ujenzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Nimepata huduma mbovu kutoka kwa Mfanyakazi wa NHIF - Dar, imebidi Kiongozi wake wa juu aingilie na kuniomba radhi

    Jamani mi natoa ya moyoni leo kwasababu naamini hapa JF ndo sehemu pekee nitaongea na kero yangu ikatatulika. Huwa tunaambiwa mteja ni Mfalme, lakini huu ufalme mbona kama umegeukia Kwa watoa huduma? Hili suala nilishaliona sana NHIF lakini kwasababu sikuwa na pa kuongelea basi likawa linauma...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro alitoa Saa 72 ujenzi usitishwe na Uwanja urejeshwe ulivyokuwa, leo ya 110 hali bado ni ileile

    August 12, 2024 Waziri wa Michezo, Dr. Damas Ndumbaro alifika eneo la Tegeta-Wazo kufuatia kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa Wananchi wa eneo hilo kudai Uwanja wa Panga ambao unatumika katika michezo na shughuli za kijamii kuna zoezi lilikuwa likiendelea la kuchimba msingi. Kusoma sakata...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwonekano mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, utakaotumika kwenye michuano ya AFCON 2027

    Matukio mbalimbali katika picha wakati Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Methusela Ntonda alipokwenda kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, wakati wa kikao kazi cha mwezi cha maendeleo ya mradi huo. Ntonda alikuwa ameambatana na...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Akabidhi Wakandarasi Ujenzi Madaraja Manne - Ushetu, Bilioni 18 Kutumika

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametambulisha na kuwakabidhi Wakandarasi Wazawa kutoka Kampuni ya Salum Motors na Jonta Investment kwa Wananchi watakaoanza ujenzi wa madaraja makubwa manne ya Ubagwe, Kasenga, Ng’hwande na Mwabomba yaliyoathiriwa na mvua za El Nino katika Halmashauri ya...
  5. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha utakaotumika kwenye Fainali za AFCON 2027 wafikia 11%

    UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA WAFIKIA 11% Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amesema anaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya Fainali za AFCON 2027 ambao hadi sasa umefikia 11% za ujenzi. Msigwa...
  6. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kutumia mafundi maiko kwenye ujenzi

    Tuanze na faida kwanza 1. Bei rahisi, uzuri bei zao mchekea sana na kama ukiwa mbishimbishi au mtu wa kukomaa kubargain sana unapata punguzo kubwa kabisa la bei bila kujali ugumu au ukubwa wa kazi yenyewe. 2. wanatumia vizuri rasilimali zilizopo, ukitaka fundi maiko akujengee ukuta...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Ujenzi wa Interchange ya SGR - Mwanza umesimama, Barabara nayo ni mbovu, kero ya foleni ya magari imekuwa kubwa

    Ujenzi wa Mradi wa SGR hapa Mwanza ambao kwa muda mrefu umekuwa hauna mwendelezo umesababisha kero ya foleni hasa katika Barabara ya magari eneo la Mswahili Mkoani Mwanza. Kero hiyo ipo zaidi katika Interchange ya SGR ambapo Barabara inayotumika kwa chini ni mbovu na wakati wa mvua hali huwa...
  8. Hharyson

    JamiiForums Tanzania We do design and construction services

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES APPARTMENT VILLA EACH UNIT 2BEDROOM PLOT SIZE 20X30M CALL/WHATSAP +255624004650 VISIT OUR OFFICE SINZA PALESTINA
  9. yello masai

    JamiiForums Tanzania Wadau wa ujenzi pitia hii toa maoni.

    Hii ni idea ya ramani ya nyumba. Mdau naomba uipitie utoe maoni yako wapi pa kuboresha. Natanguliza shukrani.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ujenzi wa nyumba /waezekaji msaada please

    Roofing nails zinauzwa katika vipimo vipi? Fundi aliniambia kuwa kg moja ya roofing nails ni Tsh 6,000. Sasa nimenunua box lina kg 13, ndani kuna mifuko midogo 25 yenye misumari 47 na haitimii kilo for that matter. Wananiambia hiyo kimfuko chenye misumari 47 ndicho elfu 6, ndiyo kg moja at...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde Aahidi Kushirikiana na Waislamu Majengo Kukamilisha Ujenzi wa Msikiti

    MBUNGE MAVUNDE AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WAISLAMU MAJENGO KUKAMILISHA UJENZI WA MSIKITI ▪️Achangia saruji tani 10 ▪️Awapongeza waumini kwa kujitolea ujenzi wa msikiti ▪️Aahidi kutafuta wadau wa kukamilisha ujenzi 📍Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amewaahidi waumini wa...
  12. zeck john

    JamiiForums Tanzania Nauza marine boards, mirunda na mbao zilizotumika

    Habari.Nauza mirunda, mbao, na marine boards zilizotumika. Marine boards ziko size 18mm, Mbao zipo size 2x2, 4x2, 1x9, na 1x 10. Bei maelewano. Vifaa vimetumika mara moja tu, nategemea kuezua slabu yangu tarehe 23/11/2024 site ipo Msumi Dar. Mawasiliano 0747109975.
  13. Knock life

    JamiiForums Tanzania Huu ujenzi unaoendelea hapa Dar es Salaam unamaanisha uchumi umefunguka?

    Hapa DSM kila sehemu panajengwa , maghorofa yaliyokwama wakati wa magufuli sasa yanajengwa . Ukiwa haufanyi baishara au haupo Latina circle ya waliojipata hauwezi kuelewa namna hela inavyopatikana Kwa sasa
  14. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Prof Tibaijuka alia ujenzi kiholela umegharimu maisha ya watu kariakoo

    https://youtu.be/gm6k0gc9PW4?si=StdiqWV7Dj1gTll5 =================== Naomba uongozi wa Jamiiforums Active mmfanyie mahojiano ya kina Prof Tibaijuka Pia mngemfanyia Mahojioano Mhandisi mzoefu wa Ujenzi wa Maghorofa marefu. Pia mngemfanyia Mahojioano Mtaalam wa Mipango miji...
  15. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kuepusha majengo kuanguka hivyo; Itungwe Sheria ya nyumba na kanuni za ujenzi

    Sheria zilizopo za maendeleo ya miji si mahususi kama Kanuni za Ujenzi, Wakati sheria zilizopo zinahitaji tu jengo kupewa cheti cha kufuata taratibu baada ya kukamilika, Kanuni zinataka jengo lipate uthibitisho kama linastahili kwa makazi ya binadamu au la. Sheria zilizopo ambazo ni pamoja na...
  16. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Magorofa ya Kariakoo hauzingatii viwango, kama hili litaendelea kupuuzwa, tutegemee maafa zaidi

    Sababu kubwa ya jengo la KKO kubomoko linaanzia kwenye Regulatory Authority iliyotoa kibali bila ya kuzingatia Risk associated Pembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi ya Tanzania ipo chini ya wahuni, kibali kimetoka bila ya kuweka Measure na Risk Mitigation Plan...
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Maafa ya Kariakoo: Ni Wakati wa Wizara ya Ujenzi kuwajibika

    Leo, taifa letu limepigwa na pigo kubwa na tukio la kusikitisha la kuanguka kwa ghorofa katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam. Tukio hili baya limeacha alama ya majonzi na huzuni mioyoni mwetu sote, huku tukiombea kwa dhati afya njema na salama kwa wale waliojeruhiwa na pole za dhati kwa...
  18. HAMISI HH

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wataalamu wa ujenzi

    wadau wa ujenzi msaada kwa waliowahi kutumia mabati ya kampuni ya SUNBANK na SUN SHARE kwenye swala la uimara na ubora wake yapoje?
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tuliohamia makwetu 2024 kabla hata ujenzi hujaisha tukutane hapa kutiana moyo na kupeana changamoto

    Uzi maalumu kwa wale baba wenye nyumba walioamua 2024 liwalo na liwe wamefanikiwa kuhamia kwao na maisha yanasonga na hawalipi tena kodi bali wanaweza hata kugombea ujumbe wa nyumba 10 tukutane hapa. Wengine shida maji wengine umeme na wengine usafiri.vp una solve ishu hizo kuzirahisha.mpewe...
Back
Top Bottom