uhuru wa tanganyika

Gabriel Ruhumbika (born 1938) is a Tanzanian novelist, short story writer, translator and academic. His first novel, Village in Uhuru, was published in 1969. He has written several subsequent novels in Swahili. He has also taught literature at a number of universities, and is currently a professor of Comparative Literature at the University of Georgia in the USA.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Uhuru itatutisha hadi lini?

  2. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Dome Okochi Budohi na harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika

    Kulikuwepo na wazalendo kutoka nchi jirani ya Kenya kama vile Dome Okochi Budohi na Patrick Aoko ambao walikuwa wanajua vyema siasa za walowezi za kupora ardhi za wananchi. Kutoka kwa wazalendo kama hawa, Abdulwahid alipata usikivu wa mawazo yake ya kuigeuza TAA kuwa chama cha siasa chenye...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Gerezani Day: Gerezani wawapa mitaa wazee wao waliopigania uhuru wa Tanganyika

    GEREZANI DAY 2022: GEREZANI IMEBADILI MAJINA YA MITAA KUWAENZI WAZEE WAO WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Leo WanaGerezani wameadhimisha siku yao ya familia kwa kuwarehemu masheikh, wazee wao na wenzao waliotangulia mbele ya haki. Shughuli ilifanyika Shule ya Kisarawe na ilitanguliwa kwa...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Dondoo katika Historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika

    WATOTO WA KAZI KAZINI: DONDOO KATIKA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Karibuni mtaona video fupi fupi zikieleza historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Fuatililia.
  5. Hussein J Mahenga

    JamiiForums Tanzania Nimchokoze Mohamed Said juu ya historia ya Denis Phombeah; ni vipi alishiriki katika uhuru wa Tanganyika?

    Wadau, Mimi ni msomaji sana wa historia za Sheikh wangu, Mohamed Said na nimekuwa na bahati ya kukutana naye pia nyumbani kwake Magomeni Mapipa, miaka miwili iliyopita. Kama kawaida yake, ukimchokoza na kifurushi cha jero, yeye anakuletea kifurushi cha 50k. Hebu leo kwa faida ya wasomaji...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Makachero wa Special Branch ndani ya harakati za uhuru wa Tanganyika

    Katika maziko ya Mzee Kitwana Kondo niliombwa nizungumze. Sikiliza video hii kuna historia muhimu sana kueleza kuundwa kwa TANU. Nilizungumza kuhusu kikao cha watu watatu nyumbani kwa Hamza Mwapachu, wengine wakiwa Abdul Sykes na Ali Mwinyi Tambwe agenda ikiwa namna ya kumuingiza Julius...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Safari ya Uhuru wa Tanganyika 1954 - 1961

    SAFARI YA UHURU WA TANGANYIKA Video hii imenivutia kwa kule kuieleza historia ya TANU na kutoka vyanzo vilivyoko nje ya historia rasmi na kutumia picha alizoacha Ali Msham na nyingine kutoka Nyaraka za Sykes. Halikadhalika kwa msomaji kutoa maelezo yake kama yalivyoandikwa ndani ya kitabu cha...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mitaa iliyopewa majina ya Wapigania Uhuru wa Tanganyika

    Hapo chini ni picha za baadhi ya mitaa iliyopewa majina ya wapigania uhuru wa Tanganyika: Katika picha hizi picha ya kwanza inamuonyesha Ali Msham wa kwanza kulia akiwa na Baba Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika. Ali Msham amefanya mengi ambayo...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Majina ya Mitaa na Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MAJINA YA MITAA YAHIFADHI HISTORIA Ndugu zanguni hivi sasa kuna mradi wa Anuani za Makazi (Post Code). Naamini sote tunashausikia kwa kuwa serikali imeutangaza. Mradi huu ulitakiwa uchukue miaka 5 lakini Rais Mama Samia ameamua huu mradi uwe "Operation Anuani za Makazi" na ukamilike kwa miezi...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania TANU Tanga wakati wa kudai uhuru wa Tanganyika: Dua ya ushindi wa kura tatu Nnyanjani 1958

    TANU TANGA WAKATI WA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA: DUA YA USHINDI WA KURA TATU MNYANJANI 1958 Chanzo cha yote yanayokuja hapo chini ni marehemu Mama Ummy bint Anzwan moja ya nguzo za CUF siasa za ushindani zilipoanza mwaka wa 1992. Nimepitia faharasha (index) ya kitabu cha Abdul Sykes na nimekuta...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika iandikwe upya

  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika 1961: Historia ya wapigania uhuru haifahamiki

  13. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aelekeza mambo sita yanayopaswa kufanywa tunapoanza mwaka wa 61 wa Uhuru wa Tanganyika

    Akitoa hotuba katika Miaka 60 ya Uhuru, Mhe Tundu lLisu amependekeza mambo yafuatayo kufikia au kuelekea kupata Uhuru wa kweli baada ya kupata Uhuru wa bendera. 1. Ni lazima tuakikishe kwamba, bila masharti yoyote wafungwa wote wa kisiasa wanakuwa huru kutoka mikononi mwa Mahakama na dola. 2...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Maoni ya Mzee Kasyupa Lumuli Alipipi kuhusu Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Kwa wasiomfahamu huyu Mzee amewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kyela na Naibu Waziri wa Kilimo, wakati wa utawala wa Nyerere, ni Mcha Mungu sana na ni miongoni mwa wazee wanaoheshimika sana Wilayani Kyela na Mkoa wa Mbeya kwa Ujumla. Hebu chota busara hizi kutoka kwake
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Alhaji Tambaza anamweleza Mama Daisy

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: SIMULIZI ZA ALHAJI TAMBAZA "MWAMVUA MRISHO MPIGANIA UHURU..." Katika kuadhimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika leo nimekutana na makala aliyoandika Abdallah Tambaza katika gazeti Tanzania Tanganyika akieleza historia ya Mama Daisy katika kupigania uhuru...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Siku ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika, hakuna mfungwa aliyesamehewa?

    Ama kweli hii ni awamu ya Sita! Nimejaribu kusubiri kwamba labda kuna tangazo litatoka baada ya sherehe lakini naona kimya kimetanda, kulikoni? Kama yupo aliyesikia jambo hili ni vema akatushirikisha
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tumesherehekea uhuru wa Tanganyika na siyo wa Tanzania wala siyo wa Tanzania bara. Tanzania haiwezi kusherehekea uhuru maana haijawahi kutawaliwa

    Leo ni sherehe ya kumbukizi la uhuru wa TANGANYIKA iliyokuwa inatawaliwa na Waingereza. Tusipotoshe historia!! Leo siyo siku ya uhuru wa Tanzania. Anayebisha aniambie Tanzania ilikuwa inatawaliwa na mkoloni yupi! Hakuna nchi iliyokuwa inaitwa Tanzania wala Tanzania bara!! Tumeamua kupotosha...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Darasa: Maadhimisho ya leo ni ya Uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika!

    Wanabodi! leo tunapo sherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, ni maadhimisho ya Tanzania, japo iliyopata uhuru ile Desemba 9, ni Tanganyika na sio Tanzania, maadhimisho ya leo ni maadhimisho ya Tanzania, yaani Tanzanian National Day, na sio Tanganyika. Kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Zarula Bint Abdulrahman wa Tabora

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: BI. ZARULA BINT ABDULRAHMAN WA TABORA Nimekuwa kwa miaka mingi nikitafuta picha ya Bi. Zarula bint Abdulrahman wa Tabora mwanamama ambae alikuwa mstari wa mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Kama nisingemtaja jina lake katika kitabu cha Abdul Sykes...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kusherehekea Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika bila ya kuwajua waliopigania Uhuru huo

    KUSHEREHEKEA MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA BILA YA KUWAJUA MASHUJAA WALIOPIGANIA UHURU HUO Kwa takriban siku 30 zilizopita kuanzia mwezi November mwanzoni nimekuwa nikweka hapa makala ambazo mimi nimeziona ni muhimu katika historia ya uhuru wa Tanganyika. Makala hizi jumla yake ni 27 na...
Back
Top Bottom