ugonjwa

  1. JamiiForums Tanzania Tanzania wakiona mtu anaongea sana kwenye mikutano wanaona kama ni kiongozi bora, ndugu zangu kuongea sana siyo akili ni uchaa baridi

    Uongozi ni busara na hekima, ni kupanga na kuongoza, uongozi ni ulezi (guiding) uongozi ni taswira ya sehemu unayoiongoza. Uongozi ni ku-control hisia, uongozi ni utulivu wa mwili na akili, uongozi ni kuongea kidogo vitendo vingi. Nchini Kuna taasisi kibao zimepoteza direction sababu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani na unatibiwa vipi/na dawa gani?

    Habari za muda huu madaktari.... Nina ng'ombe 2 zinaumwa, ila sijui nini tatizo. Wa kwanza jike. Dalili alizonazo ni kutoshiba vizuri(tumbo halijai), ila anakula kuanzia asubuhi(saa 3 au saa 4) mpaka jioni. Na pia, akiwa porini anapenda kulala au kusimama sehemu kwa muda mrefu(nikama...
  3. JamiiForums Tanzania DVT ndio Ugonjwa uliosababisha Kifo cha Denis Busulwa "Ssebo"

    Uchunguzi wa madaktari umeonyesha kuwa marehemu Denis Busulwa (Ssebo), aliyekuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Biashara wa EFM na TVE, alifariki dunia kutokana na ugonjwa wa Deep Vein Thrombosis (DVT) au kwa Kiswahili "Kuganda kwa Damu katika Mishipa ya Ndani." mara nyingi kuanzia Miguuni. DVT...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi kuishi na mwanamke imekuwa kama ugonjwa wa kansa kwetu wanaume

    Kutokana na mambo mengi ambayo yanatokea duniani kuhusu wanawake Mda mwingine hivi vitabu vya dini tunavitukana lakini ukichunguza vizuri vilikuwa vina haki ya kuwanyima uhuru hawa viumbe na hata mababu zetu walivyokuwa wana watenga yaani kuwashusha kabisa thamani yao walikuwa wana haki...
  5. JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa kuna idadi kubwa ya wagonjwa wa sickle cell,Asthma na ugonjwa wa virusi vya ukimwi

    Ukifuatilia vyanzo vingi sana vya utafiti not about vyanzo mimi pia ni shahidi kwasababu mimi nimefanya kazi kanda ya ziwa nimekuja kugundua kanda ya ziwa hasa hasa mikoa ya shinyanga,Mwanza,Geita na Tabora japo Tabora si kanda ya ziwa ila kuna idadi kubwa ya wasukuma magonjwa kama asthma na...
  6. JamiiForums Tanzania HOMA YA NGURUWE, UGONJWA HATARI USIO NA CHANJO WALA TIBA 🙌🥺

    Hivi karibuni Rubaba Media tumepokea simu na ujumbe mwingi kutoka kwa wafugaji wa nguruwe maeneo mbalimbali nchini. Changamoto kubwa inayojirudia ni vifo vya nguruwe kutokea kwa makundi, hali ambayo imeleta hofu na hasara kubwa kwa wafugaji wengi. Wapo wafugaji wanaohusisha vifo hivyo moja kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa pumbu erosion

    Haya maradhi yalitutesa mno kipindi tunasoma secondary Hadi Leo sijui ulitokana na Nini? Huo muwasho wake hata kaswende na U T I Sugu hazifiku hata nusu 😃
  8. A

    JamiiForums Tanzania Moyo unaniuma sana, nahisi nitapata ugonjwa wa moyo. Nimekata tamaa ya maisha, natamani Mungu anichukue

    Nimeona nishiriki nanyi ninavyojisikia, Napitia maumivu sana moyoni, hadi sasa nahisi kama naelekea kwenye dalili za ugonjwa wa moyo! Ipo hivi, nimekata tamaa ya maisha yangu, namuomba Mungu anichukue tuu, labda nitapata nafuu. Maisha yameniumiza mno.😞 ILANI: Sijataka kutumia ID yangu hapa...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo la magonjwa ya akili duniani limekuwa kubwa sana. Dalili moja ya ugonjwa wa akili ni kutaka kusikia shari kila muda.

    Mtu mwenye matatizo ya akili akisikia mahali kuna ajari anapata furaha moyoni. Akisikia wamekufa wachache au hakuna maiti kwenye ajari hiyo basi moyo wake hupoteza furaha. Akisikia Iran kuna vita anapata raha sana. Mostly ya watu ambao wanajifanya kuchukizwa na mauaji ya October 29 -31 moyoni...
  10. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere hakuona kazi kujiuzulu

    1. Mwaka 1955 alijiuzulu ualimu Pugu sekondari baada ya kuambiwa achague siasa au ualimu 2. Kama mwaka 1958 hivi alijiuzulu ubunge baada ya kuona hamna anachofanya, mapendekezo yake yote yanatupiliwa mbali. 3. Mwaka 1962 alijiuzulu uwaziri mkuu 4. Akamaliza na kujiuzulu/kung'atuka urais. Au...
  11. JamiiForums Tanzania Kama ugonjwa wa UKIMWI unapatikana kwa kujamiiana. Mtu wa kwanza kuupata aliupataje?

    Kuna vitu vinafikirisha sana . Yaani kama ugonjwa wa ukimwi uligundulika kwa kujaamiana je !mtu wa kwanza kuupata/aliupataje?
  12. JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa wa Homa ya Ini na athari zake

    HOMA ya ini ni ugonjwa unaoelezewa kuwa ni kuvimba kwa ini. Ini ni kiungo katika mwili wa binadamu kinachofanya kazi muhimu sana kama kuchuja, kupambana na hata kuondoa sumu mwilini. Kuna vitu vingi vinavyoweza kusababisha homa ya ini lakini katika makala hii tutaongelea kuhusu homa ya ini...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi nina chembechembe za ugonjwa wa akili toka nazaliwa

    Natumaini upo vizuri Mimi kijana wa miaka 29 sasa Nina mke na watoto watatu,,katika kipindi Cha nyuma mwaka 2019 nilipatwa na matatizo ya afya ya akili sababu ilikuwa kutokana na msongo wa mawazo na nahisi kulikuwa na chembe za tatizo la akili toka nazaliwa ila sikujua mpaka nilivyotumia bangi...
  14. JamiiForums Tanzania Ugonjwa Wowote? Hii Mchanganyiko Asilia Inaweza Kukusaidia

    Ugonjwa Wowote? Hii Mchanganyiko Asilia Inaweza Kukusaidia Asali na mdalasini ni zawadi kutoka kwa Mungu ambazo zimekuwa zikitumika kwa maelfu ya miaka kutibu maradhi mbalimbali. Mchanganyiko huu wa asili una uwezo wa kupambana na bakteria, kuimarisha kinga ya mwili, na hata kuzuia magonjwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani wa mtu kupenda kubaki uchi hadi kafukuzwa aende kusimamia nyumba ya kupanga ?

    Anapenda sana kuwa uchi anapojihisi yupo peke yake, Ni mtu mzima yupo kwenye 40 Ukienda kwake lazima upige simu mara nne hadi tano kumwambia ujio wako lengo likiwa asijisahau mumkute yupo uchi. Ukienda chumbani kwake lazima ukohoe au kuzima taa na kuwasha ili ajue kuna mtu anakuja Alikuwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Empox

    Tafadhari wapwa tiba ya fasta ya ugonjwa wa Empox ni ipi..je kuna sindano au tiba mbadala ya kuponyesha fasta hivi vipele vyake.
  17. JamiiForums Tanzania Hivi mtu (mimi) kuongea pekee yangu ni ugonjwa au? Kuna mwingine humu ana sumbuliwa na self talk?

    Mfano umekosa zako unaongea pekee ako.Kuna kipindi unajisahau na kuanza kuongea kwa sauti .Watu wanakushangaa! Unajizuia sana lakini wapi.Ukitembea unaongea pekee yako automatically. Inasumbua sana na kuniaibisha.Nimejaribu deep breath technique lakini wapi haisaidii. Sasa je hii ni kawaida...
  18. JamiiForums Tanzania Tukubali tukatae, kutoshiriki mapenzi ni chanzo kikubwa Cha ugonjwa wa Afya akili

    Wagonjwa wengi wa maradhi ya Afya ya akili chanzo kikubwa kinaletwa na kutoshiriki tendo la ndoa kwa walio na umri wa kufanya ilo tendo. Wenye maradhi haya wengi ni wale WALIOKUWA wanandoa au walikuwa kwenye mahusiano lakini Sasa yamevunjika ghafla. Tukubaliane waanga wengi ni wao Muhimbili...
  19. JamiiForums Tanzania Akutwa na ndoo za kinyesi na mikojo ndani. hivi hili ni tatizo ugonjwa wa akili?

    Mtu kujisaidia ktk NDOO haja kubwa na kuihifadhi kwenye NDOO na kuishi nayo chumbani mwako kwa kipindi cha miezi sita ni ajabu. Inawezekana huyu mtu Pua zake na macho yake havifanyi kazi ipasavyo kama watu wengine? Naomba wataalamu wa afya za akili za binadamu mnisaidie kuelewa Jambo hili...
  20. JamiiForums Tanzania Nimepona tena baada ya kuweka mkono na kukemea ugonjwa!

    Kama kawa, nimekuwa nikiwaletea habari za kweli kabisa, bila kuchanganya hata tone la uongo. Leo tena napenda kuwahabarisha kuwa jana, ghafla tu, nilipata maumivu makali sana katika sikio langu la kushoto. Ni maumivu makali yaliyoenea mpaka upande wa juu wa kichwa changu. Kama hiyo haitoshi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…