ujenzi

  1. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Mafundi ujenzi kazi zipo Dodoma

    Miaka ya hivi karibuni ujenzi umekuwa mwingi sana Dodoma Kazi zimekuwa nyingi kuliko mafundi Ni kama mafundi wameelemewa Si ajabu kukuta fundi anakusubirisha hadi amalizie kazi ndo aje kwako Haya ni kwa mujibu wa jamaa yangu aliyeko huko Haya sasa wew fundi mjenzi Fundi rangi Fundi bomba...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pasaka hii Ina uhusiano na ujenzi wa nchi ya Kidemokrasia ya Tanzania

    Upatikanaji wa Taifa la Kidemokrasia ni muhimu sana kama kupatikana uhuru wa Taifa. Hatuhitaji kumwaga damu ya Mtanzania yeyote Ili kuwa na Nchi ya Kidemokrasia. Damu ya Yesu Kwa mateso makali ilimwagika Kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu. Yesu alishinda kifo na mauti Ili tuwe huru. Tundu Lisu...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Aysharose Mattembe Aibana Serikali Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Singida

    MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE AIBANA SERIKALI UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA SINGIDA Serikali imeeleza kuwa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida inatarajiwa kukamilika ifikapo Januari 2027, ikiwa ni baada ya utekelezwaji kwa awamu tatu za mradi huo muhimu kwa huduma za afya mkoani...
  4. TZ-1

    JamiiForums Tanzania MATUMIZI YA AKILI MNEMBA ChaGpt, kwenye ujenzi

    Watalamu Tunaweza rahisisha mambo chapu chapu hasa wale ambao hatuna ujuzi kbs wakujua makadirio ya vifaaa twende kazi NB:_ Kuna muda ana boronga mambo hakika una m feed taarfa sahihi ili akupe jibu sahihi lakin pia unawez kuendelea kujadiliana nae kama hujalizika na Majibu
  5. elite wastes

    JamiiForums Tanzania Kataa mashimo ya zamani ya choo

    Mifumo ya Zamani ya Mashimo ❌ Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwa sababu itakugharimu mara mbili; mara ya kwanza katika ujenzi na tena katika matumizi (uondoaji taka). Pia, inachukua nafasi kubwa ambayo ungeweza kuitumia kwa kitu kingine chenye tija. Hujaa na kutoa harufu mbaya, inakusumbua...
  6. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania SHEBWA MASONRY CONTRACTION suluhisho pekee kwa Ujenzi makini

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ujenzi chumba sebule Jiko na choo

    Habari wapendwa Samahani, naombeni makadirio ya ujenzi wa chumba sebule Jiko dogo pamoja na public toilet Vyote ni vyumba standard, Nitashukuru sana
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro, hivi sasa, Kero ya Mafuriko eneo la Bonde la Mpunga ni Historia

    Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro huu ili kuhakikisha ndugu zangu wa Msasani hawapitii changamoto hii tena sawa sawa na Ahadi yangu niliyoitoa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020. Hivi sasa, Kero ya Mafuriko eneo la Bonde la Mpunga ni Historia.
  9. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imetenga Shilingi Bilioni 234 kwa ajili ya ujenzi wa barabara Newala, Tandahimba hadi Masasi

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameamua kuifungua mikoa ya Kusini kiuchumi kwa kutenga kiasi cha Shilingi Bilioni 234 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya kiuchumi yenye umbali wa...
  10. Half american

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye nyumba za kupanga ujenzi wa vyoo vizuri hauzingatiwi?

    Ujenzi wa choo kizuri na salama kwa matumizi sio jambo linalozingatiwa sana hasa kwenye nyumba za kupanga hasa hizi za bei za kawaida (10K-150K). Unakuta nyumba nzuri na mazingira n mazuri ila chooni utadhani kulisahaulika wakafosi kujenga ili choo kiwepo. Vyoo vingi ni vidogo sana, na namna...
  11. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania HABARI MABOSS ZANGU : JE! UNAHITAJI RAMANI YA NYUMBA AU CHOCHOTE KATIKA UJENZI? BONYEZA 👇👇👇

    Habari! Nawakaribisha sana kwa yeyote mwenye kuhitaji ramani ya jengo aina yoyote ikiambatana na 1. JENGO LOLOTE (RESIDENCIAL AND COMERCIAL BUILDING) 2. Makadirio ya UJENZI (BOQ) 3. KUJENGEWA NYUMBA UKINUNUA MATERIALS AU KUTUKABIDHI PESA 4. USIMAMIZI WA JENGO LAKO BEI ZETU NI NAFUU SANA...
  12. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mnipigie hesabu ya hii nyumba Mimi mgeni kwenye ujenzi

    Sebule 5m+5m Chumba 5m+5m Jiko 2m+2m Choo 2m+2m na kibaraza Cha 2m 2m hapa naomba kujua zinaingia bati ngapi Kwa upauaji wa paa nne na tiles ngapi wakuu Mimi ni mgeni kwenye ujenzi
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Bunge letu miaka nenda Rudi wanajadiri ujenzi wa barabara!! serious?

    Wakuu Nina miaka sisikilizi bunge na Jana nikabahatika kusikiliza Sina uhakika kama lilikuwa live au ni marudio ya miaka ya nyuma huko. Takribani dk 7 nikiwa mahali nasubiria kupata huduma zilitosha kabisa kujua kumbe tangu niache kusikiliza bunge Hadi Leo Bado vitu vilevile vinajadiliwa...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Prof Adolf Mkenda: Sekta binafsi inaalikwa kwenye Ujenzi wa Hosteli popote ila iwe tu karibu na chuo chenye upungufu wa Hosteli kwa sharti ya Ubia

    === Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Faustine Mkenda amezikaribisha Kampuni, Watu binafsi au Mashirika ya kiria kuchangamkia fursa za kujenga na kuendesha Nyumba kwaajili ya mabweni | Hosteli maeneo jirani na vilipo vyuo ambavyo vinaupungufu wa Hosteli kwaaji ya...
  15. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Ujenzi: Kwa nini Masink ya kunawia baada ya kutumia Choo yasiwe ndani ya Choo?

    Nimefikiria hii, mtu anamaliza kutumia choo alafu anatoka kuja kunawa nje ya choo, hii inaweza kusababisha kusafirisha uchafu na vimelea vya magonjwa kutoka chooni, mfano wakati wa kufungua mlango wa choo n.k Kwa nini masink yasiwekwe ndani, mtu anapomaliza kujisaidia ananawa ndani kabla ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa tenki la Maji la Hinduki,Maswa wafikia asilimia 90

    KAZI ya ujenzi wa tenki kubwa la kuhifadhi maji lenye uwezo wa kubeba lita milioni mbili linalojengwa katika kijiji cha Hinduki wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu imefikia hatua ya asilimia 90, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi. Tenki...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Musoma Vijijini Yaendelea na Ujenzi wa "High Schools" za Masomo ya Sayansi

    MUSOMA VIJIJINI YAENDELEA NA UJENZI WA "HIGH SCHOOLS" ZA MASOMO YA SAYANSI Mahitaji makubwa ya sasa ya Dunia ni kuongeza wataalamu kwenye nyanja za sayansi, teknolojia na ubunifu (science, technology and innovation, STI). Msingi mkuu wa wataalamu wa aina hiyo ni masomo ya sayansi kuanzia shule...
  18. USSR

    JamiiForums Tanzania Ligi za ujenzi mtaani jirani yangu amebomoa nyumba anajenga ghorofa

    Wakuu sisi wakazi wa goba kuna ligi ya nani ana nyumba kali huku vijana ni kupambana nani awe juu sasa kuna dada amejenga ghorofa wanaita losheni sasa akalewa akatamba kuwa wanaume mtaa zima hakuna wa kumuweza hakuna wanaume wote hawana nyumba sasa mtaa umechangamka kil mtu anajipanga ajenge ka...
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TPA: Mradi wa Usanifu na Ujenzi wa Bandari mpya ya Mbamba Bay iliyopo Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma itakamilika kwa Wakati

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameiagiza Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuhakikisha Mradi wa Usanifu na Ujenzi wa Bandari mpya wa Mbamba Bay iliyopo Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma unakamikika kwa wakati na kwa ubora...
  20. Uvimo Civil Group

    JamiiForums Tanzania Kama muda wako ni mdogo kusimamia ujenzi, tuamini uvimo

    Uvimo ni moja ya kundi makini na wenye weledi katika kutimiza ndoto za wengi katika eneo la ujenzi. Hii ndio profile yetu.
Back
Top Bottom