ujasusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ramaphosa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Ujasusi, Imtiaz Fazel, kwa madai ya kuingiliwa kisiasa na rushwa ndani ya Jeshi la Polisi

    Rais Cyril Ramaphosa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Ujasusi, Imtiaz Fazel, baada ya malalamiko kuwasilishwa dhidi yake. Katika taarifa iliyotolewa Jumatano jioni, msemaji wa Ikulu Vincent Magwenya alisema kuwa Fazel amesimamishwa kazi hadi uamuzi utakapofikiwa kuhusu uchunguzi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Edward Snowden sio mjinga kufahamu ujasusi mnajua taarifa za CCM zipo nchi zote wanaweza kutumia kuwa tumia wanavyotaka

    Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi. JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
  3. JamiiForums Tanzania Umewahi kujiambia ‘sina cha kuficha hata wakiniibia sina cha kuogopa’?

    Tujifunze kuhusu Umuhimu wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi Kutoka kwa Historia ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Ujerumani Wanaojua historia miongoni mwenu watakuwa wanajua kwamba baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, Ujerumani iligawanywa katika maeneo manne ya uvamizi chini ya Allies na USSR, na...
  4. JamiiForums Tanzania Israel vipaji maalum wanafanywa Watunga Sera na kuajiriwa Taasisi za Ujasusi. Sie kipaji maalum kiko Jela halafu tunalalamika

    Mwaka jana na mwaka huu dunia imejifunza uwepo wa kikosi maalum kwenye Taasisi za Intelejensia za Israel kinachoitwa Unit 8200. Umaarufu wa kikosi hiki haujaja kwa bahati mbaya bali ulianza kutikisa dunia baada ya shambulio la vifaa vya mawasiliano vya Kundi la Kigaidi za Hezbollah. Kikosi...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa Marekani ahukumiwa kwa kufanya ujasusi kwa ajili ya China

    Baharia wa Jeshi la Wanamaji la Marekani huko California amehukumiwa kwa kosa la ujasusi kwa kuuza siri za kikosi hicho kwa afisa wa China ambaye alimsajili kupitia mtandao ya kijamii. Jinchao Wei, 25, alipatikana na hatia ya mashtaka sita, ikiwa ni pamoja na ujasusi, njama ya kufanya ujasusi...
  6. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere Hufananii na vitabu unavyosema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka

    Usifute kichwa cha habari JF:Yericko Nyerere Hufanani na vitabu unavyo sema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka yani wewe ni Mr pimbi wa gazeti la sani. Ukisoma vitabu vyake unaweza kujua huyu jamaa ni jasusi hatari ila ukirudi nyuma ni mr pimbi wa gazeti la sani. Mimi naogopa sana watu...
  7. JamiiForums Tanzania Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
  8. JamiiForums Tanzania Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
  9. JamiiForums Tanzania Kisa cha Kim Jae-gyu, mkuu wa ujasusi wa taifa aliyemuua boss wake rais Park Korea Kusini kutokana na mzozo wa kisiasa

    October 26, 1979 huko Korea Kusini kulitokea kisa cha ajabu cha mkuu wa ujasusi wa shirika la Korea Kusini(KCIA) Kim Jae-gyu kumtwanga risasi mbili boss wake rais wa Korea Kusin Park Chung-hee na bodyguard wake mkuu Cha wakiwa katika hafla ya chakula cha usiku. Inasemekana mzozo wa wawili hao...
  10. JamiiForums Tanzania Ujasusi : Mwanadada Catherine Perez alivyobadili Dini na kuwa karibu na Viongozi huku akiipeleleza Iran kwa niaba ya Mossad

    Hii Inatufundisha Usiamini Mtu hata kama Atakuonyesha upendo wa hali ya juu Kati ya mwaka 2013 hadi 2015 mwanadada Catherine perez shakdam raia wa Ufaransa aliingia nchini Iran kutokana na kuvutiwa sana na siasa za Iran za kutokubali kushindwa mbele ya nchi zenye nguvu pamoja na...
  11. JamiiForums Tanzania UK wachagua mkuu wa ujasusi Mwanamke

    Shirika la kijasusi la Uingereza, maarufu MI6 litaongozwa na mwanamke kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka mia moja 16 ya uhai wake. Blaise Metreweli, aliyejiunga shirika hilo mwaka 1999, atakuwa mkuu wa 18 akichukua nafasi ya Sir Richard Moore baadaye mwaka huu. Kwa sasa anahusika na...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kwasasa MOSSAD ndilo shirika mahiri kwa ujasusi duniani

    Hakuna wasiwasi wowote kwamba mashambulizi ya Israel ndani ya Iran yaliyopelekea kushambuliwa kwa vinu vyake vya nuklia na kuuwawa kwa makamanda wake wa kijeshi pamoja na wanasayansi wake wa juu kabisa ya nuklia yamefanikiwa kwa taarifa nyeti na ujasusi mahiri kutoka Mossad, bila ujasusi mkali...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran ilivyorudisha nyuma Ujasusi wa Marekani kwa miongo mingi nyuma baada ya mapinduzi ya 1979

    Baada ya Mapinduzi ya kiislamu ya mwaka 1979 vijana wa Iran walisema mapinduzi hayatokuwa salama mpaka mtandao wa kijasusi wa CIA ndani ya Iran utunduliwe. Vijana kwa kufahamu kuwa Msingi mkuu wa ujasusi wa marekani katika nchi nyingi duniani cordination hufanywa katika balozi za nchi hizo, basi...
  14. JamiiForums Tanzania Ujasusi: Ni lazima uwaze mbele ya wakati

    Wengi wanajiuliza Gwajima yuko wapi? Minong'ono ni mingi lakini ni wazi mpaka sasa hajaingizwa kwenye 'mikono salama'.. Na wakili wake Peter Kibatala kasema mteja wake yuko salaam Gwajima ni bingwa wa kupangilia matukio.. Nikikumbuka kipindi cha Magu alivyotaka kuwatoka police pale TMJ...
  15. JamiiForums Tanzania Idara ya ujasusi ya Burkina Faso yagundua njama za kumuwekea sumu Rais Traore

    Mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama nchini Burkinafaso (ANR) Oumarou Yabre ameweka tahadhari kadhaa na kupitia watu wake ndani na nje ya Jeshi na idara wamefanikiwa kugundua chai iliyokuwa apewe Rais Kaptein Ibrahim Traore iliwekwa sumu na Afisa mwandamizi wao kwa kumtumia mtu wa huduma za Rais...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi.CHANZO NI YEYE

    Sura ya Kwanza: Dar es Salaam ilikuwa ni jiji liliojaa uhai. Kila kona ilikuwa na harufu ya bahari, kelele za magari, na kelele za biashara za mtaa. Mtaa wa Majengo ulikuwa ni jiji ndogo lenyewe, ambapo Ayubu aliishi. Alikuwa ni kijana mwenye umri wa miaka ishirini na tatu, aliyeishi maisha ya...
  17. JamiiForums Tanzania Wazir Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amfuta kazi mkuu wa Usalama wa Taifa Ronen Bar

    Baraza la mawaziri la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu lilipiga kura kwa kauli moja kuunga mkono kumfukuza kazi mkuu wa Shin Bet Ronen Bar, ofisi ya Waziri Mkuu imetangaza. Siku ya mwisho ya Bar itakuwa Aprili 10, huku serikali ikisogeza hatua ya kumfukuza kazi baada ya hapo awali kuratibisha...
  18. JamiiForums Tanzania UJASUSI; Usiwaambie watu Ndoto/malengo yako. Future ni Siri na ndoto inapaswa kuwa Siri

    UJASUSI; USIWAAMBIE WATU NDOTO/MALENGO YAKO. FUTURE NI SIRI NA NDOTO INAPASWA KUWA SIRI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hakuna anayeijua Kesho. Hiyo ndio Kanuni namba Moja ya UJASUSI. Kama hakuna ajuaye Kesho basi nawe unatakiwa kuhakikisha hakuna ajuaye ndoto au Hatua yako inayofuata ni...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Ujasusi wa Rwanda, Lt. Gen Kayumba Nyanwasa, asema Kagame ni chanzo cha matatizo yote Congo na maziwa makuu

    Aliyewahi kuwa mkuu wa ujasusi Rwanda na Balozi wa Rwanda nchini India, Lt. Gen Kayumba Nyamwasa anasema matatizo yote yanayotokea mashariki ya Congo yanasababishwa na kagame. Anasema Congo hamna tena tatizo la Banyamulenge ,lilishakwisha zamani na wana haki sawa na wanahudumu hata sasa katika...
  20. JamiiForums Tanzania Ujasusi Kwenye Ushindani wa Kibiashara

    Uandaaji wa Mpango Mkakati yaani “Strategic Planning” unahusisha ukusanyaji na ufanyaji wa tathmini wa taarifa juu ya mazingira ya nje yanayoizunguka kampuni yaani “external environment”. Mazingira haya yamehawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni’ Fursa. Haya ni mazingira chanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…