ukoo

Odesa International Airport (Ukrainian: Міжнародний аеропорт «Одеса») (IATA: ODS, ICAO: UKOO) is an international airport of Odessa, the third largest city of Ukraine, located 7 km (4.3 mi) southwest from its city centre.

View More On Wikipedia.org
  1. darautobroker

    Car4Sale Mercedes Benz ya kuondoa laana za ukoo iko sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏽TSH 65M Call📞+255 747 999 927 MERCEDES BENZ E CLASS Upgrade: 2017-2021 Engine Capacity,: 1,990Cc Low Mileage Fuel Used: PETROL Transmission: AUTO ✨Back Camera ✨Parking Sensors ✨Aftermarket Rims ✅100% Duty Paid ✅Free Registration ✅Swap Deals Allowed
  2. Mshana Jr

    Hakuna cha kurithi zaidi ya jina la ukoo

    Unazaliwa, unaambiwa ujivunie ukoo wako. Unafundishwa historia ya babu zako, ukoo uliotoka, na majina makubwa ya familia. Lakini kadri unavyokua, unaanza kuuliza swali gumu: Mbali na jina, kuna nini kingine? Kwa familia nyingi, hakuna ardhi. Hakuna nyumba. Hakuna biashara. Hakuna akiba. Hakuna...
  3. uhuruborn

    Mwelekeo Hatari wa Tanzania: Pale Upendeleo wa Ukoo Unapogeuka Njia ya Kuteka Nchi Sauti Inayotoka Mtaani. (NEPOTISM)

    Kuna mambo ambayo taifa linaweza kuyavumilia. Lakini kuna mengine ambayo yakianza, hata ukimya unakuwa dhambi. Na moja ya mambo hayo ni pale nchi inaanza kugeuzwa mradi wa kifamilia. Hapo ndipo wananchi, wadogo kwa wakubwa, wanaanza kujiuliza: "Hivi taifa linaelekea wapi? Na linaongozwa na nani...
  4. M

    Una uhakika wa kula maisha yako yote na ukoo wako wote, bado tu ung'ang'ania cheo ili iweje?

    Panaugumu gani mtu kuachia nafasi kwa sababu ya kuogopa nafsi zinazopotea kwa ajiri yako? Unajua kabisa wewe ni waziri wa mambo ya ndani, lakini kinachofanyika kwenye wizara unayoiongoza ni laana tupu ya maisha yako yoote Licha ya watu wengi kuishi maisha ya dhuluma na hata kutesa na kuuwa...
  5. ELI COHEN

    Hatuwezi shindana na ambaye anasema sababu ya kushindwa kwake ni ufinyu wa rasilimali na taarifa ila sisi tunasema ni dhambi za ukoo na kufanya ngono

    Kwa nchi hii fukara yenye watu wenye mindset mgando, rasili za mchongo, pesa iliopo kwenye mifuko ya wachache ila kutotoboa na tabu zako unadanganya watu ni kutokana na makosa ya mababu zako waliofanya na pia ngono inakuua kiroho ndio maana haupati mwanga maishani mwako 🚮🚮 Acha ngozi nyeupe...
  6. M

    Ushauri: Chuki ubaya iliyopandikizwa katika familia yetu dhidi ya ndugu wetu wengine katika ukoo

    Habari wakuu najambo nataka kushare nanyi mnipe uzoefu na ushauri Nina Babu yangu ambae anakua nimjomba wa baba ana Umri wa miaka77,huyu Babu yangu anawatoto walio hai 6 kati ya watoto8 alio kuwa nao ... watoto wake mwenye Umri mdoggo wamwisho anaumri wa miaka36,,huyu Babu yangu mkewe hawa...
  7. Echolima1

    Yasser Abu Shabab Na ukoo wake sasa wamewageuzia mitutu Magaidi wa Hamas!!!

    Kuna msemo wa waingereza wanasema Divide and conquer? na wengine wanasema “Divide and Rule” Kugawanya na kushinda au”Kuwagawanya na kuwatawala ”Rafah sasa iko mikononi mwa watu ambao wanawapinga Hamas katika eneo hilo huku wakiungwa mkono na Israel. Mitandao ya kijamii ya Israeli inajaa picha...
  8. TODAYS

    UKOO: Hakuna Mgumu wa Kutoa Sauti, Hata Mmoja

    Nina uchungu. Hakuna mzee hata mmoja wa kuonya Mkapa, Mwinyi hawapo. Mzee Mkapa ndiye alikuwa anauthubutu wa kusema wazi na kukemea yeyote kwenye nchi hii ukitoa Baba wa Taifa. Kwa sasa nchi haina powerful end say, ndiyo tujifunze kushabikia wanasiasa vizuri. Nchi haina baba na waliopo ndiyo...
  9. and 998 others

    Mtu anawezaje Kulea watoto 15, wake 5 na ukoo bado unakutegemea

    Mwamba kazidi hata Idadi iliyowekwa kwa Wavaa kobazi (4). Watoto wanaojulikana kama wote (15) bado wasiojulikana na ndugu wa Mchongo wanaohitaji Msaada kwako. Hapo kwa Mshahara upi?
  10. CreatureKH

    Jina la ukoo au jina la babu

    Jamani nipo katika mgogoro na nafsi yangu...Je ni hasara gani zinapatikana kutumia jina la ukoo officially Kuna mtu kanambia (mtumishi) nisitumie jina la ukoo kwa mtoto wangu maana linaakisi kabila lake hivyo itakuja kumpa tabu baadae katika harakati zake za kutafta maisha hasa akiamua...
  11. Right Marker

    Baadhi ya watu wakizeeka huwagombanisha ndugu wa ukoo mzima

    Je, kwenye familia au ukoo wenu ulikutana na huu mkasa? Wapo watu ambao wakizeeka hasa kuanzia umri wa miaka 70 na kuendelea, wanandugu mtapitia kipindi kigumu sana ambacho kama nyinyi hamtomuelewa mtaishia kugombana nyote, na hamtoelewana abadan. Anaweza kuwa baba, mama, bibi, babu, dada...
  12. Pdidy

    CHADEMA jifunzeni maamuzi ya Leo CCM kwa viti maalum hivi sio viti vya familia ama ukoo flani ama kabila flan tu

    January niliandika sana hapa nkalia sana na haya mambo ya VITI MAALUM Nkaelezewa sana madhara yake kuna watu wako vijana wanazeekea voti MAALUM kiasi cha kwamba WAKIFIKA kule HATA akili aziwazo kusaidia wananchi WANAJUA watachsguliwa Tena wakipitidha mambo yaooo Sio hivyo iliwafanya HATA...
  13. ELI COHEN

    Sasa hivi ni kama wanawake wamepotezea kuunganisha jina lake na la ukoo wa mme wake

    Kuna wakati ulipokuwa unakuwa hata ukiona kadi ambayo mama yako bi amealikwa mahala binfasi bila baba unaiona imeandika "mrs grace mboma" (mfano). Hilo mboma ni jina la baba yako. Sasa sijui ni imeshakuwa old-fashioned au ndio hio feminism imeshagonga hodi.😂
  14. G

    Bora kumtoa kafara mzazi ama mtoto ili kuokoa wengine ktk ukoo kutoka kwenye lindi la umaskini

    Kukubali ukoo mzima kuishi ktk umaskini ni sawa na kukubali kuutoa kafara ukoo mzima. Ndiyo! Umaskini ni ugonjwa. Mkiwa maskini mtakufa kwa magonjwa, stress au mtauana kwa kugombania vitu vidogo. Ni Bora ukaamua kumtoa kafara mzazi mmojawapo ili awe msukule wa kuleta utajiri utakaotumika...
  15. Baba Kisarii

    Mzee wa Ukoo aleta mtafaruku msibani baada ya kutoa kauli tata

    Nipo Marangu msibani nimemsindikiza best wangu aliyefiwa na shangazi yake na mazishi ni kesho. Sasa basi asubuhi ya leo tukiwa hapa msibani kuna mtafaruku mkubwa umetokea baada ya mzee mmoja anayetambuliwa kiukoo kama Mzee wa Ukoo kusema kwamba baada ya huo msiba atakayefuata kufa ni kaka wa...
  16. G

    Ni aibu kurudi kijijini kila mwaka hujapiga hatua, Ni lazima utarudi mjini na hasira ya kuzisaka noti, kwenye ukoo unadharaulika kama huna pesa

    Jamii nyingi hazina hii pressure, mnakutana kiukoo kwenye misiba na sherehe, Imeisha hio!! Kwa upande mwengine sana kuna haka kautamaduni mnakutana wiki hadi mwezi kwa dhumuni la kujuliana hali, kutambulisha wanafamilia wapya, n.k. Na ole wako ukose sasa kwenda kijijini, kelele zinaanza...
  17. a sinner saved by Christ

    Mila za jadi na mizmu ya ukoo

    Nilipokuwa mdogo kiroho miaka 10 iliyopita,nilikuwa nikishiriki mila za jadi zilizohusisha kutambikia mizimu na kuomba kwa mizimu na kupekela sadaka kwa mizimu. Sadaka kwa mizimu zilikuwa ni mnyama wa kuchinja kuku,mbuzi,kondoo n.k chochote cha kuchinja damu imwagike Pombe ya kienyeji mbege...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Zipi ni faida na athari za kuwa kwenye magroup ya Whatsapp ya ukoo

    Katika makala ya leo, Ni vyema tukaeleweshana kwa kina faida na athari za kuwa kwenye magroup ya Whatsapp ya ukoo. Najua wengi tumezoea kujiunga na magroup ya shule, kazini na biashara ambapo faida zake ni nyingi sana. Kwenye haya magroup unaweza kuona tangazo la kazi, unaweza kupata...
  19. G

    Biashara ni kama mpira hata Messi unahitaji pasi, familia / ndugu / ukoo wakiungana hufanikiwa zaidi kuliko jeshi la mtu moja

    Sio lazima wanafamilia / ndugu / wana ukoo wote wawe wamekusanyika sehemu moja, No !! Inaweza kuwa Mzazi, Dada, Kaka, Last born, Baba mkubwa na mtoto wake kila mtu ana biashara yake ila kuna baadhi ya mambo wanafanya na kufaidika pamoja 1. Ununuzi kwa Wingi Kundi la Familia / Ndugu / Ukoo: Kwa...
  20. Forrest Gump

    Ujuaji mwingi wa Waafrika kuhusu mambo ya imani ndio unafanya wao kuwa watumwa kwa watu wengine

    Mbona hatujapata sasa suluhisho la haya yote. Maana ujuzi halisia wa kitu ina maana hauwezi tena kuwa mtumwa wa kitu hicho. Unaweza kuta mtu anaandika kwa uhakika kuwa sababu ya magumu yako ni nyota yako imeharibiwa au dhambi zako lakini unashangaa kuna tajiri mmoja yupo ana dhambi zaidi yako...
Back
Top Bottom