Kila siku matamko na vigenge kwamba hamtaleta timu siku mechi ya derby ikipangwa. Mnafanya kazi saa ngapi?
Viongozi wenu wameshachukua hatua, wameshatoa matamko, wameshapeleka barua Bodi, TFF na huko CAS. Acheni hizo hatua na malalamiko yafanyiwe kazi na maamuzi yatatoka.
Hao wanaowachochea...