uhaini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unaitisha maridhiano wakati huo huo unambambikia kada wako mtiifu Godfrey Malisa kesi ya kubumba ya uhaini! Are you serious na maridhiano?

    Rais wangu, kwa heshima na taadhima kubwa, Unaonekana ni mzaha na dharau! Dhamira ya kweli na common sense tulitegemea watu wote wenye kesi za kubumba wawe huru ukianza na Lisu, angalau kwa mbali kuwa umeanza kubadirika! Utekaji, uuaji, upotezwaji, ulawiti, ufiraji, ubakaji bado uko pale...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliyekosoa mchakato wa uteuzi wa Samia ndani ya CCM, Mzee Godfrey Malisa ashtakiwa kwa UHAINI

    Mchungaji Godfrey Malisa, aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi mkoani Kilimanjaro akikabiliwa na kosa la uhaini. Kesi hiyo (Namba 000028333 ya 2025) inatarajiwa kutajwa kesho, Ijumaa, Januari 2, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...
  3. JamiiForums Tanzania Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini

    Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini. Sio hivyo tu amewafunga wababa wa watu wakina polepole kinyume cha sheria kwa hirq zake.
  4. R

    JamiiForums Tanzania UVCCM Manzese wamvaa Heche kauli ya kuundwa kwa serikali ya mpito na kuongozwa na wageni ni uhaini

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Manzese wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wamekosoa vikali kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuhusu madai ya kutaka Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29 urudiwe wakisema kauli hiyo inapaswa kupuuzwa kwani hakuna...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kibao kitapogeuka, Lissu atakuwa uraiani, huku mtesi wake akiwa The Hague Court

    Ni kama ambavyo yule alietaka kumtanguliza Lissu ahera, badala yake katangulia yeye huku Lissu akiwa bado yuko katika uso wa hii dunia. Tena si ajabu Lissu akaja kuwa Raisi wakati huo mtesi wake ameshahukumiwa kifungo cha maisha jela. Muda utasema.
  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watuhumiwa wengine 34 wa uhaini wafutiwa kesi Tunduma

    Mahakama ya Wilaya ya Momba, iliyopo katika Halmashauri ya Mji Tunduma, Jana imewaachia huru Watuhumiwa 34 wa uhaini, kutokana vurugu za Oktoba 29, 2025. Kwa mujibu wa Mwendesha mashitaka wa Mahakama ya Wilaya ya Momba Ndg. Simon Pelesi alisema kuwa, zoezi hili la watuhumiwa hawa kupata...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Utesaji wa vyombo vya ulinzi kutafuta ushahidi unalivunjia heshima taifa letu

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ____ Utesaji unalivunjia heshima taifa letu. Zipo taarifa za uhakika kuwa katika jitihada za vyombo vya ulinzi kutafuta ushahidi, vinatumia mateso na udhalilishaji (torture) ili kuwalazimisha watuhumiwa waseme...
  8. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 DPP awafutia kesi ya uhaini Niffer na Mika Chavala

    Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amefutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala, waliokuwa na kesi ya uhaini. Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano Desemba 3, 2025 na Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya, baada wakili wa Serikali...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msimamo wa vijana waliokuwa wamekamatwa kwa uhaini

    Huu hapa Msimamo wa waliokuwa wamekamatwa kwa uhaini siku na baada ya uchaguzi mkuu.
  10. JamiiForums Tanzania Mika chavala, anaeshikiliwa kwa kesi ya uhaini huyo dogo si mzembe ni balaaa zitooo ndo maana

    Katika pitapita zangu instagram Kuna page nika kuta huyo dogo akifanya mahojiano na professor pro Lumumba aiseee nimechokaaaa, kumbe polisi wanamjua huyo dogo ndo mana nilikua najiuliza huyo dogo mbona wamemtaiti ni nani huyo si wamwachie, kumbe serikali inajua huyo ni mtu hatari. He is so...
  11. JamiiForums Tanzania Unamjua Mika Chavala? Kijana ambaye bado anaeshikiliwa kwa kesi ya uhaini

    Tukizungumzia vijana wanaoshikiliwa kwa uhaini wengi wanalifahamu jina la binti strong Niffer. Lakini kuna huyu mwamba anaitwa Mika Chavala. Sikuwa namfahamu ila nilim-google baada ya kuona jina lake kwenye media ya kimataifa akitajwa. Nimekuta profile yake ni kijana hodari, jasiri, mbunifu...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dar: Washtakiwa 18 wa Uhaini Warudishwa Rumande

    Washtakiwa 18 wa makosa ya uhaini yaliyotokana na vurugu za Oktoba 29, 2025 wamerejeshwa rumande kusubiri tarehe iliyopangwa kurudi tena mahakamani hapo kuendelea na kesi hizo. Jumla ya washtakiwa 198 kati ya 216 waliofikishwa leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wameachiwa huru ambapo ndugu...
  13. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Arusha: Bubu ashtakiwa kwa makosa ya Uhaini

    Bubu huyo ni miongoni mwa washukiwa wa makosa ya uhaini waliopandishwa leo kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi. Yupo pia mwandishi wa habari wa Millard ayo aitwaye Thomas pamoja na watoto ambao ni chini ya umri wa miaka 18. Swali langu, bubu anawezaje kufanya uhaini? Swali la pili, Ikiwa...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu wa Katoliki: Hii ndio Tanzania mpya ya kazi na utu? Mnaofikiri kuua ndio kujibu maswali ya Watanzania, mnakosea

    Wakuu, Hapa Askofu alikuwa anaongea bila uoga tena na nadhani ujumbe wake utakuwa umefikia walengwa Hivi kama watawala hawataki hata kuwasikiliza viongozi wa dini wanataka wamsikilize nani? "Je hii ndio Tanzania mpya ya Kazi na Utu? Kanisa ikishindwa kuzungumza habari hizi imepoteza hadhi...
  15. JamiiForums Tanzania Maandamano yasiyo na ajenda ni Wizi na Uhaini. TEC, CCT BAKWATA, WALOKOLE na WASABATO wakemee

    Nimekaa na kutafakari kwa kina. Kumeibuka makundi ya vibaka na majambazi kutoka kona zote za Tanzania kutumia mwanya wa maandamano kuharibu na kufanya ujambazi. Maandamano yasiyo na ajenda, yasiyo na kiongozi ni kujaribu kutaka kuleta uasi bila sababu. Maandamano lazima yawe na ajenda na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Waliofuata Mkumbo na kupewa kesi ya Uhaini wamesamehewa, Waliokufa je?

    Kumbe mlijua kuna vijana wanafuata mkumbo kwanini muwapige risasi za kichwa na marungu? Ndio mnavyolea watoto wenu huko au watoto wa masikini ndio wakujifunzia kulenga shabaha? Nafikiri huu unaoitwa msamaha lengo lake ni kutaka kusamehewa na yeye. Umetengeneza tatizo halifu unjifanya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia atangaza msamaha kwa washtakiwa wa kesi ya uhaini, “hasa kwa walioingia kwa kufuata mkumbo“

    Rais Samia amesema kuna vijana ambao ulikuwa ukiwaangalia walikuwa wakionekana wakifuata mkumbo lakini hawakuwa wakielewa kile walichokuwa wanafanya. Hivyo ameagiza vyombo vya ulinzi vijana wote waliofanya makosa kwa kufuata mkumbo wafutiwe makosa yao. Rais Samia amenukuu mstari kutoka kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Njoo tuchat Kwa code ili kukwepa kesi za uhaini

    Kupewa kesi ya uhaini huko nchini Azabaijan ni jambo kawaida Wahuni wamekuwa wakidukua sms za kawaida na chatting za Whatsapp, Nawapa mbinu mpya za group letu Mfano maneno 9D Kutembelea Sister p 00001 77777p Mrembo p 3337j S pq6 j 37 TLTq81m 🔥 TK Yuf5d1 N K T 0 R V F y W A Tj 💣 M 3 k 7 😹 N...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, kuna sababu ya msingi ya kuendelea na kesi ya uhaini ya Tundu Lissu?

    Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu inahusu kuzuia Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 October 2025. Wote tumeshuhudia uchaguzi feki uliofanyika kwa kuwa na mahudhurio duni, vurugu zilizosababisha mauaji ya mamia ya wananchi kwa bunduki za polisi, kura feki kupigwa, mali za umma na watu binafsi kuharibiwa kwa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: CHADEMA imetoa mawakili nchi nzima kwa watu wote wenye kesi za uhaini, hakuna kurudi nyuma hadi ukombozi upatikane

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche amesema chama hicho kwa kitatoa mawakili kwa wote walioshtakiwa kesi za uhaini nchi nzima Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Novemba 12, 2025 baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…