uhuru wa tanganyika

Gabriel Ruhumbika (born 1938) is a Tanzanian novelist, short story writer, translator and academic. His first novel, Village in Uhuru, was published in 1969. He has written several subsequent novels in Swahili. He has also taught literature at a number of universities, and is currently a professor of Comparative Literature at the University of Georgia in the USA.

View More On Wikipedia.org
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

    Maandamano yatafanikiwa kumuondoa Rais Samia na kufanywa wauaji waajibishwe safari hii? Siku yenyewe ndio imefika, ikiwa ni miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika, lakini upande mwingine tunasema bado hatujapata uhuru. Bado tumefungwa na minyororo ileile iloyotufunga wakati na wa ukoloni na sasa...
  2. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania Ya Rais Samia Suluhu Haitaki Tarehe 09.12.2025 Watanzania Kusherekea Siku ya Uhuru wa Tanganyika

    Tanzania, kama taifa moja lenye umoja, limejengwa kwa misingi ya historia ndefu na changamoto mbalimbali. Hata hivyo, miongoni mwa matukio muhimu katika historia ya taifa hili ni siku ya uhuru wa Tanganyika, ambayo ilitokea tarehe 09 Desemba 1961. Hii ni siku muhimu ambayo inawakumbusha...
  3. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Peter Madeleka amshtaki Rais Samia kwa kufuta sherehe za uhuru wa Tanganyika, Desemba 9

    Wakili Peter Madeleka amshtaki rais Samia kwa kufuta sherehe za Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika, (Desemba 9) katika Mahakama ya Tanzania Masjala Kuu ya Dodoma. Soma: Sherehe za sikukuu ya Uhuru zapigwa STOP. Fedha kutumika kurekebisha miundombinu iliyoharibika wakati wa Uchaguzi Mkuu
  4. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali ya Rais Samia kuondoa sherehe za uhuru wa Tanganyika 9 December sio sahihi hata kidogo

    Sherehe za maadhimisho ya uhuru wa nchi fulani ni sherehe muhimu sana kuliko sherehe zozote zile. Sasa suala la serikali ya mama samia kuzuia maadhimisho ya sherehe hizi kama kumbukumbu ya Tanganyika kupata uhuru ni dhahiri kuwa unawanyima uhuru watanganyika kusherehekea sikukuu/uhuru wao...
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuelekea D9: GenZ watoa Tahadhari ya kiusalama kwa wageni na watalii wanaotarajia kuingia Tanzania kuanzia 9/12/2025

    Raia wazalendo wa taifa hili maarufu kama GenZ wanaoongoza harakati za kudai HAKI na UWAJIBIKAJI na UCHAGUZI HURU, HAKI na wa WAZI kwa njia ya maandamano yasiyo na ukomo yatakayoanza tarehe 9/12/2025 na kuendelea Wametoa taarifa kupitia vyombo vya habari (PRESS STATEMENT) kwa wageni na watalii...
  6. agudev

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru unahifadhiwa wapi baada ya kutembezwa?

    Habari za muda huu wanajamvi, Naomba msaada kwa anayejua wapi mwenge wa uhuru unapohifadhiwa baada ya mbio za mwenge. Mwanangu wa shule ya msingi alinipiga hili swali jana nikawa napepesa macho tu, shuleni kwao wapo katika topic inayohusiana na mambo ya uhuru wa Tanzania pamoja na mwenge wa...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Masheikh Wanasiasa Wazalendo Walipigania Uhuru wa Tanganyika

    MASHEIKH WANASIASA WAZALENDO WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Historia ya Waislam waliopigania uhuru wa Tanganyika ukisoma maisha yao utawakuta masheikh ambao wao usomeshaji wa dini iliku wa ndiyo jukumu lao kuu mfano wa Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Yusuf Badi (Lindi) na Sheikh Mohamed...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kwanini darasani hatujafundishwa kuhusu wanawake hawa walioshiriki kupigania Uhuru wa Tanganyika?

    Wakuu, Nimekutana na picha hii na nimepata maswali sana. Hawa ni wajumbe wa tawi la wanawake la TANU wakiagana na Mwalimu Nyerere usiku wa kuamkia safari yake ya Umoja wa Mataifa mwaka 1955 Kutoka kulia: Bi. Chiku bint Said Kisusa, maarufu Mama Sakina, Bi. Titi Mohamed, kushoto wa kwanza ni...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania TBC1 Maktaba Siku ya Kiswahili: Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Kiswahili Lugha ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Leo Maktaba imetembelewa na TBC1 kufanya kipindi kuadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani. Mtangazaji wa TBC1 Hilda Sengoli alitaka tuzungumze mchango wa Kiswahili katika kuwaunganisha Watanganyika kama watu wa taifa moja kupigania uhuru wa Tanganyika. Nilimfahamisha kuwa Kiswahili kinakwenda na...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwa nini sherehe za Muungano na Uhuru wa Tanganyika huwa zinafutwa lakini za Mapinduzi haizfutwi?

    Nahisi Kuna kitu hakipo sawa. Maana imekuwa ni rahisi sana kufuta maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika (Disemba 9) na Muungano (April 26) kuliko maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar (January 12). Nje ya mada. Ni sawa kwa mtu asiye mtanganyika kufuta sherehe za maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika?
  11. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Misimamo ya Yanga ilisaidia kwa kiasi kikubwa uhuru wa Tanganyika

    Mizizi ya klabu ya Yanga inaweza kufuatiliwa tangu miaka ya 1910, lakini historia iliyotambulika rasmi ya klabu hiyo ilianza mwaka 1935 wakati wakazi wa  Dar es salaam , ambao waliwekwa katika kundi la Waafrika na utawala wa kikoloni wa Tanganyika  , waliamua kuunda klabu ya soka ili kushiriki...
  12. and 998 others

    JamiiForums Tanzania SIDO wameshindwa hata kutengeneza mobile toilets?

    Inasikitisha Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru wa Tanganyika eti tunaagiza Mobile toilets China? SIDO mmeshindwa kuunganisha mabati hayo yawe mobile toilets? bado mtadai nyongeza ya Mshahara Mei Mosi?
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Magomeni na Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/DrvRASg0n_M?si=-WYJZqPRWbtkwjmU
  14. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wanaopinga kukosolewa wengi wao hawakupigania uhuru na walizaliwa baada ya uhuru wa Tanganyika?

    Hii nimeona kuanzia kwa Magufuli mpaka kwa Samia. Hawa viongozi hawana nasaba zozote za kupigania uhuru ama kuwa kwenye line ya wapigania uhuru kwenye taifa hili. Viongozi Hawa hawakuwahi kupiga stori na Nyerere za namna yoyote ile na uhakika upo. Hawa ndiyo vinara wa kuminya uhuru wa kujieleza...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Yanga na TANU Katika Kupigania Uhuru wa Tanganyika Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/7-aawj-gB-8?si=MdmVCSuiHMShsedm
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Tabora Katika Kupigania Uhuru wa Tanganyika (1945 - 1961)

    MHADHARA: MCHANGO WA TABORA KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA (1945 - 1961) Niko Tabora toka jana usiku. Mwaliko wa Wazee wa CCM Tabora Kuadhimisha Kuzaliwa kwa CCM tarehe 5 February 1977. Nimealikwa kuzungumza mchango wa Tabora katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Mhadhara unafanyika...
  17. Guus

    JamiiForums Tanzania Shirika la Posta ni taasisi inayojipeleka kaburini

    Historia ya Shirika la Posta Tanzania Huduma za Posta kama taasisi zilianzishwa nchini na Serikali ya kikoloni ya Ujerumani. Huduma ya kwanza ya barua iliyobandikwa stempu ilianzishwa hapa nchini mwaka 1893. Mara baada ya Uhuru wa Tanganyika tarehe 9 Desemba 1961, huduma za Posta ziliendelea...
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tusahihishe Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/9u_ZRa69IGs?si=Ea99wpBTzkTEHVwt
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makundi mbalimbali yaadhimisha Miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika kwa kutunza mazingira

    Katika kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru, mikoa mbalimbali nchini imejitokeza kushiriki shughuli za kutunza mazingira, ikiwemo kufanya usafi na kupanda miti. Mkoani Morogoro, Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu kwa kushirikiana na Kikosi cha Mazao Mzinga na wadau wa mazingira wamepanda miti 7,000...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya Uhuru wa Tanganyika

    Tunapoadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika na baadae Tanzania, tujikumbushe maneno ya aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania na Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere kuhusu Muungano wa Tanzania. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store
Back
Top Bottom