ujenzi wa daraja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Bashungwa: Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli mbioni kukamilika, bado Mita 2 daraja kuunganishwa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye urefu wa Kilometa tatu linalojengwa kuunganisha barabara kuu ya Usagara - Sengerema - Geita katika Ziwa Victoria ambapo ameeleza bado sehemu ya Mita mbili ili daraja...
  2. JanguKamaJangu

    Wananchi waandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja Kigoma

    Wananchi katika Kijiji cha Kigogwe, Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wameandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja la kubembea, unaojengwa katika Mto Rwiche kijijini hapo, wakidai waliomba kujengewa daraja la kudumu. Kwa sasa wananchi hao wanavuka Mto Rwiche kupitia vivuko...
  3. Roving Journalist

    Ujenzi wa Daraja la Magufuli wafikia Asilimia 90

    Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Paschal Ambrose amemshukuru Waziri Innocent Bashungwa kwa kuendelea kutoa msukumo ili kazi mbalimbali zinazoendelea za ujenzi katika daraja hilo ziweze kukamilika na kumueleza kuwa hadi kufika mwisho wa mwezi Agosti wananchi wataruhusiwa kupita juu ya...
  4. Pfizer

    Waziri Bashungwa: TANROADS kuanza ujenzi wa Daraja la Jangwani

    TANROADS KUANZA UJENZI DARAJA LA JANGWANI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kuanza kutekeleza mradi wa kimkakati wa Ujenzi wa Daraja la Jangwani. Bashungwa ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati wa kuwasilisha...
  5. Stephano Mgendanyi

    Zaytun Seif Swai ahoji Bungeni Ujenzi wa Daraja la Mto Athumani - Ngorongoro

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Seif Swai Ameuliza, Je, ni lini Serikali itaanza Ujenzi wa daraja la mto Athumani? Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amejibu na kusema; "Daraja la Mto Athumani liko katika barabara ya Mkoa ya mto wa Mbu - Selela - Engaruka -...
  6. Stephano Mgendanyi

    Ujenzi wa Daraja la J.P.Magufuli (Kigongo - Busisi) Wafikia 85%

    UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI (KIGONGO-BUSISI) WAFIKIA 85%. Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye Kilometa 3.2 pamoja na Barabara unganishi ya Kilometa 1.66, linalojengwa kuunganisha Barabara Kuu ya Usagara - Sengerema - Geita katika Ziwa Victoria umefika asilimia 85 na...
  7. Roving Journalist

    Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo-Busisi) wafikia 85%

    Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye Kilometa 3.2 pamoja na Barabara unganishi ya Kilometa 1.66, linalojengwa kuunganisha Barabara Kuu ya Usagara - Sengerema - Geita katika Ziwa Victoria umefika asilimia 85 na unatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Desemba, 2024. Taarifa hiyo...
  8. Determinantor

    Tujikumbushe: Ujenzi wa Daraja la Jangwani kuanza Desemba 2022

    Huwa sipendi maneno mengi
  9. JanguKamaJangu

    Wananchi walia na ujenzi wa Daraja Kijiji cha Komdudu (Tanga), wadai wanateseka kwa muda wa miaka miwili

    Wananchi wa Kijiji cha Komdudu Wilayani Handeni Mkoani Tanga wamelalamikia kukumbana na changamoto ya kuvuka kwenye daraja lililopo kijijini hapo kwa muda wa miaka miwili tangu lilipoharibika. Daraja hilo halijatengenezwa bali limeweka la muda hali ambayo imekuwa ikiwapa changamoto Wananchi...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki - Kukamilika kwa Ujenzi wa Daraja la Msadiya Kutakuza Uchumi Halmashauri ya Mpimbwe.

    Mbunge Martha Mariki - Kukamilika kwa Ujenzi wa Daraja la Msadiya Kutakuza Uchumi Halmashauri ya Mpimbwe. WANANCHI katika Kijiji Cha Chamalendi halmashauri ya Mpibwe Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi wameishkuru serikali Kwa Ujenzi wa Daraja la Msadiya linaloziunganisha kata za Chamalendi na...
  11. Pfizer

    Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa daraja la simiyu (m 150) pamoja na barabara za maingilio yenye urefu wa kilometa 3

    Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa daraja la simiyu (m 150) pamoja na barabara za maingilio yenye urefu wa kilometa 3.
  12. Roving Journalist

    TANROADS imesaini mkataba wa Ujenzi wa Daraja la Simiyu lenye urefu wa mita 150 na barabara za Maingiliano zenye urefu wa km 3 kwa kiwango cha lami

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia TANROADS imesaini mkataba wa Ujenzi wa Daraja la Simiyu lenye urefu wa mita 150 na barabara za Maingiliano zenye urefu wa km 3 kwa kiwango cha lami kwa gharama ya shilingi bilioni 48.788. Akizungumza kwenye hafla fupi ya utiaji saini mkataba...
  13. Roving Journalist

    Mwanza: Rais Samia kutembelea Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi

    Salaam Wakuu Tarehe 14 Juni 2023, Rais Samia anatarajiwa kutembelea na kukagua Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi ambalo ujenzi wake umefikia 75% Ujenzi wa Daraja TSh 602.19 bilioni. Daraja la Kigongo Busisi ambalo linajengwa katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza, lina urefu wa kilometa 3.2.
  14. Roving Journalist

    Dar: Barabara ya Nyerere makutano ya Shaurimoyo kufungwa kwa miezi minne kupisha ujenzi wa daraja

    Uamuzi huo umetangazwa na Wakala wa Barabara (TANROADS) Dar es Salaam lengo likiwa ni kupisha ujenzi wa Daraja la Reli ya Kisasa ya SGR ambapo barabara hiyo itafungwa kuanzia Mei 28, 2023 hadi Septemba 30, 2023 baada ya ujenzi husika kukamilika. Imeelezwa katika kipindi hicho vyombo vyote vya...
  15. 0

    Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

    Kupitia hizi comments za Wazanzibar nimejifunza kuwa wenzetu wanachuki na sisi kwa kiwango kikubwa sana. Ukisoma maoni yao kwa umakini mkubwa utakuja kugundua kuna baadhi ya chuki wamepandikizwa kupitia dini zao. Mfano kuna comment inasema "Wazanzibar waliwaua ndugu zao waislam weupe ili...
  16. BigTall

    Ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi (JP Magufuli) Sengerema wafikia 72%, viongozi watembelea kukagua mradi

    Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Rogatus Mativila Viongozi mbalimbali wametembelea mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi ambalo pia linajulikana kama Daraja la JP Magufuli, leo Jumapili Aprili 23, 2023. Daraja hilo linapatikana Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza, bado lipo kwenye hatua...
  17. BigTall

    Kigoma: Ujenzi wa Daraja la Malagarasi unaendelea, Mhandisi asema lina urefu wa Mita 76

    Meneja wa TANROADS Kigoma, Mhandisi Narcis Choma amezungumzia Sehemu ya Tatu ya mradi wa barabara inayoendelea na ujenzi wake Mkoani hapo amegusia pia kuhusu ujenzi wa Daraja la Malagarasi. Ameeleza kuwa mradi huo unaohusisha barabara ya Mvugwe – Nduta yenye urefu wa Kilometa 59.3, gharama yake...
  18. K

    Hali ilivyo utekelezaji ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi

    Waziri Makame Mbarawa amekagua maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi (Daraja la JPM) lenye urefu wa Mita 3000 na Barabara Unganishi (KM 1.66) ambapo Utekelezaji wa Mradi huo kwa Sasa umefikia asilimia 63. Mradi huo ulianza kutekelezwa mwaka 2019. Machi 2021 Wakati Rais Samia Suluhu...
  19. J

    Ujenzi wa Daraja la Berega wafikia asilimia 68 kukamilika

    UJENZI WA DARAJA LA BEREGA WAFIKIA ASILIMIA 68 KUKAMILIKA Na. Geofrey A. Kazaula, Morogoro. Ujenzi wa Daraja la Berega katika barabara ya Berega-Dumbalume Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro unaotekelezwa chini ya Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umefikia asilimia...
  20. kyagata

    Nimemshukuru Mungu kwa maisha ya Hayati Magufuli kwa ujenzi wa Daraja la Mto Wami

    Wakuu kwema? Ndio nimeingia sasa kutoka safari mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania. Nilivyofika pale mto Wami imebidi nishuke kwenye gari na kupiga magoti chini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Rais wetu kipenzi aliyeitwa mbinguni kwa Mungu Baba mheshimiwa John Magufuli. Pamoja na kwamba watu wa...
Back
Top Bottom