ukoloni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Kumbe Marekani ndio inapokea pesa za mauzo ya mafuta ya Iraq! Sasa hii ina tofauti gani na ukoloni?!

    Nilikuwa siwaelewi watu waliokuwa wanasema Marekani iliivamia Iraq kwa sababu ya mafuta, huenda pia kwa sababu wao walikuwa wanaongelea uporaji wa mafuta kana kwamba makampuni ya Marekani yanachimba mafuta halafu yanajiuzia tu mafuta na kuondoka na pesa kubabe au kifisadi wanavyojisikia...
  2. Kimbesa11

    Samia ni Rais pekee Afrika anayeukataa ukoloni mambo Leo (neo-colonialism) waziwazi

    Husika na mada tajwa hapo juu. Tanzania imebahatika kuwa na Rais ambaye anaweza kuitetea na Kuilinda Tanzania dhidi ya manyanyaso ya mabeberu. ameionyesha Dunia kuwa Tanzania inaweza kusimama bila wao, huo ndo uongozi ambao Africa inahitaji kwa Sasa. ameyakataa mashinikizo ya kimagharibi...
  3. funaku

    Bunge la Ulaya lituletee azimio la kulaani vifo wakati wa ukoloni Tanzania

    Tanzania inahitaji fidia kutoka kwa mabeberu yaliyochota mali na kuchukua watu utumwani. Hii ni sambamba na kutoa idadi kamili ya maafa yaani waliouawa kwa mijeledi na kunyongwa nyakati za ukoloni
  4. Mashamba Makubwa Nalima

    Barua kwa Kwanza Kwa Mr. Ebbo: Labda leo Wamasai wangepata mtetezi, shida wanazopitia sio, waliitwa mpaka "waKenya", Huu ndiyo UTU???!!!

    Kwa kinachotokea kwa Wamasai sasa sio UTU kabisa na nakumbuka mara kadhaa tulipokutana uliniambia kuhusu ndugu zako Wamasia unavyotaka kuona wakiheshimiwa kama watu wengine. Leo hamna thamani yoyote, waandishi wa habari hawawataki kuwasikia na kureport taarifa zenu, wanasiasa wanafurahi...
  5. T

    Mo Ibrahim: 70% ya Bajeti ya AU inafadhiliwa na wazungu. Wazungu wakitoa misaada tunawaita washirika wa maendeleo, wakihoji wanaitwa wakoloni

    Bilionea Mo Ibrahim anasema 70% ya bajeti ya umoja wa Afrika AU inatokana na michango ya wazungu. Mo anasema wazungu hao wakitoa fedha za misaada tunawaita washirika wa maendeleo ila wakihoji utawala bora tunawaita wakoloni, mabeberu. Mo anasema tuhoji, kwa nini 70% ya bajeti ya AU inatoka kwa...
  6. Jidu La Mabambasi

    Anayekumbuka: Maandamano wanafunzi wa UDSM kupinga ukoloni wa Wafaransa

    Mnamo miaka ya 1970s , wanafunzi wa UDSM waliandamana Dar es salaam International Airport kupinga siasa za ukoloni wa Kifaransa . Maandamano hayo yalikuwa dhidi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, aliyeitembelea Tanzania kuona ni misaada gani wafaransa wanaweza kuleta na ushirikiano...
  7. SankaraBoukaka

    Umefika Wakati SHIKAMOO na MARAHABA Ziondolewe Kwenye Matumizi Yetu ya Kiswahili Maana Zinadumisha UTUMWA...

    Katika jamii nyingi zinazozungumza Kiswahili, maneno "shikamoo" na "marahaba" yamekuwa sehemu ya mawasiliano ya kila siku, hasa kati ya vijana na wazee. Lakini ni muhimu tutafakari upya historia na maana halisi ya maneno haya. Je, ni heshima au ni mabaki ya utamaduni wa utumwa? Je, matumizi yake...
  8. Prof_Adventure_guide

    Wanaume Jifunzeni Ku-Handle Familia Zenu: Usikubali Uongozi wa Nyumba Ugeuke Ukoloni!

    Listen up kings, let’s get this real and raw—life ya ndoa siyo sinema, na hakuna mtu atakuja kukufundisha kuishi na mwanamke wako. Hii ni game ya akili, moyo na nidhamu ya hali ya juu. Ukiona unam-control mke wako kwa makelele, vitisho na mangumi, bro unaishi kama colonizer wa karne ya 18. Hii...
  9. Kichuguu

    Tanzania Kama Zilivyo nchi nyingi za Afrika, tunapitia Ukoloni wa aina nyingi

    Tuliachana na ukoloni wa Chui tukakutana na ukoloni wa Mbwa mwitu tukaishia ukoloni wa Fisi, hatujajua tutishia ukoloni wa nani. https://www.youtube.com/shorts/F3LQYQ3XbE8
  10. Mwizukulu mgikuru

    Huu Ukoloni na umangimeza wa kuwalipa mishahara watumishi wa JWTZ mapema na kuwasubirisha watumishi wengine ukomeshwe..

    Katika moja ya mambo ambayo nchi yetu imerithi kutoka kwa wakoloni ni hili la kuwalipa mishahara mapema watumishi wa majeshi hasa JWTZ na kuwaacha watumishi wengine wakisota kwa muda inatakiwa ukomeshwe kama sio kupigwa vita kabisa. Sote tunafahamu kuwa katika nchi yetu kumeundwa vyama...
  11. M

    Tanzania irudi kwenye mfumo wa chama kimoja ili kukomesha ukoloni mamboleo

    Nilikuwa kwenye pitapita zangu YouTube nikakutana na video hii https://www.youtube.com/watch?v=8blC9qfUya8&t=222s Kwenye hii video utajifunza kuwa taifa le kigeni tena siyo taifa jirani bali taifa ambalo liko mbali kabisa na nchi yetu limeamua kuingilia siasa za ndani ya taifa letu bila aibu...
  12. Mindyou

    Video: Huu kama sio ukoloni ni nini? Wachina waanzisha hoteli ambazo Mtanzania huruhusiwi kuingia

    Wakuu, Tunaposema kuwa Wachina ni existential threat kwa jamii yetu ya kitanzania huwa tunamaanisha Hapa ni GUangdong Hotel, Dar Es Salaam, huyu jamaa kasimamishwa getini anakatazwa kuingia kwenye hii hoteli na mlinzi. Akihoji kwanini anaambiwa hiyo hoteli ni "special" kwa Wachina. Ngozi...
  13. H

    Nitasimama daima na "Waasisi wa Afrika waliotangulia mbele ya haki kwaajili ya Waafrika" na siyo kwaajili ya wakoloni

    Naanza kwa sara ya UAFRIKA: Ee Mungu, Mikononi mwako naweka Roho za WAAFRIKA WOTE. Nakushuru Mungu kwa baraka zote ulizotujalia WAFRIKA. Ee Mungu wa majeshi,nakushuru kwa wema wako umetulinda mpaka kufikia sasa WAAFRIKA tunaanza KUJITAMBUA ,tunasema Asante sana. Ee Mungu Baba nakuja tena...
  14. H

    Kwanini moto wa kuzimu usianze na wazungu waliotumia jina la Mungu kuuwaua Waafrika wana wa Mungu kupitia ukoloni?

    Habarini, Hili nalo linafikirisha WAAFRIKA wanakosa gani mbele ya MUNGU WA KWELI hadi waandaliwe moto wa kuwaunguza wakati wazungu waliowatawala na kuwanyonya wanastarehe tu ma kula mema ya ulimwengu kila kukicha??
  15. Musangaa

    Ukoloni mamboleo

    Jamani watanzania wanateseka ndani ya nchi Yao. Popote ukikutana na madhira Yao tuwafariji. Nchi ishakuwa ngumu hii.
  16. Angyelile99

    ukoloni ndani ya uhuru wa mtanganyika.

    mitaba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI 1.Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini 2.Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue Carbon LLC) wamepewa kusimamia na kuhifadhi misitu ya...
  17. Braza Kede

    Hizi ni taswira ya vijiji vya Afrika, Asia, Uarabuni na Ulaya. Waafrika tunakwama wapi? Je bado tunasumbuliwa na ukoloni au tumerogwa?

    Hizi ni taswira ya vijiji vya Afrika, Asia, Uarabuni na Ulaya. Waafrika tunakwama wapi? Je bado tunasumbuliwa na ukoloni au tumerogwa au kunani hasa?
  18. Mwislam by choice

    Uslam na Ukoloni katika inchi za africa

    Je! Waislamu walikoloniza Afrika kwa njia ile ile ambayo nguvu za Magharibi zilipokoloniza Afrika, inamaanisha kweli? Uislamu ulienea Kaskazini mwa Afrika, Afrika Mashariki, na Afrika Magharibi kwa kiasi kikubwa kupitia biashara na mwingiliano, na hilo lilipelekea kuundwa kwa falme za wenyeji...
  19. Tlaatlaah

    Uchaguzi wa kitaifa chadema unadhihirisha jinsi gani wana chadema na watanzania wengine wasivyotamani kuona ukoloni mambo leo ukirejea Tanzania

    Ni wazi wanachadema wamezinduka na kustukia dhamira na nia zenye mashaka dhidi ya baadhi ya wagombea uongozi wake wa kitaifa. Kauli ya muwakilishi wa wazee wakati wa kuwasilishwa ujumbe wa wenyeviti wa mikoa wa chadema kumuomba na kumshinikiza chairman Mbowe kugombea uenyekiti wa chadema Taifa...
  20. Rule L

    Miaka 63 ya uhuru wenye ukoloni wa mtu mweusi.

    Kwanza kabisa poleni na pilika za mwisho wa mwaka, mambo yamekuwa mengi ajali, magonjwa na kila aina ya ubaya unaotulenga sisi binadamu. Tuwe na mwisho mwema. Hili suala la uhuru kiukweli mimi sioni kama ni uhuru wenye haki na kufuatwa kwa misingi ya katiba kama inavyoagiza. Kama haitoshi...
Back
Top Bottom