uislamu

  1. JamiiForums Tanzania Licha ya uislamu kuwa violent kwanini watu hawaukimbii,

    Ukimuuliza muislamu wa kawaida kuhusu waislamu wenzake wenzake wenye itikadi kali na wauwaji atakwambia yeye ana uislamu wa amani. Lakini hawa regular Muslims hata siku moja huwezi kuona wanakemea wenzao wauwaji, zaidi wanawalinda. Besides wote wanatumia kitabu kimoja. Kwanini isifike wakati...
  2. JamiiForums Tanzania Ni basi tu kuna serikali ila uislamu unatamani kumaliza dunia nzima

    Nimejipenyeza sana mda mrefu kutafiti tafiti ila nimegundua hii imani inataka kumaliza dunia. Ukiangalia tokea historia na mafundisho yao yamejaa chuki,kuangamiza na kuforce wanayotaka. Sio kwamba wote ni wabaya au kuna watu wanapenda kwenye imani yao ila ukigundulika unaonekana kama muhasi...
  3. JamiiForums Tanzania Ahmed Khalifa: "Linda nchi zenu, utambulisho wenu, mustakabali wa watoto wenu. PIGA MARUFUKU Uislamu wa kisiasa"

    Ahmed Khalifa ni mchambuzi wa kisiasa anaehishimika sana mashariki ya kati.
  4. JamiiForums Tanzania Sheikh ameelezea Peponi kulivyo nimevutiwa sana. Uislamu una raha sana. Huyu mwanamke wa peponi ni balaaah wallah

    Kifuani ana screen..... Unaona kama a akupenda au anakudanganya. Hapo ana macho kama ngumi, bikra kila unapomaliza inajirudi. https://www.instagram.com/reel/DdnzJVFu5qJ/?stkn=MXEzaWllcGd4M253MA==
  5. JamiiForums Tanzania Dini rahisi mtu kwenda mbinguni ni Uislamu

    Katika dini rahisi kwenda mbinguni (kama ipo) kati ya dini kuu mbili basi ni Uislamu hasa kama una pesa au ni tajiri kwa sababu katika Uislamu maisha ya dini ni kama ligi ambapo kila jambo lina thawabu yake ambazo ni kama point. Ukikusanya point za kutosha unachukua kombe (kuingia mbinguni)...
  6. JamiiForums Tanzania Itikadi 6 za Uislamu Zinazomfanya Muislamu Kuishi Bila Msongo wa Mawazo/Hisia(Stress-Free Life)

    Dunia ya leo imejaa hofu. Wengine wanaogopa kesho, wengine kifo, wengine vita na majanga, wengine uchumi, na sasa wengine wanaishi kwa hofu ya AI kuchukua nafasi za ajira za binadamu. Lakini Muislamu anaishi katika dunia hiyo hiyo akiwa na msingi unaoupa moyo wake utulivu: imani. Kuna misingi...
  7. JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana mtu kuacha kumuamini Mungu, dini akiwa katika familia ya Ukristo au Uislamu

    Huu wimbo wa Israel Mabinti huwa unanifanya nitafakari sana kuhusu waamini Mungu na dini. "Ukiniponya nitaamini, hata usiniponya bado nitaamini. Ukinijibu nitaamini, hata usinijibu bado nitaamini."
  8. JamiiForums Tanzania Hakuna muumini yeyote asiye muislamu ambaye anaweza kumchinja NGAMIA,huu ni uthibitisho tosha kwamba uislamu ndio dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu

    Ngamia hachinjwi hovyo hovyo kama wanavyochinjwa wanyama au ndege wengine. Ngamia ili achinjwe lazima asomewe dua na aridhie kuchinjwa na anaye msomea dua asiwe mtu wa makando kando mengi kinyume na hapo ataumbuke peupee. Hii iliwahi kutokea hapa hapa TZ kuna masheikh walikesha kuomba ili...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Ukristo Hauna Mfumo wa Social Guidance Kama Uislamu na Uyahudi?”

    Nimekaa hapa nimetafakari, Ikiwa Mungu anatoa dini kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu, tungetegemea lazima dini hiyo itoe mwongozo unaogusa kuanzia ibada , namna wanadamu wanavyo takiwa kuishi, pamoja na familia, ndoa, talaka, mali, biashara, mirathi, haki, wajibu na mahusiano ya kijamii etc...
  10. JamiiForums Tanzania Uislamu unavyozidi kuleta mugawanyiko na viongozi wao wenye imani.Je tunapoelekea ndio wanataka kuonesha dunia au ni imani.

    Matamko ya viongozi ambao wanaonesha wazi wazi sasa yanaonekana ghana na nageria kuwa hawataki imani imani nyingine zaidi ya wanao wasimamia wenye imani zao. Hii imekaaje maana dunia inapoelekea tunaenda sio ukabira ni udini hata hapa tanzania kashaonesha kuwa anafanya.
  11. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Utafiti: Dini ya Kikristo yapungua Duniani, Uislamu wafikia 26%

    Wale wenye dini zenu za Wazungu na Waarabu nawaletea utafiti Kwa mujibu wa ripoti ya BBC. Uislamu wakua kwa kasi duniani huku Ukristo ukipungua - Utafiti mpya === Utafiti mpya wa kituo cha Utafiti cha Pew umebaini kwamba Afrika ya jangwa la Sahara imelipiku bara Ulaya kama sehemu ilio na...
  12. JamiiForums Tanzania Uislamu umepungua kwa angalau pointi 5 nchini Tanzania na Oman, lakini unakua kwa kasi maeneo mengine ya dunia

    Utafiti mpya wa kituo cha Utafiti cha Pew umebaini kwamba Afrika ya jangwa la Sahara imelipiku bara Ulaya kama sehemu ilio na Wakristo wengi duniani. Kulingana na ripoti hiyo Pew inasema kwamba hali hiyo imesababishwa na kuzaliwa kwa wingi kwa wafuasi wa dini hiyo Afrika huku wafuasi wanaoishi...
  13. JamiiForums Tanzania Magaidi wenye mlengo wa uislamu wachinja wanakijiji wanaopitia changamoto za Ebola, DRC

    Afrika bana.... yaani uchague ufe kwa Ebola au kuuawa na magaidi wa uislamu....."Ukiinama mchale, ukiinuka mchale"...kuzaliwa Afrika ni laana kuanzia mwanzo... ====================== Rebels affiliated with the Islamic State attacked a village in Congo near the border with Uganda early...
  14. JamiiForums Tanzania OPERESHENI CYLONE YA CIA NA UISLAMU KUHUSISHWA NA UGAIDI

    OPERESHENI CYLONE YA CIA NA UISLAMU KUHUSISHWA NA UGAIDI Msomaji wa andiko hili, naomba ulisome ukiwa huna chembe chembe za udini au mihemko, naomba usome kujifunza, hili ni angalizo langu. Waziri Mkuu wa zamani wa Pakstani, Benazir Bhutto, anamuambia jambo la kumuonya Rais wa Marekani kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake

    Nimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Kwaanzia leo na muabudu Yesu. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake. Siwezi kuendelea kuliabudu jiwe moja jeusi na kufuata mila za kiarabu. Wakristo nikaribisheni. Eli Cohen secretarybird Monetary doctor Beira Boy Seran min -me raraa reree...
  16. JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Uislamu kuzidi kuwa na ushwawishi na kushamiri Tanganyika?

    Kuna Wasichana na Wanawake Wagalatia zaidi ya Watano nawafahamu wote sasa hivi wanavaa ushungi!
  17. JamiiForums Tanzania Tv Imaan inakaribisha wachambuzi vilaza na unafanya uislamu udharauliwe

    Angalieni ujinga wa tv Imani muda huu Yani hawa watu wanajificha nyuma ya dini ila agenda yao ni ovu. Mbona hawazungumzii mambo ya Sheikh Mwaipopo?
  18. JamiiForums Tanzania Mufti aomba mapumziko mwaka mpya wa kiislamu,naam uislamu ni dini ya haki

    Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakari Zubeir Ally, amemuomba Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, kumshawishi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ili siku ya mapumziko ya Mwaka Mpya wa Kiislamu (Hijriyya) itambuliwe Tanzania nzima. Mufti Zubeir...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar ni watu wema sana, Uislamu wao umewafanya wawe hivyo

    1. Kuna watu wanapoteza mamilioni ya fedha ,zinaokotwa na kutangaziwa wenyewe na kukabidhiwa 2. Wakati wa Ramadhani, wanakula nje, wakipita wengine wanakarabishwa. Wakiristo wengi wanakula-Ushahidi wa hili nenda msikiti shurba kidongo chekundu mwezi wa ramadhani 3. Wakiristo wengi hasa J2...
  20. JamiiForums Tanzania Hapa ndipo unajua wamagharibi wakisema ugaidi wanamaanisha ni Uislamu

    Watu watano wamefariki dunia katika shambulio dhidi ya msikiti mmoja huko San Diego nchini Marekani, baada ya washukiwa wawili kuvamia eneo hilo kabla ya kujitoa uhai kwa kujipiga risasi. Waumini watatu Waislamu waliuawa ndani ya nyumba ya Mwenyezi Mungu, huku washambuliaji hao wawili Cain Clark...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…