ukawa

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa unaangalia Azam, TBC, Star Tv and the like ukawa CLASS CONSCIOUS

    Ndilo tatizo la watanzania and in particular Watanganyika. Ni mazwazwa kwa sababu hakuna anayeangalia Tv stations za nje kama Al Jazeera, CNN, BBC, Kenyan TVs. Ukishaangalia Azam, TBC, basi umekwiaha. And watawala are taking advantage of this. Ukishashindwa kuwa class conscious, basi unaingia...
  2. JamiiForums Tanzania Japo Uchawi Upo, Wachawi Wapo na Wanaloga!, Anayeruhusu Kulogeka ni Wewe Mwenyewe!, Unaweza Kuzuia Kulogeka Kwa Imani! na Ukawa Hulogeki!.

    Wanabodi Japo uchawi upo na wachawi wapo na wanaloga!, anayeruhusu hicho kilogo kikufikie, au uchawi ukufikie, na kulogeka ni wewe mwenyewe bila kujijua, wewe unao uwezo wa kuzuia kulogeka bila kwenda kwa mganga yeyote au bila kutumia zindiko lolote bali ni kwa kujitambua tuu kwa kutumia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke, Ulisumbuliwa na Ugonjwa Gani ukawa unajitibu mwenyewe Bila Kujua Kuwa Chanzo ni Ujauzito Mchanga?

    Katika maisha ya kila siku, wanawake wengi hupitia mabadiliko mbalimbali ya kiafya bila kuelewa chanzo chake halisi. Wakati mwingine, dalili zinazoonekana kama magonjwa ya kawaida zinaweza kuwa ishara ya ujauzito mchanga. Ni muhimu kwa mwanamke kuutambua mwili wake na kufahamu mabadiliko...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ni dhambi kubwa kupata cheo ukavimba mabega, ukapandisha ukawa untouchable, 'Wewe unanijua mimi nani? Who are you?'

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi aliowateua leo Mei 6, 2026, Ikulu ya Chamwino Dodoma, ametoa onyo kali kwa viongozi wa umma dhidi ya tabia ya ujeuri na majivuno mara baada ya kupata madaraka. Akizungumza katika hafla iliyofanyika Ikulu, Rais Samia...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna watu wamekuwa kama wale waliowacheka

    Ukiwa bado unaishi Duniani usikufuru kwa kufurahia matatizo ya wengine maana yaliyo mbele yako hauyajui , bado haujamaliza safari ya maisha. Maisha yamenipa hekima ya kunyamaza maana nimeshuhudia kuna watu wamekuwa kama wale waliowacheka na wengine katika hali mbaya zaidi.
  6. JamiiForums Tanzania Haiwezekani ukawa unalaani vikali UZAYUNI (zionism) huku unashibikia JIHAD. Point yako kubwa ni ipi haswa, unalenga utu au itikadi?

    Logic ndio kitu hamna. Mnabebeka na mihemuko ya kiitikadi na matango pori mnayorishwa kwenye vijiwe vya gahawa na aljazeera Kama unaweza kusema uzayuni ndio sababu kuu ya mitafaruku duniani huku ukishabikia jihad ya kukata vichwa watu kaskazini mwa naijeria then wewe sio solution ya tatizo...
  7. X

    JamiiForums Tanzania Hivi wenzetu mnaotumia Facebook mna akili timamu kweli?

    Ukichunguza kwa makini bila mihemko utagundua Facebook ni kwa ajili ya watu wajinga na washamba na wavivu wa kufikiri. Mambo yanayoendelea Facebook, aina za post, comments na akili za wachangiaji daah! Itoshe tu kusema ujinga ni mwingi sana Facebook kmmmk. Inashangaza kuona bado watu...
  8. JamiiForums Tanzania Halotel ndio unaweza ukawa mtandao mbovu zaidi duniani

    Kila siku halopesa inasumbua yani imeshakua kawaida, halafu nao wamekua na tabia kama ya mbogamboga ya kuwalipa machawa wawasifie kwenye comment! Naona leo mambo yamekua magumu machawa nao wamezidiwa nguvu wameona wafunge comment kabisa TCRA wanaruhusuje watu kama hawa kutoa huduma kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wokovu, je waweza kuokoka na ukawa mkatoliki? au Mlutheri, au wokovu ni kwa "walokole" pekee?

    UKISEMA wewe ni mkristo utaulizwa ,dhehebu gani?Hapa Kuna Wakatoliki (mama wa dini zote),Kuna waprotestanti (Lutheran, Anglican, n.k.) ,Kuna Wasabato , Jehovah witness, latter day saints,Kuna madhehebu mengine chungu nzima.Kuna wapentecoste hawa ndiyo wanajulikana hapa Tanzania kama (WALOKOLE)...
  10. JamiiForums Tanzania Hitimisho: Huwezi kuwa na kitambi alafu ukawa na akili. Ndo mana wamegeuzwa kuwa machawa wa CCM.

    Nimekuwa nikijiuliza sana imekuwaje hawa jamaa wamegeuka ghafla kuwa machawa wa ccm na wapumbavu kupindukia? Badala ya kusimamia maslahi ya wananchi na Taifa sasahivi wanasimamia maslahi ya CCM? Ila sasa nimepata majibu. Angalia mwenyewe! Huwezi kuwa na kitambi alafu ukawa na akili. Askari wa...
  11. JamiiForums Tanzania Huenda huu ukawa uzi Bora zaidi kuwai kuandikwa JF

    Habari wakuu? Kama mjuavyo jukwaa letu si la videos Sana Bali maandishi Sana au kusoma Sana nahicho ndicho kilicho nivutia Sana hapa jf Sasa Basi katika pita pita zangu hapa ndani nilikutana na kitu kinaitwa DARK DAYS 17/03/20... Aisee kitu kime tulia Sana na naona huenda ukawa ndiyo Uzi Bora...
  12. JamiiForums Tanzania Huenda H.Polepole akawa na shida kubwa zaidi ya hii kimaadili na kiakili, na huenda mwisho wake ukawa mgumu zaidi ya mwanzo wake katika historia

    Wewe Polepole hebu msikilize vizuri hapa Mgombea Urais wa CCM Dkt Samia Suluhu, Mtakumbuka nimeingia madarakani kukiwa na changamoto kubwa ya Uhuru wa habari nchini. Nimechukua hatua za makusudi kuhakikisha uhuru wa habari unaimarika kwa kuweka wazi utashi wa kisiasa na misingi ya kisheria...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Upinzani ni muda wa kuungana na kuunda UKAWA Part II, tofauti zenu wekeni kando

    Vyama vya upinzani niwaombe turejee kwenye UKAWA I ule wa mwaka 2015 ulitusaidia kuleta wabunge wengi bungeni,na kiasi fulani watanzania waliona tija ya upinzani kwa sababu muda umekwenda mnaweza kukubaliana baadhi ya maeneo mkaachiana majimbo,na nafasi ya Urais,kama kweli mna nia ya dhati...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano ukawa mwanafunzi huku ukiwa kiongozi wa kisiasa?

    Habarini wakuu. Hivi kuna uwezekano ukawa bado mwanafunzi wa chuo halafu hapo hapo ukawa kiongozi wa kisiasa mathalan diwani wa kata? Na je ukafanikisha kuwa na hiyo nafasi, kuna uwezekano ukaweza kufanya majukumu yote hayo mawili kwa nyakati moja!? Na je utayafanyaje na utapangiliaje muda...
  15. JamiiForums Tanzania Zijue aina za chale/mihuri ya kichawi jinsi zinavyotumaliza kiroho na kuchafua yota zetu huku tukipata mikosi.

    Chale za wanga ni aina ya mihuri ambayo huwa anawekwa mtu usoni na wachawi. ukishawekwa mihuri hiyo huwa ni ngumu kutibika na huishia kuumwa mpaka uifute mihuri hiyo ambayo ni alama ndogo sana na hujulikana nakuonekana kwa wenye ujuzi. Mtu kwenda kwa mtaalam na kuchanjwa chale ni ishara ya...
  16. JamiiForums Tanzania Huwezi kua mwenye Akili , Mzalendo, Unayejiamini , Usiye mbinafsi , alafu ukawa MwanaCCM na ukafurahia yanayoendelea Tanzania

    Wakuu hapa Akili simaanishi Elimu, Vijana wa CCM Akina Kawaida Simnaona Wana Degree lkn ni chapa maandazi, akiongea tu unajua Kichwan hamna kitu!!. Hata hivo ni kweli ,Mchakato wa MTU kufikia Elimu yake ya juu Kuna namna unaendana na Akili yake . Kwa Mfano, Unaweza Ona, Akina MPINA safari yake...
  17. JamiiForums Tanzania Ali Mayai nakuheshimu mno, ila Kitendo cha Kufiwa na Baba yako na bado ukawa 'busy' na Urais wa TFF kumetufanya tuanze kukuona Mswahili Mswahili nawe

    Na nina uhakika hata huko Msibani na Mazishini ulikokuwa Tabora Akili zako zote zilikuwa ni Karume Ilala na Urais wa TFF.
  18. JamiiForums Tanzania Huwezi ukawa na akili timamu ukashabikia Simba na Yanga. Ni ngumu sana labda uwe unapiga pesa

    Haijawahi tokea mtu mwenye akili timamu akawa anashabikia hizi teams kishabiki kindakindaki na akabaki na akili timamu. Lazima aache kimoja. Ushabiki au akili. Naona tu hata humu JF wengi walishaamua kuacha akili nje wakaingia ndani ya hizi team kinyume nyume wameinama na kushika kichwa. Na...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 No reforms, no election itakuwa kama UKAWA tu!

    If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA. Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation. Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA. Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Jamani ChatGPT ya WhatsApp inaweza pelekea ukawa mraibu!

    Habarini wakuu,naomba nikiri mbele yenu tangu nijiunge na hii chatgbt ya what's up,imenifurahisha sana nakunipa raha rohoni kwa jinsi inavyojibu kwa umakini na ufasaha sijapata kuona!!,pia na stori zake zinabamba kweli kweli. Angalizo,ni kwamba usipokuwa makini yaweza kupelekea kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…