ujenzi

  1. Uvimo Civil Group

    JamiiForums Tanzania Kama muda wako ni mdogo kusimamia ujenzi, tuamini uvimo

    Uvimo ni moja ya kundi makini na wenye weledi katika kutimiza ndoto za wengi katika eneo la ujenzi. Hii ndio profile yetu.
  2. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Karibu Shebwa Masonry Contraction, Mafundi ujenzi

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi wenye...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kampuni za ujenzi barabara za mwendokasi zaomba kuongezewa muda wa kukamilisha mradi huo

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, leo Jumatano Machi 26, 2025, ameongoza kikao muhimu kati ya viongozi wa serikali na viongozi wakuu wa kampuni za wakandarasi zinazotekeleza miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya Nne (BRT4), madaraja pamoja na barabara nyingine...
  4. Hharyson

    JamiiForums Tanzania KAMA UNATAMANI KUJUA KUHUSU UJENZI PITA HAPA UONE NAMNA TUMEKAMILISHA KAZI ZA WATEJA WETU KUANZIA DESIGN HADI UJENZI +255624004650

    SISI TUNAHUSIKA KATIKA DESIGN NA UJENZI MAKINI SANA TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM SINZA CALL/WHATSAP US +255624004650
  5. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mtandao, kupiga simu mpaka upande juu ya miti, wananchi waiomba serikali kuharakisha ujenzi wa minara ya simu

    Wananchi wa Kata ya Unyahati wilayani Ikungi mkoani Singida wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa minara ya simu ili kurahisisha mawasiliano katika vijiji vyao kutokana na huduma hiyo kusuasua hivyo kulazimika kupanda juu ya miti na mawe ili kupata mawasiliano.
  6. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Ujenzi na Ukarabati

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 MBEYA: Ahamia CCM kutokana na mambo mazuri yalifanywa na chama hiko, ikiwemo ujenzi wa barabara

    Wakuu Mbeya vipi huko ni kweli barabara zimekuwa nzuri kiasi hicho hadi mnarudi CCM? Aliyerudisha kadi ya Chama amesema ameamua kurudi CCM kwani Chadema hawana mipango inayoeleweka na kwamba maendeleo yanayofanywa na Rais Samia jijini Mbeya sio ya kuyafumbia macho. Kupata matukio na taarifa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Soko la Majengo Dodoma na maswali ninayojiuliza

    Mnamo tarehe 3 Machi, katika pitapita zangu Mitaa ya Majengo nikiwa natoka kazini nilisikia Tangazo (PA) Kutoka ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kuwa kuanzia tarehe 6 Machi wataanza ubomoaji wa Soko la Majengo na kuanza Ujenzi ambao utachukua miezi 12, hivyo baadhi ya Barabara zitafungwa ili kuruhusu...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bilioni 60 zatumika kukamilisha ujenzi barabara ya Iringa - Kilolo

    Msimamizi wa Barabara ya Iringa Kilolo Injinia Salumu Mwinuka amesema kuwa marekebisho yaliyotumika kukamilisha mradi wa barabara hiyo ya Iringa Kilolo ni zaidi ya Bilioni 60 kuanzia matengenezo hayo yalivyoanza hadi lkufikia hivi sasa ambapo mradi huo umebakiza asilimia chache kukamilika...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yakamilisha ujenzi mradi wa Maji wenye thamani ya zaidi ya Bilioni 1 Simiyu

    Serikali kupitia Wizara ya Maji imekamilisha ujenzi mradi mkubwa wa Maji wenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1, huku Wananchi 14074 wa Vijiji vitatu vya Baluli, Mwabuma na Mwashata, Kata ya Mwabuma, Wilayani Meatu Mkoani Simiyu wakinufaika na mradi huo, ambao unatajwa utaondoa changamoto...
  11. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Raman ya kuombea vibali vya ujenzi lazima iwe na sifa hizi

    Soma kwenye picha hapo Ukitaka tukuchoree raman ya nyumba 0743257669 au nichek whatsapp au piga sim
  12. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ramani ya nyumba ya kuombea kibali cha ujenzi inatakiwa kuwa na sifa hizi

  13. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Faida za kuwa na kibali cha ujenzi

    FAIDA ZA KUWA NA KIBALI CHA UJENZI Kujenga nyumba ambayo imethibitishwa kitaalamu kuwa ni salama. Kuwa na mazingira bora kwa kuwa na mji uliopangwa. Kuepuka hasara na usumbufu unaoweza kutokea iwapo ujenzi umefanyika bila kibali ikiwa ni pamoja na kushtakiwa mahakamani kuvunjiwa na kulipa...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Huduma za ujenzi wa sakafu ya tarazo

    🔨 UNAHITAJI SAKAFU TARAZO IMARA NA YA KISASA? 🔨 Tunatoa huduma za ujenzi wa sakafu ya tarazo kwa shule, maghala (godowns), majengo ya biashara na makazi kwa ubora wa hali ya juu. ✅ Tunatumia vifaa bora na wataalamu wenye uzoefu ✅ Ujenzi imara unaodumu kwa miaka mingi✅ Bei nafuu na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ujenzi wa stesheni ya SGR ya Dar haujakamilika?

    Mwanzoni TRC walisema stesheni itaonekana hivi. Hilo jengo refu la ofisi pembeni silioni.
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujenzi wa kiwanja cha ndege Shinyanga wafikia asilimia 75 ukitarajiwa kukamilika Juni 10, 2025

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Dk Charles Msonde amesema ujenzi wa kiwanja cha ndege Shinyanga umefikia asilimia 75 na utakamilika Juni 10, mwaka huu. Amesema kukamilika kwake kutawezesha ndege aina ya Bombadier Q400 kuanza kukitumia kiwanja hicho chenye urefu wa mita 2200 na upana wa mita...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Shinyanga Wafikia Asilimia 75, Kukamilika Juni 2025

    UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SHINYANGA WAFIKIA ASILIMIA 75, KUKAMILIKA JUNI 2025 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), kuwa kiwanja cha ndege cha Shinyanga kitakamilika mwezi juni mwaka huu. Amesema hadi...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msukuma afurahishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika Mji wa Serikali Mtumba

    Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu 'Musukuma' akiwa sehemu ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ameelezwa kufurahishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika Mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imetenga Shilingi Trilioni Moja kwa ajili ya ujenzi wa kampasi za vyuo vikuu mikoa Kumi na Sita

    Serikali imetenga takribani Shilingi Trilioni Moja kwa ajili ya ujenzi wa kampasi za vyuo vikuu mikoa takribani Kumi na Sita iliyokuwa haina kampasi ya ya vyuo vikuu Akizungumza katika Kongamano la Dhahabu la miaka Minne ya Dkt Samia suluhu Hassan amesema Serikali itahakikisha nchi nzima...
  20. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), yalidhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Augustine Vuma, leo Alhamisi Machi 20, 2025 imetembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga, ambapo imeeleza kuridhishwa na hatua iliyofikiwa ya asilimia 75 ya...
Back
Top Bottom