uhamisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga yajitosa kwa Lameck Lawi, Coastal Union yataka Milioni 250 ada ya uhamisho

    Timu ya Coastal Union imepokea barua rasmi ya Klabu ya Yanga kumuhitaji beki wa kati Lameck Lawi, Coastal Union inataka millioni 250 kama ada ya usajili wa Lameck Lawi kutoka Yanga. Soma, Pia: Simba wakubali yaishe kwa Lameck Lawi, aanza kwenye kikosi cha Coastal Union dhidi ya Mashujaa FC...
  2. JamiiForums Tanzania Mkeka wa uhamisho wa watumishi unatoka lini?

    Tangu mkeka wa mwisho utoke nadhani ni Julai mwaka jana halafu ndipo ukaletwa huu uhamisho wa kwenye mfumo. Juzi kati tena kukaja habari ya kufuata wenza watu wakashughulikia fasta. Sasa baada ya mambo yote hayo wengi wetu tumetega macho na masikio matarajio yetu ni kuona mkeka kabambe wa...
  3. JamiiForums Tanzania Viongoiz jifunzeni kufuata utawala wa sheria! Mkuu wa mkoa manyara huna mamlaka ya kuzuia Uhamisho wa Watumishi wa Umma

    Nchi hii ifike mahali tuwe na chombo kinacho wasimamia hawa viongozi maana nikama wakisha kuwa na madaraka ya juu basi wapo overall, Haya ya kuendelea kuwaacha waongoze kwa utashi wao na sio kuzongatia sheria kuna siku yatatokea ya Dr. Kleruu na mwamwindi Mkuu wa mkoa kwa utashi wake anasimama...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kuhusu uhamisho wa kumfuata mwenza wa ndoa kwenye kituo cha kazi

    Salaam wakuu... Pamoja na pongezi zilizotolewa kwa serikali juu ya uamuzi wa kuwasaidia wanandoa waliopo mbali kuishi pamoja, Nina ushauri kutokana na baadhi ya waajiri kutokuwa waaminifu kwa waliopo chini Yao. Ili mtumishi ajue taarifa zake zimefika wizarani ni vema kwenye mfumo wa ESS kukawa...
  5. JamiiForums Tanzania Hili Tangazo la utumishi kuhusu uhamisho ni la kibaguzi

    Nasikitika Sana kuona "maelekezo" ya Tangazo hilo kuhusu Watumishi kuhama kuwafuata wenzi wao likiwabagua Wenza ambao sio waajiriwa WA sekta binafsi au waajiriwa wa Serikali. Eti ili uweze kuhamishiwa kwa mwenzi wako LAZIMA wote muwe Serikalini, sasa Mimi ambaye sio mwajiriwa ila mwenzi wangu...
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kilio cha askari kadhaa wa Jeshi la Polisi waliohamishwa hivi karibuni bila kupewa fedha ya uhamisho

    Dear Mama Samia, Pole na majukumu ya kulitumikia taifa letu. Kwa heshima na taadhima, naomba kukufikishia kilio cha askari kadhaa wa Jeshi la Polisi ambao wamehamishwa hivi karibuni lakini bila kupewa senti tano ya uhamisho. Kwa upande mmoja, uhamisho huo wa ghafla na usio na posho za uhamisho...
  7. JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi kwa njia ya Mfumo tunaomba u-refrect teknolojia mpya, kwa maana ya Kasi na uharaka zaidi

    Nitumie fursa hii kuishukru serikali yetu kwa huu mfumo wa ESS kwakweli nasema kutoka moyoni mwangu. God bless this 6th regime
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri.

    Wakuu..Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri. Hii ni changamoto kwa utumishi...
  9. JamiiForums Tanzania Bila rushwa wala konenisheni sahau kuhusu uhamisho mfumo ni kiini macho

    Suala la uhamisho kwa watumishi wa umma limekua kero kubwa hasa baada ya ujio wa mfumo wa ess,ambapo sasa maombi yote ya uhamisho hufanyika katika mfumo huu. Tangu kuanza kwake hadi sasa kumekua na malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wanaaomba uhamisho kupitia mfumo,ambapo pamoja na...
  10. JamiiForums Tanzania Ninataka kuhamia shirika moja la uhifadhi, nifanye nini?

    Wandugu hapa jamvini nadhani mnaendelea kutafuta ugali wenu wa kila siku. Ninataka kuhamia shirika moja la uhifadhi nchini nimefuatilia nafasi nimeambiwa ipo kumcheki HR kakaza anasema hamna. Naombeni mwenye idea ya nini cha kufanya kama ni kupitia utumishi au idea nyingineyo nakaribisha maoni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu humu ndani alishafanikiwa kupata uhamisho kupitia ESS. Je utumishi huchukua muda gani kuapprove?

    Msaada jamani. Sasa hivi kila kitu ni kupitia Esss. Mimi niliomba uhamisho. Na maombi yapo utumishi yanasubiri approl. Je huwa yanachukua muda gani? Mimi Mwl muuza Kangala
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wa serikali wanatumia njia za mkato kufanikisha uhamisho? Hili ni jibu langu binafsi

    Nawasalimu wote. Naibu karibu mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia elimu amekemea vikali tabia ya baadhi ya watumishi kuhama kwa kutumia njia zisizo rasimi huku akihusisha jambo hilo na pesa. Ameenda mbali zaidi kwa kueleza kuwa Kuna maafisa Wana barua za uteuzi ambazo hazitoki kwa katibu mkuu...
  13. JamiiForums Tanzania Swala la kumpeleka Musonda Mazembe watupe Baleke, tutaumia

    Wakuu Nimeskia sana tetesi kuwa kutakuwa na swap deal kati ya Yanga na Mazembe Means Musonda kwenda Congo na Baleke aje Yanga. Huu usajiri kwa kweli tunaenda kupigwa kama kweli, pakubwa sana. Why? Mpaka Mazembe wanakuja kwako kumtaka mchezaji ujue huyo ni a good player! Halafu pia hawa ni...
  14. JamiiForums Tanzania Nawezaje kuchukua uhamisho wa mtoto wa Kidato cha Tano?

    Wakuu nilikuwa naomba kusaidiwa kwa wale wenye uzoefu. Wote tunafahamu kuwa selection za kidato Cha tano zimetoka; ila nilikuwa nataka kuichukua uhamisho kwa mwanangu. Kila nikimpigia Mkuu wa Shule nyingine anasema mpaka waripoti ndo wajue utaratibu. Shule ina HKL ila yeye anataka yeyote...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kila anayefanya vibaya serikalini uhamishwa na kulipwa gharama za Uhamisho zisizopungua milioni kumi kwa mtumishi mwandamizi na 25M kwa wakuu wa Idara

    Only in Tanzania ndipo kufanya kazi kituoni muda mrefu ni kigezo cha kushuka ufanisi. Tanzania Uhamisho wa watendaji ni maamuzi ya kila mtu. Hakuna sera inayoongoza taratibu za uhamisho. Leo kwa kauli za wakuu wetu mganga mbobezi anaweza kuhamishwa kituo kisa amekaa muda mrefu; wakuu wa Idara...
  16. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Walimu wauza Rasilimali zao kupata pesa za uhamisho

    Walimu zaidi ya 50 kutoka Katika shule za msingi zipatazo 46 katika Tarafa mbalimbali Wilayani Rombo, Mkoani Kilimanjaro wamelazimika kuuza Rasilimali zao kama vile mbuzi, kuku na baadhi ya vitu vya ndani na wengine kuingia kwenye mikopo ili kuweza kupata pesa kwa ajili ya kujihamisha wao...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwenye mfumo wa EES kwa watumishi wa umma

    Wadau nimeshafanya uhamisho huu online, status inasoma ALLOWED, kwa waliowahi kufanya uhamisho huu nini kinafuatia baada ya hapo natanguliza shukrani.
  18. JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa njia ya mfumo wa ESS

    Habari Wadau, Mwenye uelewa juu ya kuomba maombi ya Moja kwa Moja kwenye mfumo naomba ufafanuzi. kati ya vacancy request na transfer request kipi kinatangulia? Je kutokujaza vacancy request inaweza ikapelekea maombi yako kukataliwa au kuandikiwa "vacancy not badgeted"?
  19. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wa Umma na Utawala hawasemi tatizo linalozuia vibali vya Uhamisho vya baadhi ya watumishi hata kama mwajili amesharidhia?

    Wizara hii imekuwa ni kero kubwa sana kwa Watumishi wa Umma hasa wanaofatilia vibali vyao vya uhamisho wakiwemo wale wa kutoka Taasisi mbalimbali kwenda TRA, imekua ni kasumba ya wahudumu wa ofisi ile kujibu mbovu watumishi hawa hasa wanapofika wizarani. Mfano mtu anatokea Geita, Katavi au...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna haja gani kwa Watumishi kuomba uhamisho kutumia mfumo ikiwa...

    Utumishi kupitia Tamisemi walianzisha mfumo rasmi kwa watumishi kuweza kuomba uhamisho kupitia online (ESS), lengo likiwa ni kuzuia urasimu unaofanywa na baadhi ya watendaji wasio waadilifu. Japo ni jambo jema lakini kwa sasa ni kama changamoto imekuwa kubwa kuliko awali kwa wale wanaoomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…