Chama cha ACT Wazalendo kimesikitishwa na kinalaani vikali ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, ubomoaji wa makazi, uteketezaji wa mali, vitisho na ukatili unaofanywa na Kampuni ya Nolic kwa kushirikiana na Kampuni ya Kilimo ya Azania Noble dhidi ya wananchi wa Kitongoji cha Miyomboni Kijiji...
Leo tunaamua kuvunja ukimya.
Sisi ni wakata tiketi (Cashiers) wa Mradi wa MwendoKasi (BRT Phase II – Mbagala) tunaofanya kazi kupitia Vodacom Tanzania katika mfumo wa ukusanyaji wa nauli. Kila siku tunahudumia maelfu ya abiria na kuhakikisha huduma ya tiketi inaendelea bila hitilafu.
Hata...
Anonymous
Thread
haki za wafanyakazi
mwendokasi
tanzania
ukiukwajiwahaki
unyonyaji
Wakuu,
Nimeona niwaletee mrejesho na uchambuzi wa waraka muhimu sana ambao umetoka leo tarehe 10 Julai 2026 kutoka kwa Kundi la Mawaziri wa Jumuiya ya Madola linaloshughulikia Demokrasia na Haki za Binadamu (CMAG - Commonwealth Ministerial Action Group). Kikao chao cha 73 kimefanyika leo kwa...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani kile kilichodai ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na vyombo vya dola dhidi ya wananchi wa Kitongoji cha Luhafe, Kijiji cha Vikonge, Kata ya Tongwe, Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, huku kikitangaza kuwa kinafikiria...
Kamati ya Bunge la Ulaya ya haki za binadamu imepokea ushahidi kuhusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania katika kikao maalum.
Soma: Mke wa Lissu abubujikwa machozi akitoa taarifa Kamati ya Haki za Binadamu EU
Ushahidi huo umetolewa na mke wa mwanasiasa wa upinzani Tundu...
Viongozi waliokataa kukubali mabadiliko wanayodai mwananchi katika Nchi zao,kama kupinga ubaguzi wa rangi Nchini South Africa. Chaguzi za viini macho kama Tanzania Uganda na Mozambique, utekwaji na mauaji ya kisiasa kwa wananchi, wanasiasa wa upinzani kufungwa magerezani kwa kupambikizi wacase...
Mimi ni mwakilishi wa Watumishi kadhaa ambao naweza kusema ni wengi katika Hospitali ya Bugando (BMC), kuna malalamiko dhidi ya uongozi ambao tunaweza kusema kuna "unyonyaji na ukandamizaji" unaofanywa na baadhi ya viongozi wa taasisi yetu.
1. Mazingira ya Kazi na Ukandamizaji wa Muda
Moja ya...
Anonymous (a103)
Thread
bugando
changamoto
hakihaki za wafanyakazi
kilio
ukiukwajiukiukwajiwahaki
unyanyasaji
wafanyakazi
watumishi
Tangu Nicolás Maduro achukue hatamu za uongozi mwaka 2013, Venezuela imepitia misukosuko mikubwa ya kisiasa na kijamii ambayo imesababisha shutuma nzito za ukiukwaji wa haki za binadamu.
Mashirika ya kimataifa yamekuwa yakiandika ripoti mbalimbali zinazoonyesha mbinu za kimfumo zinazotumiwa na...
Mange Kimambi amemuandikia barua Rais wa Marekani, Donald Trump, akimueleza kwamba akaunti zake za Meta—ikiwemo Instagram, ukurasa wa habari anaouendesha, na namba yake ya WhatsApp—zimefungwa baada ya kuzitumia kufichua ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Tanzania, huku akihimiza...
Wanabodi
Kitendo cha Tanzania kuzima internet kwa siku 5 mfululizo toka siku ya uchaguzi mkuu, kimepelekea Tanzania kubalaswa kimataifa, kuwa uzimaji huo wa internet sio tuu ni ukiukwaji wa haki za binadamu, bali pia umesababisha hasara kubwa za ma bilioni ya pesa.
Hii ni taarifa ya taasisi ya...
TAARIFA KWA UMΜΑ
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Kimesikitishwa na matukio ya mauaji na uvunjifu wa haki za binadamu wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba mwaka 2025.
Wakati Rais akiahidi maridhiano tunatoa wito wa kuundwa kwa Tume huru ya Kijaji kuchunguza...
Siyo siri, kuna watu wana roho ngumu, si mchezo!
Kipi si kweli katika makala hiyo?
Yanatokea Tanzania leo haya?
Kwamba ni kwa uchu tu wa madaraka? Looh!
Tukiwashangaa kina M7 na wenzao, kumbe hao walikuwa cha mtoto!
======
Tanzania: Deepening Repression Threatens Elections
Stop Wrongful...
Wakili Mkuu wa Serikali amewekà mezani kwa Hakimu kwamba kesi inatoendelea ya Lisu anayeshtakiwa mbele ya Mahakama za Tanzania isioneshwe live, inaleta tafsiri gani kwetu wananchi?
Mtazamo wangu:
Serikali inaonesha nia yake ovu kwa kila hatua ambapo Wakili wa Serikali anawakilisha matakwa hayo...
Tume ya Afrika ya Haki za binadamu ya watu yenye makao yake makuu Banjul Gambia, imesema kwamba vitendo vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea nchini Tanzania, vinalichafua taifa hilo katika uwanja wa kimataifa.
Taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya tume hiyo imevitaja baadhi ya vitendo hivyo...
Rais Samia atajifichia wapi sura yake wakati huu dunia ikimnyooshea vidole kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu kwenye utawala wake wakuelekea uchaguzi mkuu halafu baadae asimame aseme na yeye eti ni rais wa Tanzania aliyechaguliwa kidemokrasia ?
Sasa kama watanzania hawakutaki na dunia...
Kumekuwa na madai ya ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar es Salaam. Madai haya yanahusu hatua za DDC kudai umiliki wa maeneo ambayo tayari yameendelezwa na wananchi kwa miaka mingi...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya hivi karibuni, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa tamko kali na lisilo na kificho dhidi ya vyombo vya dola kufuatia kukamatwa kwa Wakili na Mwanasiasa maarufu Tundu Antipas Lissu. Katika taarifa ya kushtua iliyotolewa leo, TLS imetaja hatua hiyo...
Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini.
Kama ambavyo...
binadamu
elections
hakihaki za binadamu
iendane
kampeni
mataifa
no reform
no reform no elections
tanzania
ukiukwajiukiukwajiwahaki
vikwazo
viongozi
viongozi wa tanzania
wapinzani
Jana vyombo vya habari vya kimataifa vilitangaza taarifa iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya human right watch juu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea nchni. Nimepita magazeti karibu yote habari hiyo haikuandikwa popote. Paskali mara nyingi huwa unajitokeza kutetea wanahabari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.