ujumbe

  1. JamiiForums Tanzania Mo dewji kaamua kuwasiliana moja kwa moja na raisi wa CAF, motsepe kuhusu mechi ya fainali kuchezwa zenji

    President of Tanzanian giants Simba SC Mr Mo Dewji has sent a direct message to CAF President Dr Patrice Motsepe. Mr Mo felt so much disappointed in the decision to send the 2024/25 CAF Confederation Cup final to Zanzibar. He asked CAF President to intervene in this and ensure that the game is...
  2. JamiiForums Tanzania Mfikishieni Kihongosi Ujumbe huu haraka sana - Kutoka kwa Heche

    ANAANDIKA Mh Heche makamu mwenyekiti CHADEMA TAIFA Huyu kijana Kenani Kehongosi ni Sabaya mwingine.. Huyu ni kijana amedhuru watu wengi sana. Ameruhusu madaraka yamvae na kwasababu hana uwezo anafikiri kujipendekeza kufanya hujuma kwa wapinzani kunampa sifa kwa boss wake.. namkumbusha tu...
  3. JamiiForums Tanzania Kama una date msichana wa Kichaga, kuna ujumbe wako hapa

    Habari za wakati huu wakubwa Niende kwenye maada lengwa, mimi nina miaka 35 kwa sasa na katika mahusiano yangu nime date nao kwa 80% ni wachaga hata wale wa hit and run ..wengi ni wachaga. Wadada wa kichaga upstairs wako vizuri na wako sharp sana. Kimsingi kama wewe ni ndezi tu huwezi dumu naye...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Mwabukusi kwenye mtandao wa X unaweza kutumika kuhakikisha aende Mbeya kwa kumfungulia kesi na kumuweka ndani

    Ule ujumbe wa vitisho wenye matusi ndani yake alioundika kwenye mtandao wa X, unaweza kutimika kama sababu ya kumkamata na kisha kumshitaki lengo ni kuhakikisha harudi mbeya. Kwa jinsi hawa watu walivyowaoga, wataona ni bora wamalizane nae mapema kabla hajafika Mbeya na njia mojawapo inaweza...
  5. JamiiForums Tanzania Balozi Mbundi aongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Afrika Mashariki

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Balozi Stephen P. Mbundi leo tarehe 8 Mei, 2025 ameongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kikao cha Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Watoto hawa wa shule gani? Kwanini waingizwe kwenye siasa?

    Hawa wa shule gani?
  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Inadaiwa kuwa Mdude kapatikana nyumbani kwa Lema Arusha

  8. Z

    JamiiForums Tanzania Ni ujumbe wa kanisa Katoliki kwa Rais Samia na serikali yake?

    Baba Padre anasema hii itume kama inavyotoka. Video inajitosheleza kabisa.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Sikiliza ujumbe mahsusi kwa Rais samia na IGP Wambura

    Kwa uchungu mkubwa Nabii ROLINGA amesema watanzania wamechoshwa na Polisi na Serikali kumwaga damu za Watanzania wasio na hatia. Ametaka watawala waache mara moja kutesa na kumwaga damu ya watanzania kwani inaleta LAANA katika nchi. Ametaka kuwepo na mazungumzo ya kumaliza tofauti zilizopo. Je...
  10. JamiiForums Tanzania Maisha ya Kujikubali: Maana Halisi ya Ujumbe wa Body Positivity

    Katika miaka ya hivi karibuni, dhana ya body positivity imekuwa ikijadiliwa sana kwenye mitandao ya kijamii na katika jamii kwa ujumla. Hata hivyo, mara nyingi maana halisi ya ujumbe huu hupotoshwa au kueleweka vibaya. Body positivity haimaanishi mtu kuwa na mwili mnene na manyama uzembe na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa Watanzania.

    Ndugu zangu Watanzania, siyo kwamba Tundu Lissu, John Heche, John Mnyika, TEC, Sheikh Ponda, Ask. Mwamakula, Ask. Mwanamapinduzi, Ask. Mwamalanga, Ask. Bagonza, Ask. Shoo na wengineo wengi walio mstari wa mbele katika mapambano ya kupigania HAKI wana dhiki sana, hapana. Wangeweza kubaki na...
  12. JamiiForums Tanzania Kumekucha! Kumekucha ! Huyu ni Askofu Bagonza

    Ni vyema watawala wetu wakazingatia ujumbe huu mahususi kutoka Kwa mtumishi huyu wa Mungu mwenye maono aliyekataa nira ya watawala. Mtu huru na aliye objective. Nisiwachoshe hebu tumusikie wenyewe
  13. JamiiForums Tanzania Sipendi kuambiwa "Oya Vepe?" Ni ujumbe gani ukiuona tu, unajua unaye-chat naye hana akili?

    for educational purposes and enjoyment ... Heb tutiririke jumbe ambazo kwako wewe huwa ni za kifala as per your perceptions. Tukiziona tujirekebishe ili tusionekane mazutwa kwa watu. Mimi mtu akinisalimia tu "VEPE .. " basi kanikosa ... Simjib text Hadi kesho . Akirudia Tena bas naachana nae.
  14. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu JK Kikwete awasilisha Ujumbe Maalum kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Congo (Congo Brazzaville)

    Rais wa Awamu ya Nne na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha Ujumbe Maalum kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Congo (Congo Brazzaville), COLLINET MAKOSSO Anatole. Anatole alipokea ujumbe huo wa maandishi kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Congo, Denis...
  15. JamiiForums Tanzania Morning pals! Muwe na mapambano mema katika siku ya leo. UJUMBE: Jikubali hali yako na uwezo wako, anzia hapo, na utafurahia kile unachokifanya.

    Muwe na siku njema!
  16. JamiiForums Tanzania TCRA Yatakiwa Kuchukua Hatua Madhubuti Kudhibiti Utapeli wa Kielektroniki Kupitia Ujumbe wa Simu

    Ni Jumapili juzi nikiwa zangu mitaa ya Arusha natoka zangu kumshukuru Mungu basi nikaona ni vyema nijiandae kutoka out kidogo nikatafuta sehemu kuna wakala wa huduma za kifedha. Nikauliza kama naweza kutoa pesa na alinikubalia kuwa nitoe huku akinipa na namba ya kutolea. Dakika kama tano...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Rais Samia kuhusu Tundu Lissu kukamatwa na kufunguliwa mashtaka

    Mama, waliokushauri umkamate Tundu Lissu na kumfungulia mashtaka makubwa makubwa hayo hawana nia nzuri na wewe. Yaani, wamekupoteza/ wamekudanganya. Nionavyo mimi ni kwamba, badala ya kudhani unatatua tatizo hapo kwa akili yangu umeongeza tatizo mara 50 zaidi. Faida ya kumfungulia mashtaka...
  18. JamiiForums Tanzania Tukiwa tunafikisha ujumbe wa mabaya yanayofanywa kutoka haya maeneo ya kihistoria, msitaje hayo maeneo bali taja mamlaka hizo zinazofanya mabaya hayo

    Usiseme Iran inaandaa nuclear bali sema IRGC inaandaa nuclear. Usiseme palestine imerusha makombora bali sema hamas wamerusha makombora Usiseme Israel anapigana lebanon bali sema israel anapigana na hezbollah Usiseme Yemen inadungua meli za US bali sema wahuthi wanadungua meli za US Haya ni...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete awasilisha ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha ujumbe Maalum wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed. Ujumbe huo umewasilishwa Ikuku jijini Addis Ababa April 11, 2025. Mhe. Kikwete pia aliwasilisha Salamu za Rais Samia ambazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…