ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Scared

    Kununua ardhi halafu huna pesa ya kujenga ni ujinga, Bora hiyo hela ufanyie biashara

    Kuna jamaa alikua ana milion 5 zake akakimbilia kununua kiwanja mwaka jana halafu hela ya kujenga hana Sasa hivi anateseka Hivi Hawa watu wana akili timamu acheni ujinga fanyeni biashara ardhi ni hasara Kwa mtu unaejitafuta huyu jamaa sa sa hivi kachoka njaa imemjaa hela zake katupa ardhini
  2. machafuko jr

    Kuhusu cheo cha Mufti na Ayatollah

    Wakuu hivi cheo alicho kuwa nacho ayatollah yule jamaa aliepigwa bomu ndo sawa na cheo cha mufti wetu hapa Tanzania? Asante
  3. S

    Mfumuko wa vijana wenye Elimu Ndogo Pesa Nyingi Tanzania ni mkubwa sana; wanaongea ujinga na kuweka mbele kujionyesha na kujisifia mafanikio yao

    Tanzania hivi sasa tunakabiliwa kwa kiwango kikubwa sana cha vijana tunaowaita Elimu Ndogo Pesa Nyingi (Tuwaite EP kwa kifupi - Elimu Pesa), ambao utawatambua katika namna ya maongezi yao, kutamba kwao na kujionyesha kwao. Hata humu JF wapo wengi tu. Utaongea nae dakika tatu tu na kujua kwamba...
  4. figganigga

    Eti Mwiguli Nchemba karudisha Tabasamu Monduli. Nani aliliondoa? Ujinga Mtupu😏😏

    Mwigulu Nchemba na Samia Suluhu ni genge moja lilishiriki Mauaji ya 29.10.2025 Nchi Tanzania.. Wananchi walliokuwa wanapinga Uchaguzi kkuyokuwa huru, walliuawa kama Nzi. Hadi Dunia ikashituka. Leo Mwigulu anadai eti amerudisha tabasamu kwa Wananchi.. Nadhani tunataka kujua ilipo miili ya...
  5. Mhaya

    Kobazi Wanashangiliaga Ujinga, Palestina alipoteza Iran nae Kapoteza

    Moja ya vitu vinavyoniuzi ni kuona wavaa Kobazi wakiwa wanashangilia pale vita vinapoanza. Mfano Palestina alipoanza kufanya mashambulizi pale Israel. Wavaa kobazi walianza vifijo na ndelemo, wakisema Israel lazima apotee. Mambo yakageuka Israel ikaanza kugawa dozi haswa. Wavaa kobazi wakaanza...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa mujibu wa Dini zote tulizoletewa; Hakuna dhambi wala Karma kumtenda ubaya mtu asiye jamii yako, ndugu yako. Waafrika tuache kuamini kwenye ujinga

    KWA MUJIBU WA DINI ZOTE TULIZOLETEWA; HAKUNA DHAMBI WALA KARMA KUMTENDA UBAYA MTU ASIYEJAMII YAKO, NDUGU YAKO. WAAFRIKA TUACHE KUAMINI KWENYE UJINGA. Anaandika, Robert Heriel Yule Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Mtibeli. 1. Leo nitafundisha self awareness. Ili watu waache kujidanganya. 2...
  7. Dalton elijah

    POTOSHI Gazeti la mwananchi lilichapisha kuwa Watazania wanaongoza kwa ujinga Afrika

    Kwa siku za hivi karibuni kumwepo na jalada la kipande cha gazeti la mwananchi ambacho kinasomeka kuwa watazania wanaongoza kwa ujinga afrika Ufuatiliji unaonesha kuwa Kichwa hicho cha Habari ni potofu hakina ukweli wowote na kinalenga kupotosha umma dhidi ya watanzania Pia ufutailiaji zaidi...
  8. USSR

    CHADEMA inatumia mifano hovyo inawadanganya wafuasi wake kuwa Samia atahukumiwa ICC ,hii mifano ya kuondoa ujinga huo

    Hawa ndio viongozi wa Afrika waliowahi kushtakiwa na International Criminal court bila la maana kutokea au kutokamatwa kabisa 🇰🇪 Kenya (Kesi za 2007–2008 Post-Election Violence) 1️⃣ William Ruto Wakati huo alikuwa Waziri; sasa ni Rais wa Kenya. Alishtakiwa ICC mwaka 2011. Kesi ilifutwa 2016 kwa...
  9. Genius Man

    Unakuta mbaba mtu mzima naye anakaa heti mama mama mama msituletee ujinga na umama kwenye vitu msingi

    Unakuta mbaba mtu mzima naye anakaa heti mama mama mama msituletee ujinga na umama kwenye vitu msingi. Ulekeo wa umama mnaofanya hauna msingi wowote bali ni ujinga na upumbavu mbona mlikuwa amumuiti mama akiwa makamu wa rais. Kwahiyo mnampenda samia kweli au mnataka vyeo na rushwa ? ukiona mtu...
  10. Mshana Jr

    Ni nani yuko nyuma ya huu ujinga!?

    Shirika la Haki za binadamu Duniani la Amnesty International imeikana barua iliyodaiwa kuwa yao iliyokwenda kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), iliyokuwa ikilaani na kukemea kuhusu baadhi ya wanachama wao walioingia nchini Kenya, kujitambulisha kama wakimbizi wa kisiasa na baadae...
  11. W

    Ujinga wanaofanya watu wa parking za mjini

    Huwa kuna sehemu maeneo ya Mnazi mmoja kuna kama chuo kidogo huwa naenda , darasa ni kwa saa moja Huwa mara chache naenda na gari, ila Kuna kitu hakipo sawa, yaani haiwezekani nipaki kwa saa halafu bili ije 5000 Hicho chuo kipo kama gorofani, juzi wakati nashuka nakuta mtu wa parking yupo na...
  12. Desierto

    Inakuwaje kwa chombo Cha habari kinachojiita super brand kufanyia ujinga huu

    Huu ni ujinga utoto na uoga kwani kila habari kwa sasa wanakuwa wanajua kabisa mapokeo yatakuwaje. Ni heri kama wameshalijua hilo
  13. Genius Man

    Kuwapangia wabunge nini cha kuongea Bungeni (wasifie tu) ni ujinga na upumbavu

    kuwapangia wabunge nini cha kuongea bungeni wasifie tu ni kinyume cha sheria na hakina msingi wowote ni ujinga na upumbavu. Nimesikia wabunge wanapangiwa cha kuongeea bungeni tena huongei mpaka uwe kwenye list kama watoto wa shule ya maingi. suala hili linalivua nguo taifa zima kwa ujumla na...
  14. Allen Kilewella

    Ujinga: Silaha ya CCM kuwatawala watanzania

    Mtu mjinga siku zote ni mtaji wa mtu mwerevu. Na siku zote watu laghai na waovu huzuia watu wajinga wasierevushwe maana huo ndiyo utakuwa msiba wao. CCM tangu baada uchaguzi wa mwaka 2000, imekuwa ikitumia ujinga wa baadhi ya watanzania kuendelea kubaki madarakani. Hebu ona mjinga anavyomlaumu...
  15. Z

    KIFO CHA GADDAFI: FUNZO LA USALITI NA UJINGA WA WAAFRICA ⚖️🔥

    Leo 2026, miaka mingi imepita tangu Muammar Gaddafi auawe kama mnyama mbele ya macho ya dunia. Waafrika wengi wanazungumza kwa hisia, lakini ukweli mchungu ni kwamba sisi wenyewe tulifungua milango kwa mabeberu ili waje kumuua ndugu yetu. 🟢 UPANDE WA PILI WA SARAFU: MEMA YA GADDAFI 🇱🇾✨ Hatuna...
  16. Genius Man

    Hatuuchukulii utekaji na mauaji kama vitisho bali ni upumbavu na ujinga unaofanywa na watu wasio na akili

    Hatuuchukulii utekaji na mauwaji kama vitisho bali ni upumbavu na ujinga unaofanywa na watu wasio na akili kwa vile huna akili.
  17. The Father of All

    Tuache kuuziwa ujinga na vitabu vya dini za kimapokeo

    Ukisikia wajinga wasiofikiri wala kutaka kuelimika wakijisifu unaona aibu. Mfano, utasikia mtu mzima akisema kitabu fulani cha dini fulani kimejaa sayansi. Ukichunguza kwa malkini, unakuta ni utopolo na uzwazwa mtupu. Mfano, vitabu vinasema eti kila nafsi itaonja mauti. Du! Hii nayo ni sayansi...
  18. G Sam

    Huu ujinga uliofanywa leo na wanaojiita Wakatoliki nitashangaa kama Simbachawene hatowajibika

    Huu ujinga uliofanywa na wapumbavu wasiojielewa na matahira waliojiita wakatoliki nitashangaa sana kama utaachwa hivi hivi. Wanaoweza kufanya upumbavu kama huo ni watu matahira wasiojua wanachofanya. Sisi kama taifa tumefika mbali kwenye hatua za kutekwa na upumbavu. Kama nchi yapo mambo mengi...
  19. Genius Man

    viongozi wa kiafrika tunapaswa kuiga nchi zilizo endelea tuache ujinga na upumbavu

    viongozi wa kiafrika tunapaswa kuiga nchi zilizo endelea tuache ujinga na upumbavu
  20. Zee la madawa

    Endeleeni kuwaza kwenye udini wenzenu wakiendelea kutajirika kwa ujinga wenu!

    Msidanganyika na hoja za udini Waziri mkuu ni mkristo bilashaka hapo yupo katika kanisa la RC au KKKT kama sijakosea. Na makamu wa rais ni Mkatoliki. Na mkuu wa majeshi na mkuu wa polisi ni Wakristo. Sasa muelewe kuwa ccm haina udini bali mikakati ya chama. Udini ni cheap politics kwa wajinga...
Back
Top Bottom