ugonjwa wa akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Peru yapitisha Sheria kuwa Watu waliobadili jinsia wana Ugonjwa wa Akili

    Serikali ya Peru imetangaza kupitisha Sheria kuwa Watu waliobadili jinsia kuwa wana changamoto ya Ugonjwa wa Akili na kuwa wanastahiki Huduma za Afya ya Akili. Shirika la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Rights Watch (HRW) limekosoa uamuzi huo wa Serikali na kueleza kuwa haioni kama watu...
  2. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Ni dawa gani ya fangas ya kunywa yakuondoa mautango utango mwilini?

    Nimebata vibarango naona vinanirudia rudia nimeambiwa labda viko ndan bora itafute dawa ya kunywa ndo vitaisha Sasa ni dawa gani yenye uhakika kwa ambao mmeshatumia
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wanaohonga na kunuunua wanawake wana ugonjwa wa akili ama wanajizima data?

    Umewahi kuwaza hawa watu wana ugonjwa gani?? Umeshawahi kujua wengi wanaonunua wana ugonjwa wa kuangalia Porto I Jamaa ananunua mzigo..jmosi ananunua mzigoooo jpili anashindaa sikunzima anaangalia Porto Hawa huwa wanajua kabisa mabinti wanataka maokoto so huwa wanajipanga kipesa na pale...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa akili kwenye ndoa

    Short story: this is experience nimepata recently, Kijana kaoa familia ambayo mama wa mwanamke ana matatizo ya akili. ndoa ilikuwa fresh sana amna shida. shida ilikuja wamepata watoto wa 3, 2 wana shida ya akili. Wanapata convulsion (fit, degedege) za kutosha. wamefanya everything. sasa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio NEMC, uchafu wa Mazingira ni ugonjwa wa akili unaotakiwa utibike Kisaikolojia. Hata baadhi ya Viongozi wanaumwa

    Chimbuko la kelele lipo kiimani na kisaikolojia. Nashauri NEMC Pelekeni hoja Wizara ya Elimu ili watakapoboresha mitaala yao, somo la Sayansi kimu lifundishe kwa kina madhara ya uchafuzi wa mazingira ikiwemo kelele. Tukumbuke kwamba baadhi ya viongozi wanaumwa huu ugonjwa wa kisaikolojia na...
  6. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Obsessive Compulsive Disorder: Ugonjwa wa Akili unaomfanya mtu, kujihami, kuzingatia au kuhakiki mambo/vitu mara kwa mara

    Obsessive Compulsive Disorder (OCD) ni Ugonjwa unaomfanya Mtu kuwa na Hofu au Wasiwasi kila mara pamoja na kupatwa na Huzuni kwa muda mrefu. Mtu mwenye tatizo hili huwa na tabia za kurudiarudia vitu. Dalili za Mtu mwenye OCD ni kuwa na mawazo ya kuogopa, kuhofia au kuhisi una ugonjwa fulani...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kutunza vitu vya zamani au chakavu ndani ni Ugonjwa wa Akili?

    Kitaalamu tatizo hili hufahamika kama Ugonjwa wa Kuhodhi (Hoarding Disorder) ambao ni hali ya #AfyayaAkili ya kuhitaji sana kuhifadhi idadi kubwa ya vitu hata visivyo na thamani yoyote na kupata shida wakati wa kuviondoa. Mtu mwenye Ugonjwa huu hutunza vitu kama Magazeti ya zamani, Bidhaa za...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa akili tishio nchini, wagonjwa 30-70 wanapokelewa Mirembe kila siku

    Tukielekea siku ya afya ya akili duniani ambayo huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka, hospitali ya watu wenye ugonjwa wa akili, Mirembe imetoa takwimu ya wagonjwa inayowapokea kwa siku. Mirembe inapokea wagonjwa 30 mpaka 70 kila siku. Inawezekana visa vingi vya mauaji/kujiua vinayotokana na...
  9. Sagira

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tuimarishe mapambano dhidi ya ugonjwa wa akili nchini Tanzania

    Unajiona sio mtu mwenye umuhimu tena kwenye haya maisha na hujui nini kimekukuta au wapi ulipokosea, unatamani kulia sana na upate mtu wa kumweleza unayoyapitia, umeamua kuwa mtu wa liwalo na liwe, sikia nafahamu maumivu uliyokuwa nayo unahisi watu hawajali kuhusu unayopitia siyo kweli fahamu...
  10. Patandi

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Matibabu ya mgonjwa wa akili

    Wakuu heshima kwenu. Naomba msaada wenu kuhusu matibabu sahihi ya ugonjwa wa akili na mahali yanapopatikana. Nina ndugu yangu alianza kusumbuliwa na ugonjwa huu tangu akiwa mdogo. Baada ya kutibiwa huku kijijini bila mafanikio alipelekwa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi. Pale Muhimbili alifanyiwa...
  11. kwisha

    JamiiForums Tanzania Hivi dawa za akili zipo kweli?

    Ndugu zangu nataka kuuliza kitu Hivi dawa za akili zipo kweli? Ilikuwa mwaka 2015 kuna rafiki yangu fulani alichukuwa kitabu cha baba yake cha madawa tukawa tuna soma kitabu icho kwa bahati nzuri tukaona dawa ya akili ambayo vitu vyake vilikuwa raisi kupata. Mimi kwa kupenda kwangu kujaribu...
Back
Top Bottom