Mtu mwenye matatizo ya akili akisikia mahali kuna ajari anapata furaha moyoni. Akisikia wamekufa wachache au hakuna maiti kwenye ajari hiyo basi moyo wake hupoteza furaha.
Akisikia Iran kuna vita anapata raha sana.
Mostly ya watu ambao wanajifanya kuchukizwa na mauaji ya October 29 -31 moyoni...
Unawezaje kumwambia Rais wa nchi nyingine sababu amewalipua kwa mabomu MAGAIDI kwenye nchi nyingine halafu umuombe msaada kwa mana ya kwamba naye arushe mabomu nchini kwetu
Hawa watu ni wazima kweli? Mnaweza kudhania mna deal na watu kumbe tayari ni mazombi ama wamewehuka...
Watu na familia...
Wakuu Hali ni mbaya ..naona wagonjwa wanakua wengi...ukiacha wale wakuu kabisa akina mange Kimambi, maria, sativa, Larry madowo, hilda newton and others kuna Sasa watanzania asilimia kubwa wameambukizwa
Unasoma comments Hadi unashangaa, mtu anafurahia nchi yake kuwekewa vikwazo, mtu anafurahia...
Habari zenu wakuu,
samahani,
Nina shida Moja hivi ambayo nimeshindwa kumpata mtaalam husika, hivyo nimeona Bora niilete kwenu ndugu zangu eidha mnipe muongozo au mniunganishe na mtaalam husika Kwa msaada zaidi.
Nina tatizo nahisi katika mfumo wangu wa Faham kama sikosei, au ugonjwa wa akili...
Natumaini upo vizuri Mimi kijana wa miaka 29 sasa Nina mke na watoto watatu,,katika kipindi Cha nyuma mwaka 2019 nilipatwa na matatizo ya afya ya akili sababu ilikuwa kutokana na msongo wa mawazo na nahisi kulikuwa na chembe za tatizo la akili toka nazaliwa ila sikujua mpaka nilivyotumia bangi...
Mtu kujisaidia ktk NDOO haja kubwa na kuihifadhi kwenye NDOO na kuishi nayo chumbani mwako kwa kipindi cha miezi sita ni ajabu.
Inawezekana huyu mtu Pua zake na macho yake havifanyi kazi ipasavyo kama watu wengine?
Naomba wataalamu wa afya za akili za binadamu mnisaidie kuelewa Jambo hili...
Ni Ugonjwa wa akili ambapo mtu anaiga kuwa ana maisha mazuri au ana mali wakati kiuhalisia hana.. unajulikana kama Delusion of Grandeur.
Delusion of Grandeur ni aina ya ugonjwa wa akili (kama vile schizophrenia au bipolar disorder) ambapo mtu anaamini kuwa ana sifa za Hali ya juu, mali nyingi...
Tarehe 26-May ni siku ambayo Wayahudi wanasherekea kuukomboa mji wa Yerusalem Mashariki ya kati, Wale wayahudi wenye itikadi kali hutumia siku hii kupita katika Nyumba, maduka ya Waarabu na kuwadhihaki na kuwafanyia fujo.
Tazama video na Picha hapo chini...
Tunakubali na kuruhusu mawazo ya watu wachache wagonjwa kuleta tafarani kwenye hoja za msingi kwa ajili ya wengi.
Hakuna kipindi bora cha maisha kama kipindi hiki lakini hakuna kipindi chenye upuuzi kama kupindi hiki. Tunaishi kwenye dunia ambayo mtu anayezungumza pumba anaonekana mwenye akili...
Wakuu habari .
Nilileta Uzi kuomba ushauri na namna sahihi ya kumsaidia mke Wangu ambaye alionekana kuwa na shida ya Akili yeye Pamoja na binti yetu.
Watu walishauri nimpeleke kwenye maombi. Nilifanikiwa kutafuta watumishi wa kiroho na kumuombea sana.
Kiukweli hakuna nafuu iliyopatikana mpaka...
Ni ugonjwa ambào mtu anakuwa na hisia za Ubinafsi ndani yake, Aina hii ya ugonjwa mtu anakuwa na uhitaji mkubwa wa kusifiwa na kupongezwa katika kile anachokifanya..
Mtu mwenye ugonjwa huu huwa na hisia zilizokithiri za kujiona kuwa yeye ndio wa muhimu hivyo huhitaji kupewa umakini. Watu wenye...
Washitakiwa tisa (9) wanaotuhumiwa kuhusuka na mauaji ya kikatili ya mtoto mwenye ualbino Marehemu Noela Asimwe Novat aliyekuwa na umri wa miaka miwili na nusu mkazi wa kata ya kamachumu ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera wamefikishwa mbele ya jaji wa mahakamani kuu ya Tanzania kwa ajili ya...
Astaghafilullhah... Hawa Wachina wana akili kweli? Wanajielewa? Mbona wana ongea kwa kujiamini hivi? Wanazijua haki za binadamu kweli? Kama wasingekuwa wameandika hivi Al Jazeera nisingeamini kabisa. Laaana kum.
===============
Abdulla* goes to bed every night dreading that knock on the door...
Tabia za kidikteta zimeanza kuwaingia viongozi wanaovaa ngozi za kondoo kumbe mioyo yao imejaa uroho wa madaraka na upunguani wa akili.
Watanzania hawakuzoea kusikia au kupitia huu upumbavu unaoendelea haya mambo aliyafanya Iddi Amin Dada miaka ya 70 kipindi anatawala Uganda kimabavu sasa Dunia...
Wanaume hatujaumbwa hivyo. Mwili wa binadamu umetengenezwa kitaalamu Sana. Kila kitu kinakuwa controlled au regulated na Ubongo
Ubongo ndo kila kitu. Kwenye ubongo kukiwa na matatizo, madhara yanaonekana kwenye viungo vya mwili.
Ukosefu wa baadhi ya madini kama magnesium, zinc, calcium...
Miaka kadhaa nyuma nilipata kuishi kwenye familia ya rafiki yangu mkazi wa Dar es salaam. Rafiki yangu huyo kwa miaka yote toka tumefahamiana alikua amenieleza ana dada yake mkubwa (kwa sasa ana miaka 40+ dada yake) mwenye matatizo ya akili. Sikua nimewahi kumuona mpaka nilipoishi kwa wiki nzima...
Serikali ya Peru imetangaza kupitisha Sheria kuwa Watu waliobadili jinsia kuwa wana changamoto ya Ugonjwa wa Akili na kuwa wanastahiki Huduma za Afya ya Akili.
Shirika la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Rights Watch (HRW) limekosoa uamuzi huo wa Serikali na kueleza kuwa haioni kama watu...
Nimebata vibarango naona vinanirudia rudia nimeambiwa labda viko ndan bora itafute dawa ya kunywa ndo vitaisha
Sasa ni dawa gani yenye uhakika kwa ambao mmeshatumia
Umewahi kuwaza hawa watu wana ugonjwa gani??
Umeshawahi kujua wengi wanaonunua wana ugonjwa wa kuangalia Porto
I Jamaa ananunua mzigo..jmosi ananunua mzigoooo jpili anashindaa sikunzima anaangalia Porto
Hawa huwa wanajua kabisa mabinti wanataka maokoto so huwa wanajipanga kipesa na pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.