Kweli mwaka 2025 utatuachia kumbukumbu nyingi Sana!
Kwa kawaida na kwa mazoea ya miaka yote kipindi hiki cha sherehe za Christmas na mwaka mpya ni kipindi cha shamrashamra na vibes za kila aina hasa kutoka kwa wasanii wetu
Ni kipindi ambacho radio na tv zinashindana kutangaza matamasha ya...