Mabwana,
Najua mna furaha adui yenu aliyefichua mambo yenu amenaswa. Japo hakuna jipya kwa sababu tunaujua uchafu wenu, nawaomba chonde chonde.
Jitokezeni lau mkanusha hata kinafiki vinginevyo mjue. Your cover has been blown out. Kwa wanaume kweli, hili si jambo la kuacha upepo utulie...