Gabriel Ruhumbika (born 1938) is a Tanzanian novelist, short story writer, translator and academic. His first novel, Village in Uhuru, was published in 1969. He has written several subsequent novels in Swahili. He has also taught literature at a number of universities, and is currently a professor of Comparative Literature at the University of Georgia in the USA.
Taazia ya Brendon Grimshaw (sunday news 1968) mchango wa Abdul Sykes na ukoo wa Sykes katika uhuru wa Tanganyika ni mkubwa
https://youtu.be/cGln0q9H1Oc
Watanganyika bila kuamka huyu bibi amedhamiria kuifuta Tanganyika ipotee kabisa au atuachie migogoro na vita vya wenyewe kwa wenyewe: Soma comment ya mdau:
MAGEUZI KATIKA MTAALA WA UFUNDISHAJI WA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA
Nimepokea ujumbe huo hapo chini kutoka kwa mwanafunzi wangu mmoja:
''Leo rafiki yangu mmoja ambaye ni muhitimu wa Shahada ya Ualimu wa Historia mwaka huu amenipa habari njema kwamba habari za Abdulwahid Sykes na wazee...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewatakia kheri ya sikukuu ya Uhuru Watanzania kupitia kurasa zake za mitandao ya Kijamii.
Rais Samia amesema 'Kheri ya Miaka 64 ya Uhuru wa nchi yetuTunamshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa hatua hii kubwa. Tunapoadhimisha siku hii...
Maandamano yatafanikiwa kumuondoa Rais Samia na kufanywa wauaji waajibishwe safari hii?
Siku yenyewe ndio imefika, ikiwa ni miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika, lakini upande mwingine tunasema bado hatujapata uhuru. Bado tumefungwa na minyororo ileile iloyotufunga wakati na wa ukoloni na sasa...
Tanzania, kama taifa moja lenye umoja, limejengwa kwa misingi ya historia ndefu na changamoto mbalimbali. Hata hivyo, miongoni mwa matukio muhimu katika historia ya taifa hili ni siku ya uhuru wa Tanganyika, ambayo ilitokea tarehe 09 Desemba 1961. Hii ni siku muhimu ambayo inawakumbusha...
rais
rais samia
rais samia suluhu
samia
samia suluhu
serikali
serikali ya tanzania
siku
suluhu
tanganyika
tanzania
tarehe
uhuruuhuruwatanganyikawatanzania
Wakili Peter Madeleka amshtaki rais Samia kwa kufuta sherehe za Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika, (Desemba 9) katika Mahakama ya Tanzania Masjala Kuu ya Dodoma.
Soma: Sherehe za sikukuu ya Uhuru zapigwa STOP. Fedha kutumika kurekebisha miundombinu iliyoharibika wakati wa Uchaguzi Mkuu
Sherehe za maadhimisho ya uhuru wa nchi fulani ni sherehe muhimu sana kuliko sherehe zozote zile.
Sasa suala la serikali ya mama samia kuzuia maadhimisho ya sherehe hizi kama kumbukumbu ya Tanganyika kupata uhuru ni dhahiri kuwa unawanyima uhuru watanganyika kusherehekea sikukuu/uhuru wao...
Raia wazalendo wa taifa hili maarufu kama GenZ wanaoongoza harakati za kudai HAKI na UWAJIBIKAJI na UCHAGUZI HURU, HAKI na wa WAZI kwa njia ya maandamano yasiyo na ukomo yatakayoanza tarehe 9/12/2025 na kuendelea
Wametoa taarifa kupitia vyombo vya habari (PRESS STATEMENT) kwa wageni na watalii...
Habari za muda huu wanajamvi,
Naomba msaada kwa anayejua wapi mwenge wa uhuru unapohifadhiwa baada ya mbio za mwenge. Mwanangu wa shule ya msingi alinipiga hili swali jana nikawa napepesa macho tu, shuleni kwao wapo katika topic inayohusiana na mambo ya uhuru wa Tanzania pamoja na mwenge wa...
MASHEIKH WANASIASA WAZALENDO WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Historia ya Waislam waliopigania uhuru wa Tanganyika ukisoma maisha yao utawakuta masheikh ambao wao usomeshaji wa dini iliku wa ndiyo jukumu lao kuu mfano wa Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Yusuf Badi (Lindi) na Sheikh Mohamed...
Wakuu,
Nimekutana na picha hii na nimepata maswali sana.
Hawa ni wajumbe wa tawi la wanawake la TANU wakiagana na Mwalimu Nyerere usiku wa kuamkia safari yake ya Umoja wa Mataifa mwaka 1955
Kutoka kulia: Bi. Chiku bint Said Kisusa, maarufu Mama Sakina, Bi. Titi Mohamed, kushoto wa kwanza ni...
Leo Maktaba imetembelewa na TBC1 kufanya kipindi kuadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani.
Mtangazaji wa TBC1 Hilda Sengoli alitaka tuzungumze mchango wa Kiswahili katika kuwaunganisha Watanganyika kama watu wa taifa moja kupigania uhuru wa Tanganyika.
Nilimfahamisha kuwa Kiswahili kinakwenda na...
Nahisi Kuna kitu hakipo sawa. Maana imekuwa ni rahisi sana kufuta maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika (Disemba 9) na Muungano (April 26) kuliko maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar (January 12).
Nje ya mada. Ni sawa kwa mtu asiye mtanganyika kufuta sherehe za maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika?
Mizizi ya klabu ya Yanga inaweza kufuatiliwa tangu miaka ya 1910, lakini historia iliyotambulika rasmi ya klabu hiyo ilianza mwaka 1935 wakati wakazi wa Dar es salaam , ambao waliwekwa katika kundi la Waafrika na utawala wa kikoloni wa Tanganyika , waliamua kuunda klabu ya soka ili kushiriki...
Inasikitisha Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru wa Tanganyika eti tunaagiza Mobile toilets China?
SIDO mmeshindwa kuunganisha mabati hayo yawe mobile toilets? bado mtadai nyongeza ya Mshahara Mei Mosi?
Hii nimeona kuanzia kwa Magufuli mpaka kwa Samia. Hawa viongozi hawana nasaba zozote za kupigania uhuru ama kuwa kwenye line ya wapigania uhuru kwenye taifa hili. Viongozi Hawa hawakuwahi kupiga stori na Nyerere za namna yoyote ile na uhakika upo.
Hawa ndiyo vinara wa kuminya uhuru wa kujieleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.