduma ya maji safi. Hakuna taarifa yoyote toka kwa mamlaka husika ya maji safi na maji taka ya jiji la Arusha (AUWSA) huku wananchi tukitaabika na adha ya kupata maji safi kwa matumizi mbalimbali ya shughuli za kila siku. Tunaomba...
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukosefu wa Vifaa kwa Wapima ARDHI (land surveyors) ni sababu Kuu ya kuwa na gharama kubwa katika Upimaji Ardhi

    Mimi ni mmoja ya watu wanao amini katika ARDHI hasa zile ambazo hazijaendelea wengi hupenda kuita mapori au bush huko ndio mahali huwa napenda kutupia visent vyangu. sina tofauti na mtu anae bet kwa muhind maana unaweza nunua pori leo baada ya miaka kadhaa unakuja unaambiwa nusu ya eneo lako...
  16. JamiiForums Tanzania Kuiga Biashara: Ukosefu wa Ubunifu?

    Je, kuiga na kufanya biashara zinazofanana ni kukosa ubunifu?
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wiki tatu bila maji: Wananchi wa Unyinga, Mamise na Unyakumi tunataka ufafanuzi kutoka SUWASA

    Tunapenda kufichua kero kubwa inayowakabili wananchi wa maeneo ya Unyinga, Mamise na Unyakumi na maeneo mengine mjini Singida kutokana na ukosefu wa huduma ya maji takribani wiki tatu sasa Kwa kipindi cha hivi karibuni, maeneo haya yamekuwa yakikumbwa na ukosefu wa maji kwa siku nyingi...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa taa za barabarani jijini Mwanza

    Kumekuwa na changamoto ya ukosefu wa taa za barabarani katika barabara nyinginza jiji la Mwanza hivyo kupelekea barabara nyingi usiku kutopitika na pia kuvutia wahalifu. Kwa mfano, barabara inayoenda hospitali ya Rufaa ya Bugando ni giza tupu usiku hivyo kuhatarisha usalama wa wagonjwa na ndugu...
  19. JamiiForums Tanzania DAWASA yafafanua sababu ya ukosefu wa maji maeneo ya Kibaha hadi Kisarawe

    ‎ DAWASA yaomba radhi wateja kukosekana kwa huduma Kukosekana huduma ya Maji Kibaha hadi Kisarawe.. DAWASA yatoa sababu ‎ Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya ukosefu wa huduma ya maji iliyowakumba wakazi wa maeneo...
  20. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira ni janga katika ongezeko la mafundi wasiokuwa na ujuzi timilifu

    Kwa hili ntapata kuzungumzia katika nafasi yangu ya fundi ujenzi (UASHI).... Aisee mafundi wengi miyeyusho sana twende kwenye komenti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…