Habari,
Leo siku inaenda kuisha kukiwa na habari mpya na mbaya ya watu 98 akiwamo bint jasiri Niffer kufunguliwa kesi ya uhaini.
Uhaini ndio kosa kubwa kwa mujibu wa sheria zetu ambapo adhabu yake ni kifo
Nashauri mawakili wa utetezi wasihangaike
Waache mahakama na serikali ihukumu inavyotaka...
Wakili Jebra Kambole ameoneshwa kusikitishwa na namna kosa la uhaini lilivyofanywa kama kuwa la kawaida na kuonya kuwa ipo siku litatokea kweli.
Wananchi mbalimbali pia wameoneshwa kusikitishwa na namna kosa hili linavyotajwa mara kwa mara katika kipindi hiki hali inayopelekea kupoteza ule...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Mimi binafsi ni mpingaji wa Dhulma,uminyaji wa Haki,mauaji ya raia,Utekaji wa raia kila mahali,UminywaJi wabl Demokrasia pamoja na Upingaji wa ukandamizaji wa Vyombo vya habari zikiwemo Blogs!
Binafsi naomba Mamlaka za nchi hii ziniunganishe kwenye Kesi...
Kazi ya JWTZ ni kulinda mipaka ya Tanzania na watanzania dhidi ya maadui wa nje.
Mosi, ni bwege na zwazwa gani ameamuru jeshi liingie mitaani kuingilia kazi ya polisi?
Pili, walishuku kuwa polisi hawana morali, hivyo, wasingetimiza wajibu wao?
Tatu, kuna uoza na uzwazwa zaidi ya huu?
Nne...
Mimi naona ni kupoteza muda kwasababu Tundu Lissu hajaikataa hiyo video. Amekubali hiyo video, amekubali maneno yaliyopo kwenye hiyo video.
Hapa kinachabishaniwa ni maneno aliyoyatamka kama yanaviashiria vya uhaini.
Mimi naona kinachofanyika hapo mahakamani ni mbwembwe tu na kupotezeana...
..kichwa cha habari chahusika.
..kesi ya uhaini inayoendelea Uganda inarushwa na TV zao mubashara.
..kesi ya uhaini inayomhusu TAL hapa Tanzania ilianza kurushwa mubashara.
..lakini katika mazingira na sababu zisizoeleweka Mahakama ya Tanzania imekatisha kesi ya uhaini ya TAL kurushwa...
Tundu Antipas Lissu, alifunguliwa kesi ya uongo ya uhaini na Samia.
Samia akatumia mahakama na kina Katuga kumkomesha Lissu, mpaka Sasa ni mwezi 7 Lissu yupo jela.
Nakumbuka Kuna Askofu Mmoja alionya kubwa neno uhaini linachukuliwa poa na watawala ila akashauri sio vyema kutumia hili neno...
Tangu Tundu Lissu ataje orodha ya mashahidi wake, mashahidi kutoka Kenya na Uganda ambao hawakuwepo eneo la tukio (kwenye mkutano ambao Lissu alisema "tutakinukisha") na ambao si hata viongozi wa CHADEMA, nimebaki najiuliza swali hili:
Watu hawa(Martha Karua, Agather na Boniface Mwangi)...
Leo Septemba 18, 2025, kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu imeendelea katika Mahakama Kuu Dar es Salaam, ambapo upande wa Jamhuri umejibu hoja za mshitakiwa huyo, huku naye akifanya majumuisho ya mwisho.
Kesi hiyo inatarajiwa kutolewa uamuzi mdogo JUmatatu Septemba...
Kwa kusiliiza hoja za mawakili wa serikali na hoja za Lissu, majaji wa hii kesi kweli wanatenda haki kwa hii kesi kuendelea kuwepo mpaka muda huu?
Kwa maneno mengine, majaji hawa wanatosha,?
Labda niulize: Je, maamuzi ya Mahakama ya Rufaa kwa kesi za aina hii zilizotangulia, hayatoshi kufuta...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Tundu Lissu ambaye anakabiliwa na kesi ya uhaini baada ya mapingamizi yake kutupwa na Mahakama, Mahakama ikataka kumsomea mashitaka yake ili ajibu ndio au hapana lakini Lissu akaibua hoja za kueleza na kufafanua kuhusu kosa la uhaini pamoja...
Baada ya majaji wa High court kukataa mapingamizi yote ya Tundu Lissu juu ya uhalali wa mahakama kuu kuendelea kusikiliza shauri hili, hatimaye amesomewa shitaka lake la uhaini leo 15/9/2025...
Baada ya kusomewa shitaka, swali kwa mshitakiwa kikawaida huwa ni KWELI au SIO KWELI. Kwa kimatengo...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, anakabiliwa na mashtaka ya uhaini na uhalifu mwingine mzito, mamlaka za sheria zilisema Alhamisi, hali ambayo imezua hofu ya kurejea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Machar amekuwa kizuizini tangu Machi 2025 baada ya serikali ya mpito...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chma cha Demorasia na Maendeleo (CHADEMA)Taifa, Tundu Lissu, imepangwa kusikilizwa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, Septemba 8, 2025 katika hatua ya kusoma hoja za awali.
Taarifa hiyo, iliyotolewa na Wakili Gaston Shundo Garubindi...
Humphrey Polepole amesema, "Kamati Kuu moja imekaa Lumumba imejadili Membe alihusika kusika mipango ya Rais kuuawa na ndiyo ulikuwa msingi wa kumchulia hatua Membe.."
https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2
IN BRIEF:
1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha kwa taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa kama ambavyo nasi Mungu wa mbinguni hutusamehe kila...
dr slaa
humphrey
humphrey polepole
madai
mfumo
mifumo
mifumo ya uchaguzi
moja
moja kwa moja
nchi
polepole
slaa
taifa
tishio
uchaguzi
uhaini
usalama
usalama wa nchi
Just for curiosity, kuna matendo yanafanywa na serikali wazi wazi kuwa yanayoakisi UHAINI WA SERIKALI dhidi ya wananhi wenye mamlaka, maana mamlaka ya serikali yanatoka kwa wananchi!
Kama serikali inafanya uhaini dhidi ya wananchi, kwanini wananchi nao wasifanye uhaini dhidi ya serikali ambayo...
Uhaini ni jaribio la kubatilisha matakwa ya wananchi kusimika utawala kwa njia haramu.
Kwa kuingilia mifumo ya uchaguzi CCM imekuwa ikibatilisha matakwa ya wananchi na kusimika utawala wake kwa njia zilizo haramu.
Tumebebeshwa kesi dhidi ya Lissu tusiyoielewa na tunaopaswa kuwashitaki kwa...
Baada ya Polepole kutoa tuhuma nzito za mifumo ya uchaguzi kuingiliwa huku akitaka uchunguzi huru utaohusisha vyama vyote ufanyike ili umma ujiridhishe kama alichosema ni kweli au laa, nimejikuta na hili swali hapa chini:
Kama Lissu anashitakiwa kwa tuhuma za kusema atakinukisha kuvuruga...