ukomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baada ya miaka 35, mwili hufika ukomo wa ukuaji

    Unapofika miaka 3, viungo vyote vya mwili hufika ukomo wa ukuaji hivo kila kitu kinaanza kurudi chini, mfano unachelewa kupona vidonda, dawa nyingi zinakukataa na maradhi huja mara kwa mara, kitakchokusaidia ni kama ulikua mtu wa mazoezi nyuma! kama ulikua na lifestyle nzuri ya mazoezi basi...
  2. PostGE2025 Serikali na Polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikomo - aah! Tukutane Ikulu

    Serikali na polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikoma aah, tukutane ikulu
  3. Rais wa CHAD kuongoza kwa kipindi kisichokuwa na ukomo

    Bunge la Chad limepitisha marekebisho ya katiba yatakayomruhusu Rais kuongeza muda wa kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 bila kikomo cha mihula, hatua iliyopigiwa kura na wabunge 171 na sasa inasubiri kuidhinishwa na Seneti. Kwa mujibu wa taarifa ya Radio France Internationale (RFI)...
  4. Ukomo wa Ubunge; wananchi walisema nini kwenye rasimu ya Warioba?

    Moja ya hoja zilizopendekezwa na wananchi katika rasimu ya Katiba mpya ya Tume ya Warioba ilikuwa ni kuweka ukomo wa vipindi vya mtu kuwa mbunge. Mapendekezo yalisema ukomo uwe vipindi vitatu, hata hivyo, Rais Kikwete na bunge la katiba waliikataa hoja hiyo. Kama ilivyo duniani kote, utumishi...
  5. PreGE2025 Mabaraza ya Madiwani kufikia Ukomo leo Juni 20, 2025

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa mabaraza yote ya madiwani nchini yatavunjwa rasmi ifikapo Juni 20, 2025. Tangazo hilo amelitoa leo Jumapili, Juni 15, 2025, alipokuwa akitoa tamko rasmi kuhusu tarehe ya kuvunjwa...
  6. Wakili Onesmo Olengurumwa: Kama Urais una ukomo, Ubunge pia uwe na ukomo

    Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema ili kuongeza vijana kwenye nafasi za maamuzi ni vyema mbunge wa kuchaguliwa akaruhusiwa kuongoza kwa vipindi vitatu pekee(miaka 15) kisha baada ya hapo asigombee tena. Olengurumwa ameeleza...
  7. Kulipigania penzi kunaweza kuwa ndio sababu ya anguko lako na majuto ya milele maishani mwako.....weka ukomo wa uvumilivu....(True story)

    Habari za muda huu waungwana wa hapa..... Leo nimemkumbuka mdogo wangu wa kike mtoto wa mama yangu mdogo..... Mdogo wangu ambaye alikuwa binti ambaye familia ilikuwa na matumaini makubwa sana kwake kutokana na wajihi na tabia zake njema....... Kwa kufupisha story safari yake ya kielimu...
  8. Zile pikipiki zilizopo kwenye vituo vya polisi ziwepo na ukomo wa kukaa

    Leo nilikuwa nakimbizana na wapendwa kadhaa kuwasaidia baadhi ya vituon waliivyopelekwa Ktkt pita pita Yangu nimeona vituon vimejaaza pikipik mpaka unashangaa Na zingine zinaozea vituoniiii TUNAOMBA tu kama USHAURI hixipikpik pale OFISIN hazileti picha nzuri LA kufanya muwe na mda kadhaa...
  9. Uzinduzi wa kampeni ya rais wa tff mtarajiwa jamal malinzi;take a time to read dont be tyd

    ednesday, October 23, 2013 KUELEKEA UCHAGUZI WA TFF: HII NDIO ILANI YA UCHAGUZI YA MGOMBEA JAMAL MALINZI UCHAGUZI WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF) 2013 ILANI YANGU YA UCHAGUZI Utangulizi Ndugu...
  10. R

    Je, Kuna ukomo katika kutii mamlaka za WANADAMU ?

    Hellow! Kuna agizo kabisa Kutoka Kwa Mungu kupitia vinywa vya manabii na vitabu vya kiimani kuwa tunapaswa kuzitii mamlaka, Kwa kuwa mamlaka hizo zimeruhusiwa na Mungu. Sasa matukio yafuatayo na simulizi ndani ya vitabu vyetu kiimani, zinanipa maswali kuwa, Inawezekana upo ukomo katika kuzitii...
  11. N

    PreGE2025 Wanawake na Uongozi 2025

    Katika kuhakikisha mwanamke hapati vikwazo Kuna sheria ya uchaguzi inavyomlinda mwanamke sheria ya uchaguzi ya Zanzibar no. 4 ya mwaka 2018 na sera ya jinsia na ushirikishwaji wa jamii ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar iliyoanzishwa mwaka 2015. Je, uwepo wa Sera na Sheria hii utatoa mwanya...
  12. Luhaga Mpina: Taifa limebakiza 4.6% tu kufikia Ukomo elekezi wa Deni la nje. Kauli ya 'Deni letu ni himilivu' karibu inapotea

    Uhimilivu wa Deni la nje kulinganisha na Pato la Taifa umefikia Asilimia 35.4% Kati ya 40% , hivo kubakisha 4.6% tu kufikia Ukomo Elekezi !! Kile kiswahili Cha kwamba, Deni letu linahimilika ,sasa kinaenda kufikia Ukomo.
  13. Kama USA tu, celebrity endorsement imefikia ukomo hata bongo

    Haifanyi kazi tena. Watu wanatumia akili sasa hivi. hatubebeki kiselasela Sio tu huko mjini hata hapa Nanjirinji. Uzi tayari Ngoja nikabet
  14. W

    PreGE2025 Mbowe: Si kweli kuwa Chadema hakuna ukomo wa uongozi

    "Kwanza nizungumze kitu kinachoitwa ukomo wa madaraka, ndani ya taasisi ya Chadema na ujue Chadema ni chama cha siasa ni kundi la watu ambapo ukijunga na chama chetu kama ambavyo ungejiunga na chama kingine chochote kitu cha kwanza unakubalina na katiba ya chama," "chama chetu kimeweka ukomo wa...
  15. Kuna tetesi Dunia inafikia ukomo, Masiha anarudi?

    Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
  16. Tafakari kwa Viongozi wa Kisiasa: Siku ya ukomo wenu mtaacha Taifa la namna gani kwenye mikono ya warithi wenu?

    Viongozi wakuu wa kisiasa nchini Tanzania, ukiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni vyema kutafakari kwa kina kuhusu urithi wa uongozi wenu kwa taifa hili. Siku ya ukomo wa uongozi wenu inakaribia, siku ambayo mtaweka chini mzigo wa kuiongoza nchi na kuwaachia wengine waubebe kwenye...
  17. R

    Republican, Democrats (USA), Conservative, Liberal na Liberal Democrats (Uingereza) havina ukomo wa uongozi sawa na Chadema

    Huko tulikoiga siasa hizi za vyama vingi huo ndio utaratibu wao. na wana sababu za msingi. Sababu hizo bado zina mashiko kwa Chadema. Msikilize Ansbert ngurumo https://www.youtube.com/watch?v=rL5qDn_RctU
  18. Je chadema kutoweka ukomo wa kugombea nafasi ya uongozi walikosea?

    Salaam wana Jamvi,ninavwatakieni jumapili njema yenye baraka tele.baada ya kusema hivo,hebu nirudi kwenye mada yangu.kumekuwa na shinikizo kubwa sana la watu kutaka chadema wa badilishe kifungu kwenye katiba Yao kina cho ruhusu mtu kugombea nafasi yoyote bila ukomo mpaka wanachama watakaposema...
  19. PreGE2025 Mbowe: Chama chetu hakina ukomo wa Madaraka na msitulazimishe kuwa kama CCM ama Act Wazalendo wenye ukomo wa Madaraka kwa viongozi

    Mwenyekiti wa Chadema bwana Mbowe amesema chama chao cha chadema hakina ukomo wa madaraka na watu wasiwalazimishe kua kama CCM ana ACT wazalendo wenye ukomo wa Madaraka. Mbowe anasema ukomo wa madaraka kwenye chama chao ni pale wanapofanya uchaguzi kila baada ya miaka 5 hivyo kama kiongozi...
  20. G

    Abdul Jumbe alikuwa kichwa sana. Pamoja na kupinga muungano wa serikali 2, kumbe alipinga urais usiokuwa na ukomo?

    Kuna kila haja ya kuanzisha kumbukumbu ya Abdul Jumbe hapa nchini. Kwa maoni yangu huyu ndiye mzanzibari mwenye akili na maono mengi. Huyu mwamba nilipata kufahamu kuwa aliupinga kwa nguvu zake zote huu muungano magumashi wa serikali 2. Lkn sikupata kufahamu kuwa yeye ndiye kinara wa kupinga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…