ugumu

Üğümü is a neighbourhood in the Pasinler District of Erzurum Province in Turkey.

View More On Wikipedia.org
  1. Cecil J

    Matokeo ya kidato cha nne 2012: Turudie kutazama ugumu wa Elimu. Re-visiting the old grave

    Habari wanajukwaa! Nimeyaangalia matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012, aisee! Kwa wote waliofaulu mwaka huo nawapa heshima yenu. Nimeyaangalia matokeo ya mara ya kwanza (Original) na ya mara ya pili (Re-Scored), hivi shida ilikuwa ni nini iliyopelekea matokeo kurudiwa? Hii screenshoot ya...
  2. Melki Wamatukio

    Enyi wanawake. Hakuna mwanaume bahili, ni vile tu ugumu wa upatikanaji wa pesa unatofautiana. Tuoneeni huruma

    Jioni hii nikiwa hapa nje kibarazani, nawasikia wanawake hapo koridoni wanamteta mshkaji mmoja hivi mpangaji kuwa anapenda mbunye lakini ni mbahili. Jamaa ana mwezi wa tatu tokea aondoke kwenda kijijini kuhudumia ujauzito, cha ajabu wanamsema kwa kutumia wakati uliopo. Nimejiongeza tu nikajua...
  3. M

    LGE2024 CCM naomba tubadilike kwenye teuzi zetu kuanzia mashinani...

    Ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu...mwaka huu kumekuwa na ugumu sana kwenye haya mazoezi... Kwenye vitambulisho vya kura watu wameenda tu tokana kuaambiwa vitawasaidia kwenye shughuli nyingine km ID... Navuta picha kubwa nin kitatokea kwenye siku za kupiga kura. CCM naomba tubadilike...
  4. S

    Ugumu wa maisha ni jambo la kusadikika halipo kiuhalisia na sijawahi kuliona na halitatokea

    Kiuhalisia kabisa hakuna kitu kinachothibitisha UGUMU WA MAISHA! Hili ni jambo la kufikirika tu ambalo viumbe na wanadam waliamua kuyabatiza maisha! Binadamu kaumbwa na akapewa mazingira ayatawale! Sasa unaposema MAISHA Ni MAGUMU mimi huwa simuelewi Magumu kwa kuyalinganisha na yepi? Binadamu...
  5. G

    Lugha ni kitu kinachowanyima watanzania confidence ya kwenda majuu na wengi wanaofika wanapata ugumu kimawasiliano, kimbilio pekee huwa ni wakenya.

    Lugha ndio kikwazo kikuu chenye kuleta hofu kwa watanzania kutoka nje ya nchi, hata waliosomea english medium inabidi wakajipige msasa kwa kina ras simba kabla ya kuondoka ni kwasababu lugha haijakaa sawa licha ya kuitumia mashuleni tangu chekechea mpaka wanahitimu vyuo, LUGHA ! LUGHA ! LUGHA ...
  6. Gol D Roger

    Sina raha, wasiwasi wa maisha unanisumbua

    Nasumbuliwa sana na wasiwasi wa maisha, mwanzoni nilikuwa naona kawaida ila kwa hali yangu ya sasa naona it's too much. Ngoja niwaelezee kidogo jinsi ilivyo, mfano nikitoka kazini nikirudi home kupumzika, mawazo yananijia kuna vijana wenzangu bado hawajarudi ghetto bado wapo mtaani wanapambana...
  7. TUKANA UONE

    Ugumu wa Maisha nchini Marekani upo kwenye nini hasa?

    Ubaya Ubwela & Nyie Hamuogopi vimepita,tujikite kwenye mada kuntu! Kuna mshikaji wangu mmoja tulimaliza wote Sekondari na bahati nzuri hata chuo tukasoma wote,Mimi na yeye tulitokea Kuwa marafiki sana na hata hapo nyuma Kuna Uzi niliuweka hapa unaohusu maisha ya Ughaibuni nilimzungumzia! Baada...
  8. Kaka yake shetani

    Ugumu wa maisha umefanya MR nice kuwa freemasonry yeye na mwanzilishi wake

    kuna clip inaonyesha mr nice akiapishwa freemasonry na mwenzake alafu cha kushangaza soski za mikono wamepeana mmoja kabaki na kulia mwengine kabaki na ya kushoto. Mfuko wa wastaafu uboreshwe kusaidia huyu mwenye nyimbo za zamani kuku kapanda baiskeli.
  9. Gilbert Prudence

    Ugumu wa ajira Kwa wanafunzi wa SUA

    Me nilikuwa na wazo kuhusu pass mark kwa vyuo vikuu Kwa mfano pass mark ya SUA ni 50+ambayo ni 40-49D 50-59 ni C 60-64 B 65-69B+ 70-100A Hii inawapa wakati mgumu vijana kwenye ajira Kwa mfano mtu mwenye G.P.A ya 3.5 SUA vyuo vingine anakuwa na G.P.A ya 4.3. Kwahyo kwenye qualifications za...
  10. HONEST HATIBU

    Usibebe Mzigo Peke Yako

    Usibebe Mzigo Peke Yako 1. Usihifadhi hisia zako mbaya moyoni bila kushirikisha mtu. 2. Tafuta msaada unapohisi kuzidiwa na matatizo. 3. Ongea na marafiki au familia unapokutana na changamoto kubwa. Ukweli ni kwamba... 1. Kunyamaza na kubeba mzigo peke yako kunaweza kuathiri afya yako ya...
  11. Nyafwili

    Vyeti vya Elimu ngazi ya chuo Vitofautishwe Sababu za Kurudia Mwaka na Kuahirisha Masomo, Itasaidia kujua yupi ni kilaza au alipitia ugumu wa kimaisha

    Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hili bandiko sijagusa Maisha ya mtu/watu. Lakini Kwa njia hii, vyeti vya wanachuo vitoe picha kamili na sahihi kuhusu sababu za muda mrefu wa masomo yao, hii itasaidia kuepusha mkanganyiko kuhusu uwezo wao wa kitaaluma na changamoto...
  12. Chatterman

    Ugumu wa maisha ya mtaani ukilinganisha na maisha ya Chuo

    Kama ikitokea siku mtu akakuhitaji umuweke bayana kati ya Life la Chuo na la Kitaa ni lipi lina songombingo nyingi basi vuta pumzi kisha mwambieee 'hakuna Embe litakaloweza kuota kwenye Mnanasi na hakuna Nanasi litakaloota kwenye tawi la Muembe' Hali kadhalika ukiwachukua watu wawili. Mmoja awe...
  13. Ofisho mlinzi

    Unafuu wa maisha na ugumu wa maisha ya Mtanzania huletwa na yeye mwenyewe

    Awali ya yote niwasalimu ndugu na wadau wa jamii forum ,pili nikushukuru wewe unaelisoma andiko hili tatu na mwisho nikuombe wewe ikiwa unaguswa na haya basi tumia nafasi ulio nayo bila kupima udogo ama ukubwa wake kuisaidia jamii yetu ipate kuwa na ufahamu amabao utasadia miongoni mwa wengi...
  14. K

    Ugumu wa maisha ndiyo utakuja kuiangusha CCM

    Wananchi wanateseka sana kwa ugumu wa maisha na kila kukicha afadhali ya jana. Bei ya bidhaa, vifaa vya ujenzi, mafuta kila kukicha unakuta bei ya jana siyo ya leo. Leo nimesoma kuwa bei ya mafuta kwa mwezi huu wa Aprili imepanda tena. Kama jirani zetu hapa Kenya, Zambia bei ya mafuta kwao ni...
  15. proton pump

    Yule mwanamke mzuri aliyeumbika, nyumba, gari, mashamba na biashara unayo kama ulivyopanga?

    Maisha mengi tuliyonayo yalianza kama picha inayojengeka akilini. Hakuna mwanadamu asiyependa vitu vizuri. Ushindani na matamanio ya mwanadamu yanazua mambo mengi. Pale unajaribu hili na lile ili kupata vizuri halafu ukavikosa ndipo akili inapoanza kuchanganyikiwa. Zipo nyuzi nyingi za...
  16. R

    Kwanini Chawa wengi siku hizi wanakula mihogo Coco Beach? Ni ugumu wa maisha au mihogo inaongeza uwezo wakujipendekeza?

    Wasanii wengi wasio na fruiful content wanakesha Coco beach kula mihogo. Akaunti zao utazitambua kwa picha na clips za kusifia hata pasipohitaji kusifia. Naamini mmiliki wa Chimbo la mihogo hana uwezo wa kiuchumi kuwalipa wasanii hawa kwa wingi wao. Ni aidha wanatumia jina lake kujibrand au...
  17. comte

    Maandamano ya kupinga ugumu wa maisha yanapozuia watu kujipatia riziki na kufanya maisha kuwa magumu zaidi

    Uhuru wa kuandamana ni stahiki ya kikatiba kama stahiki ya kwenda kokote na kufanya kazi. Maandamano ya CHADEMA yanapaswa yaandaliwe vyema. Mfano Mwanza ina njia kuu tatu- barabara ya Nyerere ambako walianzaia Igoma, barabara ya Kenyatta- ambako walianzia Buhongwa, na barabara ya Makongoro...
  18. Erythrocyte

    Chadema yatembelea masoko ya Mwanza ili kujionea ugumu wa maisha kwa vitendo. Hali ni mbaya mno

    Huyu ni Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Victoria Wenje, akijionea hali halisi ya Ufukara wa Watanzania masokoni jijini Mwanza.
  19. B

    Bora Fisadi Aliyeleta Unafuu wa Maisha kwa Watu Kuliko Mwadilifu Ambaye Kila Siku Watu Wanalia Ugumu wa Maisha.

    Enzi hizo zinazodaiwa za ufisadi: -maisha yalikuwa rahisi -hakukuwa na mfumko wa bei -dola zilikuwepo za kutosha tena kwa bei inayojulikana -watu wengi walijenga -ajira zilikuwepo za kutosha -miundombinu mingi ilijengwa zikiwemo barabara tena kwa kiwango cha lami -shule nyingi za kata zilijengwa...
  20. Elon J

    Wagoma kujiunga form one kisa ugumu wa ajira

    Baadhi ya wanafunzi waliotakiwa kujiunga na kidato cha kwanza katika maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa wamegoma kuripoti shuleni kwa kigezo kuwa wenzao waliomaliza kidato cha nne, sita na chuo kikuu wapo mitaani bila ajira. Wanafunzi hao wamesema hali hiyo imewakatisha tamaa ya kuendelea na...
Back
Top Bottom