uhakika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Chemistry ya uongozi wa DR.SAMIA, DR.NCHIMBI NA DR.MWIGULU imebamba mioyo ya wananchi wote TZ na inakubalika na kuaminika mno kitaifa na kimataifa

    Sote ni mashahidi dhidi ya umoja, umadhubuti, umakini na umahiri wa serikali sikivu ya CCM iliyoundwa na inayoongozwa na makada kindakindaki wa chama cha mapinduzi DR.SAMIA, DR.NCHIMBI NA DR.MWIGULU, kwamba imebeba chachu ya maendeleo halisi Tanzania. Kabisa inaonyesha wananchi wana shauku na...
  2. JamiiForums Tanzania Ponografia inakufundisha kuwa ngono ni burudani, nina uhakika hii ni moja ya sababu ya kuongezeka kwa ufuska na watu kufanyiana matendo ya kinyaa

    Ok, hakuna jipya katika dunia, lakini sometime back matendo ya ngono yalikuwa faragha na ngono haikuwa hyped namna hii, ngono ilionekana kama jambo la siri, aibu na muda mwingine sacred. Ila sasa hivi binti wa miaka 19 ndio anakufundisha style, kijana wa kiume ameruka na mademu wee hadi...
  3. JamiiForums Tanzania Wadada wa JF, tumewamiss, rudini jukwaani, mmepotea sana

    Huu ukimya hadi una unakera na kutupa wasi wasi
  4. JamiiForums Tanzania Nina uhakika 90% ya wanaJF humu hawajui kuwa 90% ya utumwa duniani ulifanywa na waarabu lakini 80% hawajui kuwa 80%+ ya utumwa uliwezeshwa na machifu

    Lakini jibu la maswali haya yote tumefundishwa ni mzungu. Ukatili wa biashara ya watumwa ya Waarabu ulijumuisha ukatili wa kulazimishwa kuvuka jangwa na bahari, unayanyasaji wa kingono kwa wanawake na wanaume, kuwahasi watumwa wa kiume ili watumikie kama matowashi. Biashara hii, ambayo ilidumu...
  5. JamiiForums Tanzania Ni mwana JF yupi ungependa ku-debate naye na una uhakika utampiga chini?

  6. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Mahakama haiwezi kuwa huru kama Watendaji wake hawana uhakika wa mishahara na mazingira bora ya kazi

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amezungumzia kuhusu maslahi ya Watendajiw a Mahakama mbele ya Rais Samia Suluhu ambaye anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  7. JamiiForums Tanzania Je, unajua ng’ombe wa maziwa anaweza kukuletea mapato ya uhakika kila siku—hata zaidi ya bodaboda?

    Chukua mfano wa ng’ombe mmoja bora wa maziwa: ➡ Anaweza kutoa wastani wa lita 15–20 kwa siku ➡ Kwa bei ya sasa ya soko (maeneo mengi TZS 2,000 au zaidi kwa lita), hii ni sawa na: TZS 30,000–40,000 KILA SIKU kutoka kwa ng’ombe mmoja tu. Fanya hesabu kwa Mwezi utakua na bei gani? Na tofauti na...
  8. JamiiForums Tanzania Ni uhakika kuwa Waafrika tumeshindwa kusoma vitabu, lakini kuna fursa tunayo mikononi mwetu, 2026 simu yako iwe na networks hizi ili tujihimalishe

    Tunaweza kuwaza kuwa mabadiriko na uhasishaji ni process ndefu ila inaweza kuwa ni spark!, ghafla mindset yako ikawa infected na mageuzi. Najua algorithm zetu zimejaa mademu wenye makalio makubwa na stori za skendo, sawa ni burudani ila fikiria miaka 5 mfululizo wa porno unafikiri mindset yako...
  9. JamiiForums Tanzania Ni member yupi una uhakika yupo katika ignore list ya wanachama wengi humu?

  10. JamiiForums Tanzania WIZI huu Nina uhakika wakurugenzi wa HALIMASHAURI wanausika kikubwa mno maana ni nchi nzima.

    SHUGHULI zangu zinanifanya nisafiri kila uchwao na njia kuu ninazotumia ni BARABARA, na kupitia kwenye stand zetu zilizojengwa kwenye HALIMASHAURI mbalimbali. Nikianza na stend kuu ya Magufuli, Kuna habaria wengi wanatumia stend Ile na WANALIPA viingilio lakini hawapewi risit wao wanalipishwa...
  11. JamiiForums Tanzania Reincarnation...nazidi kupata uhakika binadamu hatufi

    Naam hili jambo nilikuwa nalichukulia poa...lakini baada ya kuamua kufuatilia kidogo naanza kupata uthibitisho pasi kuwa na shaka juu ya mzunguko wa maisha ya viumbe sisi bin adamu. Kwa kifupi sana tafiti ni nyingi lakini......nilipata kuishi nyanda za juu kusini mwa Tanzania nikiwa kijana...
  12. JamiiForums Tanzania Naombeni VPN za uhakika

    Kuelekea kesho huenda huduma za internet nchi zikazimwa hivyo wadau naombeni VPN ya uhakika mapema kabisa.
  13. JamiiForums Tanzania Kwa macho ya kawaida utaona ni haki inagombaniwa, ila kwa taarifa za uhakika kinachopikwa ni Tanzania kuwa Congo ya pili

    CCM imekuwa chama imara sana katika kupigania nchi hii, toka 1961 msimamo wake haujawahi kupinda kutetea maslahi ya wananchi wake, kwa nje utaona ni vita ya kugombania haki ila kuna watu waliisubiri sana hii siku waonyeshe rangi zao halisi, Kinachoendelea ni vita kubwa ya kiuchumi...
  14. JamiiForums Tanzania Wambura na Muliro, Tarehe 9 Dec ni Maandamano. Hili muwe nalo uhakika kabisa bila mashaka. Sasa mtachagua Mtuue kama mlivyotuua au tuwaondoe

    Mambo si mambooooo!! Vijana wadogo lakini Wenye Akili kubwaaaa ,Akili nyiiingi !!. Toeni Pesa Bank. Nunueni Vyakula Kwa ajili ya Wanafamilia. Waandamani tuonane Field !!
  15. JamiiForums Tanzania Mna uhakika hawa ni JWTZ?

    Nimepita Kigogo roundabout jioni ya leo nimeona hawa JW ni vijana wadogo wenye ndevu. How comes? Je, ndo maana wengine wanavaa mask kuficha sura zao tusijue kuwa hawa ni UVCCM? Kwa nini jeshi linachezewa hivi?
  16. JamiiForums Tanzania Msigwa iambie Serikali yako na Vikundi vyake (Polisi na Mamuluki wao) tarehe 9 Dec ni Maandamano ya Uhakika, Wasithubutu hata Kuua Sisimizi!.

    Kwa Taarifa yenu, Tuliouliwa Ndugu zetu tumeshajipanga kuandamana. Mtangaze Curfew ya mapema, haitozuia lolote. Muanze kupiga Risasi mapema, haitazuia lolote . Maandamano yapo, No way Bwana Msigwa , rukaruka tu na Porojo zako ila MAANDAMANO MAKUBWA YA AMANI YAKO PALEPALE. SASA , Onyo...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Anna Tibaijuka: Utekaji bila kukomeshwa utazaa ugaidi. Mtu akikosea apelekwe Polisi na Mahakamani

    Kiuhalisia Tanzania imeendelea kuwa ngumu sana! Vitisho na hofu kwa wananchi zimekuwa kubwa sana Unaogopa kusema kitu kwa hofu ya kutekwa Mungu atusaidie sana tuondoke huku. Mama Tibaijuka naye kasema ukweli mtupu maana matukio ya namna hii ni lazima tu yatazalisha ugaidi mkubwa sana na hata...
  18. JamiiForums Tanzania Ila hii picha ina ukweli wa uhakika

  19. M

    JamiiForums Tanzania Aliyejiriwa ni mtumwa aliyefungwa mdomo na mshahara au cheo, ni ajabu kuona mtu asiye na ajira wala uhakika wa kipato akiogopa kujitetea

    Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo. Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze kujihudumia hata kama walipata kidogo, ambao hawakuwa na ajira nao waliweza kusurvive, enzi hizo mambo...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi mna uhakika watanzania Oktoba 29 wataandamana?

    Nchi imechafuka inanuka damu kiasi kwamba ni ngumu kuvumilia haya. Yanayoendelea Lakini binafsi Nina mashaka na watanzania namna ambavyo tumekuwa Kama kondoo Hivi mna uhakika hayo maandamano yapo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…