ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania The Voices From Within: Warning kwa Chadema, Be Very Careful, Msifanye Ujinga Wowote!, Mkileta Tuu Ujinga!, Tarehe 21 Jan. Kutakuwa Hakuna Uchaguzi!.

    Wanabodi Mzee wa masauti, Nimesikia sauti ikiniambia niwaonye Chadema mapema tuu, kwenye huu uchaguzi wao wa mwenyekiti, this time around, wasithubutu au wasifanye ujinga wowote au janja janja yoyote!, wafuate tuu katiba yao, sheria taratibu na kanuni, uchaguzi upite salama. Wakileta ujinga...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kunywa bia kwa fujo na kupiga misele kwa gari msimu huu wa sikukuu. Halafu January unauza hiyo gari kwa bei ya kutupwa ili ulipe kodi/ada.

    Maandalizi ya kuufanya mwezi January kuwa mwezi dume, yanafanyika msimu huu wa sikukuu. Watu wanaponda mali kana kwamba wanakufa kesho ama wameagana kabisa na shida za dunia. January inapofika inawakuta watu hao wako hoi bin taabani kiuchumi. Wataanza kuhaha kuuza hata kile kidogo...
  3. JamiiForums Tanzania Kuhusisha ushoga na kila kitu ni ujinga unaochipua

    Watanganyika Sasa wanahitaji msaada wa Kisaikolojia Kwanza nakubali kuwa ushoga ni jambo baya Kwa maadili yetu, na inafaa ukemewe Siku hizi watu wengi wapo wanahusisha ushoga na jambo lolote, nilikuwa kijijini Nina Miche ya mapapai Fulani kwenye shamba langu, basi wakaja washikaji wapo pale...
  4. JamiiForums Tanzania Ujinga alioufanya msanii Willy Paul jana dhidi ya wasanii wa Tanzania ukemewe vikali

    Jana usiku kulikuwa na Tamasha pale Nairobi ambalo moja ya Wasanii walioalikwa kutumbuiza ni Wasanii kutoka Tanzania, Diamond Platnumz akisindikizwa na Zuchu huku Msanii mwingine akiwa Rayvanny. Vurugu zilianza baada ya muda wa Diamond Platinumz kupanda stejini kufika ambapo Msanii wa Kenya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya ngano yawe mbadala wa ugali Afrika Ili kuondoa Ujinga

    Salaam, Shalom! Mtu alivyo ni matokeo ya chakula anachokula. Ni Kweli waafrika tunapenda ugali, lakini ugali Hauna faida sana kiafya na kiakili kama ngano, Sasa tusilalamike tena kusema wazungu Wana akili kutuzidi, tutafute kujua wanakula nini kama tutaukuta ugali. NB: Ngano iwe brown wheat...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe ukikosa vigezo mwanamke Hawezi kuwa na wewe, ila ujinga wa wanaume tunalegeza kamba

    kwa staili hii wanawake wataendelea kutuburuza sana wanaume katika masuala ya maslahi na mustakabali wa ustawi wa maisha yetu. Wanawake wengi wanawinda Mali tu na pesa kwa mwanaume, sasa kama huna kitu ni nadra sana kukidhi vigezo mbele ya wanawake wengi.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nataka kusearch mtandaoni ile midoli inayovalishwa nguo katika maduka ya nguo

    Habari zenu Nataka kusearch mtandaoni ile midoli inayovalishwa nguo katika maduka ya nguo Naomba kuuliza je kwa kiingereza inaitwaje? ili niweze kuisaka huko Alibaba Ahsanten
  8. JamiiForums Tanzania CCM msishinde tu uchaguzi kwa asilimia 99.999999999 bali shindine na ujinga, umasikini, na maradhi kwa walao asilimi 51 inatosha kabisa

  9. JamiiForums Tanzania Nitafanya ujinga wote ila sio ujinga wa kuchagua kilichochaguliwa

    Leo hii watu wengi wamepanga foleni kuchagua kilichochaguliwa. Huo muda mchafu sina
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyotokea Kariakoo ni ukumbusho kuwa Amani hulevya Ujinga

    Mimi ni mshabiki namba moja wa Israel, ila nimeguswa na tukio la kuanguka kwa Jengo Kariakoo, Jitihada tuliyoweka katika uokozi ni aibu kwetu hasa sisi Watanzania tunaomini sio Nyani. Gaza kwao kuanguka kwa majengo ni kila siku tena kwa mabomu na sio uzembe, lakini Watu wake na mifumo yao ya...
  11. JamiiForums Tanzania Thabit Zaka za Kazi: Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango na nawadharau hata Mashabiki wao Wanaomumini

    "Nadhani Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango. Anasema Mchezaji wao Dube huwa akitaka Kufunga Goli anapunguziwa mwanga wa Taa na Wafanyakazi wa Uwanja wa Azam Complex ila mbona hatujasikia lawama za Makipa wa Timu pinzani wakilalamika kuwa na Wao Dube akitaka tu Kuwafunga nao...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wagombea wasio na kazi wanaenguliwa! Huu ni ujinga. Wapiga kura wasio na ajira wasishiriki, huu ni werevu.

    Utata wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa, utata huu unatokana na kutotumia ubongo kuweka sawa kanuni huku wahusika wataka wasioridhika wakate rufaa! upotezaji muda.
  13. JamiiForums Tanzania Kwa haya tunayofanyiana Waafrika nakuja kuona hotuba ya P.W. Botha ilikuwa ina mashiko kwa kiasi fulani

    Although Botha alikuwa ni mbaguzi juu ya watu weusi South Africa lakini zaidi ya miaka 30 baadae unakuja kuona alikuwa sahihi katika baadhi ya vipengele katika hotuba yake. Baadhi ya vipengele vya hotuba yake: "Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA acheni kulialia ujinga ni wenu

    Wasalaam. Naliwashauri hapa hapa kabla hata zoezi la kuandikisha wapiga kura halijaanza. Niliwasihi chadema wasithubutu kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa na chaguzi nyingine mpaka kuwe na tume huru wakashupaza shingo na sasa mnalia kuchezewa rafu na ccm, muache kulialia mnatukera...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje familia fulani unakuta mwanamke ndiyo msemaji wa mwisho?

    Hivi inakuwaje familia fulani unakuta mwanamke ndiyo msemaji wa mwisho? Ama mwanamke unakuta eti anamzidi kila kitu mwanamme wake?! Binafsi kwa maoni yangu ni USHAMBA KUKUBALI KUONGOZWA NA MWANAMKE KWA NAMNA YEYOTE ILE. Mwanamke lake jiko na kutangulia chini na si vinginevyo.
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchunguzi wangu unaonyesha wanaume wengi hufa mapema kwa sababu hawakupendwa na wake zao

    UCHUNGUZI WANGU UNAONYESHA WANAUME WENGI HUFA MAPEMA KWA SABABU HAWAKUPENDWA NA WAKE ZAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu wengi hujiuliza Kwa nini Wanaume hutangulia Kufa Kabla ya Wake zao. Imefikia hatua jamii imeshakuwa na mtazamo huo kuwa Mwanaume lazima atangulie Kufa Jambo ambalo...
  17. JamiiForums Tanzania Sometimes akili nyingi ndio chanzo cha kufeli kimaisha, ukiona imeshindikana kufanikiwa kimaisha jaribu ujinga

    Mtu mwenye akili timamu huwezi kumuambia ili atajirike inabidi akauze pipi kwa mtaji alionao au mayai ya kuchemsha kama kianzio kwa sababu anajua fika mtaji mdogo utampa faida ndogo ataona ni upotevu wa muda na nguvu kwa sababu hesabu anazijua. Sometimes ujinga ni mtaji. Lakini mtu asiye na...
  18. JamiiForums Tanzania Sio ujinga kutumia sabuni ya unga na kipande kwa pamoja wakati wa kufua nguo?

    Huwa naona watu wanatumia sabuni za aina mbili katika kufua, mtu analoweka nguo kwa sabuni ya unga kisha baadaye anatumia sabuni ya kipande wakati anazifua! Sasa hii maana yake huwa ni nini? Kwamba sabuni ya unga haitoshi kutakatisha nguo wakati wa kufua? Sijawahi kuolewa mantiki ya hili jambo.
  19. JamiiForums Tanzania Mbabe aache Ujinga wa kuishi kwenye Kivuli cha Ronaldo Christian. Ni Utoto

    Huyu dogo kama fala.... Sijui hawamwambii? Kuwa sasa amekua aache ujinga. https://www.instagram.com/reel/DAFMY5BsQTm/?igsh=NnhwZGpqdmRtM3Q3
  20. K

    JamiiForums Tanzania Siku tukiweka pembeni ujinga wa kulindana

    SIKU TUKIWEKA PEMBENI UJINGA WA KULINDANA Tukalimana kwa mujibu wa ilani, katiba, kanuni, miongozo na taratibu, na tukaazimia kutenda haki bila kuwaonea mafukara, tukausaka usawa — siku hiyo itabarikiwa na kuifanya nchi ineeemeke kwa haki. Nilisikika huko ndotoni nikitema cheche, nikikemea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…