ujenzi

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Fundi Ujenzi afariki dunia kwa kukosa Huduma ya Kwanza ndani ya Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Biashara cha Afrika Mashariki – EACLC, Ubungo

    Hivi karibuni fundi ujenzi ameanguka ndani ya EACLC, Wachina wagoma kumpatia huduma ya kwanza akataliwa na mabosi zake wa kampuni za Kichina, afariki akiwa njiani kuelekea hospitalini mwili wake wasafirishwa na kuzikwa kimya kimya kwao Tabora. Katika miradi mingi ya ujenzi iliyopo hapa nchini...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane faida na changamoto za kuweka milango ya aluminium kwenye nyumba ya kuishi kama mbadala wa milango ya mbao milangoni?

    Tusaidiane faida na changamoto za kuweka milango ya aluminium kwenye nyumba ya kuishi kama mbadala wa milango ya mbao milangoni?
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Katimba: Ujenzi wa Soko la Mwanga na Katonga Utaimarisha Mazingira ya Biashara Kigoma

    NAIBU WAZIRI KATIMBA: UJENZI WA SOKO LA MWANGA NA KATONGA UTAIMARISHA MAZINGIRA YA BIASHARA KIGOMA Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawaka za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Zainabu Katimba amesema ujenzi wa Soko la Kisasa la Mwanga na Soko la Samaki la Katonga mkoani Kigoma utaleta tija...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Biteko: Serikali imejenga hospitali mpya 129, hospitali 50 zimekarabatiwa, ujenzi hospitali za wilaya 677 na zahanati 425

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kutekeleza miradi mingi katika sekta ya afya inayolenga kuongeza ufanisi katika huduma za afya na kuboresha maisha ya Watanzania. Sambamba na kulipongeza Kanisa Katoliki kwa juhudi zake za kutoa huduma za...
  5. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kituo Chetu Mabasi Arusha hiki hapa

    Eneo kinapotarajiwa kujengwa ni palepale Bondeni City ambapo pembeni yake kutakuwa na mji wa kisasa (satellite city) Kwa mgeni wa jiji la Arusha, eneo la bondeni lipo barabara inayoelekea kwenye kambi ya kufunza vijana (JKT Oljoro) kutoka kwa mromboo ni takribani 8km. Kwa taarifa za awali ni...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yasaini Mikataba 93 Ujenzi wa Miundombinu Iliyoathiriwa na Mvua

    Bashungwa asisitiza TANROADS haiko hoi, miradi 87 yaendelea kutekelezwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) imesaini mikataba 93 yenye jumla ya Shilingi Bilioni 868.56 kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya dharura ya barabara na madaraja iliyoathiriwa na mvua za El Nino pamoja Kimbunga...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa mradi wa maboresha bandari ya Mwanza Kaskazini umefikia asilimia 44

    MRADI WA MABORESHO YA BANDARI YA MWANZA KUKAMILIKA APRIL IMEELEZWA kuwa mpaka sasa ujenzi wa mradi wa maboresha bandari ya mwanza kaskazini umefikia asilimia 44 ambapo kukamilika kwake kutasaidia kuongeza idadi ya abiria waliokua wakisafiri kwa siku ni mia 6 kwa mwaka abiria milioni 1.64 na...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Amour: Wabunifu majengo na Wakadiriaji Majenzi zingatieni sheria

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi, Mhandisi Aisha Amour amewataka Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za utendaji kazi ili kupata majengo bora, salama yasiyoathiri mazingira na yanayoendana na thamani halisi ya fedha. Akizungumza Oktoba 30, 2024...
  9. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Nyumba nzuri sana, ambazo ujenzi wake hutumia kontena

    Ni nyumba nzuri zinazoweza kujengwa popote pale, lakini zinapendeza zaidi zikijengwa katika mazingira pembeni mwa Miji bushes.
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yazidi Kutoa Fursa Wataalamu Sekta ya Ujenzi

    Serikali imesema kuwa imeendelea kuwajengea uwezo Wataalamu wa ndani wa kada mbalimbali nchini ikiwemo ya Ubunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi kwa kuwashirikisha kwenye miradi mkubwa kupitia Wizara ya Ujenzi. Akizungumza Oktoba 29, 2024 jijini Dar es Salaam, katika Mkutano wa Tano wa mwaka wa...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Dodoma Wamshukuru Rais Samia kwa Ujenzi wa Machinga Complex

    WAFANYABIASHARA DODOMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA UJENZI WA MACHINGA COMPLEX ▪️Jiji kujenga sakafu kupunguza nguvu ▪️Mbunge Mavunde awachangia 10m kutunisha mfuko wa Soko ▪️Awataka Mgambo wa Jiji kuacha kutumia mabavu ▪️Aahidi kuwaunganisha na Taasisi za fedha kwa ajili ya mitaji ▪️DC...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Achangia Milioni 100 katika Ujenzi wa Kanisa la AICT

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan yuko tayari kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali kuhusu maendeleo na ustawi wa nchi. Dkt. Biteko amesema...
  13. Ndama Matandiko

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Wana JF Habari za siku nyingi kidogo wakuu? Sasa mliopo Zanzibar nimewafikia kama una changamoto ya kimazingra katika Petro station ⛽ Yako unataka kituo kivutie wateja wako Kwa madhingira kuwa mazuri zaid. Ama unahitaji kujenga au kulekebisha kituo chako Karibu tushauliane tutoe kitu kizuri...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kusainiwa Mkataba ujenzi wa Barabara za DSM - MUNGU TUSAIDIE ISIWE NI SIASA ZA UCHAGUZI

    Serikali kupitia waziri wake wa Tamisemi Mh Mchengerwa imetutangazia kusainiwa kwa mikataba ya ujenzi wa Barabara za halmashauri za jiji la DSM. Maoni ya wananchi wengi wanaonyesha kutokuamini uhalisia wa jambo hili kwani inaonyesha ni kila mwaka kumekuwa kukitolewa ahadi nyingi ambazo zimekuwa...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Ambana Mkandarasi Kasi Ndogo Ujenzi wa Barabara ya Nyamwage - Utete

    BASHUNGWA AMBANA MKANDARASI KASI NDOGO UJENZI WA BARABARA YA NYAMWAGE - UTETE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa hajaridhishwa na usimamizi na kasi ya ujenzi wa wa barabara ya Nyamwage - Utete (km 33.7) kwa kiwango cha lami na kumuagiza Meneja wa Wakala ya Barabara (TANROADS) Mkoa wa Pwani...
  16. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa njia nne Mbeya washika kasi

    Ujenzi wa njia nne katika halmashauri ya Jiji la Mbeya umeshika Kasi sana,ujenzi huo unaanzia Nsalaga Hadi Ifisi Barabara hizo pindi zitakapokamilika zitasaidia sana kupunguza msongamani katikati ya Jiji ambao umekuwa tatizo kubwa. Wakati huo huo tunaiomba serikali kuikamilisha mapema...
  17. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Mbinu mbalimbali za kupunguza gharama za ujenzi

    Mbinu mbalimbali zinazoweza kutumika kupunguza /kuokoa gharama zisizo za lazima katika ujenzi. 1)MBADALA WA TANK LA KUHIFADHIA MAJI. Naanza na hii ,maeneo yetu mengi maji yanatoka kwa mgao wa mara moja kwa juma hivyo utalazimika uhifadhi maji kwa ajili ya kazi yako ya ujenzi. Njia hii ni...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mkataba ujenzi Daraja la Jangwani, Sh Bilioni 97.1 kutumika

    Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire - Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni 97.1 ambapo kazi ya ujenzi itatekelezwa kwa miezi 24. Mkataba huo umesainiwa leo Oktoba 22, 2024...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania India: Watu wenye silaha wamewaua watu saba waliokuwa wakifanya kazi kwenye mradi wa ujenzi wa handaki muhimu linalosimamiwa na India, Kashmir

    Mambo yanazidi kuwa moto kwenye baadhi ya mataifa. Matukio ya kuuwana yamendele kushika kasi sana Watu wenye silaha wamewaua watu saba waliokuwa wakifanya kazi kwenye mradi wa ujenzi wa handaki muhimu katika eneo linalosimamiwa na India, Kashmir, na kuwajeruhi wengine watano, maafisa wanasema...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TARURA yakamilisha ujenzi wa daraja la Msadya, mkombozi kwa wananchi wa Mpimbwe

    Mpimbwe, Katavi Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekamilisha ujenzi wa daraja la Msadya lenye urefu wa mita 60 na upana mita 10.5 pamoja na ujenzi wa barabara unganishi ya Kibaoni-Chamalendi-Mdede kwa gharama ya shilingi bilioni 4.2 katika Halmashauri ya...
Back
Top Bottom