uganda

Uganda, officially the Republic of Uganda, is a landlocked country in East Africa. It is bordered to the east by Kenya, to the north by South Sudan, to the west by the Democratic Republic of the Congo, to the south-west by Rwanda, and to the south by Tanzania.

The southern part includes a substantial portion of Lake Victoria, shared with Kenya and Tanzania. Uganda is in the African Great Lakes region, lies within the Nile basin, and has a varied equatorial climate. As of 2024, it has a population of nearly 46 million, of which 8.5 million live in the capital and largest city, Kampala.

Uganda is named after the Buganda kingdom, which encompasses a large portion of the south, including Kampala, and whose language, Luganda, is widely spoken; the official language is English. The region was populated by various ethnic groups before the Bantu and Nilotic groups arrived around 3,000 years ago.

These groups established influential kingdoms such as the Empire of Kitara. The arrival of Arab traders in the 1830s and British explorers in the late 19th century marked the beginning of foreign influence. The British established the Protectorate of Uganda in 1894, setting the stage for future political dynamics.

Uganda gained independence in 1962, with Milton Obote as the first prime minister. The 1966 Mengo Crisis marked a significant conflict between the Buganda Kingdom and the country's conversion from a parliamentary system to a presidential system. Idi Amin's military coup in 1971 led to a brutal regime characterized by mass killings and economic decline, until his overthrow in 1979.

Yoweri Museveni's National Resistance Movement (NRM) took power in 1986 after a six-year guerrilla war. This led to stability and economic growth, but authoritarian practices and human rights abuses continued. The abolition of presidential term limits, allegations of electoral fraud and repression, have raised concerns about Uganda's democratic future.

Museveni was elected president in the 2011, 2016, 2021, and 2026 general elections.

Human rights issues, corruption, and regional conflicts, such as involvement in the Congo Wars and the struggle against the Lord's Resistance Army (LRA), continue to challenge Uganda.

Despite this, it has made progress in education and health, improving literacy and reducing HIV infection, though challenges in maternal health and gender inequality persist. The country's future depends on addressing governance and human rights, while leveraging its natural and human resources for sustainable development.

Geographically, Uganda is diverse, with volcanic hills, mountains, and lakes, including Lake Victoria, the world's second-largest freshwater lake. The country has significant natural resources, including fertile agricultural land and untapped oil reserves, contributing to its economic development.

The service sector dominates the economy, surpassing agriculture. Uganda's rich biodiversity, with national parks and wildlife reserves, attracts tourism, a vital sector for the economy.

Uganda is a member of the United Nations, the African Union, G77, the East African Community, and the Organisation of Islamic Cooperation.

View More On Wikipedia.org
  1. IAfrika

    History not taught in schools: The fall of the EAC in 1977 and why Kenya & Tanzania have unending beef

    "The East African Community is as dead as a dodo", Kenya's Minister for Power and Communications, Isaac Omolo Okero, informed Parliament. This was in June of 1977. At the time, relations between Community member-states, viz. Tanzania, Uganda and Kenya were - thanks to mistrust and bitter...
  2. Tabutupu

    Tanzania has what it takes to be ‘African economic giant'

    East Africa’s sleeping giant is finally awakening. Right in the middle of the global Corona virus pandemic, Tanzania has provided a rare piece of good news — on 1 July 2020, the country achieved its middle-income vision five years ahead of schedule. As a coastal economy bordering eight...
  3. B

    Kama vile Tanzania, Uganda nayo inaelekea kuishinda Corona

    Ama kweli mchele ni mmoja mengine ni mambo ya mapishi tu. Kama ilivyokuwa kwetu, mganda naye anaelekea tuliko fika: yaani a Corona free country: COVID-19: Victory in Uganda as the Country Records Low Cases in 24 Hours, Zero Deaths - Opera News Official Mchele mmoja mapishi mengi! Ajabu ni...
  4. Analogia Malenga

    Uganda Bodaboda waishitaki Serikali kwa kuwazuia kuendelea na biashara

    Chama Cha waendesha bodaboda, NFPC wameishtaki serikali ya Uganda kwa kuwa na ubaguzi kwenye kuruhusu usafiri wa umma kuendelea kufungia waendesha bodaboda kuteweza kuendelea na biashara yao Kesi hiyo ilifunguliwa katika Mahakama Kuu ya Kampala. Waongozaji wa suala hilo wamesema kuwazuia...
  5. Influenza

    Raia wa nchi 11 kutoka Afrika mbioni kuruhusiwa kuingia nchi wanachama wa EU kuanzia Julai baada ya nchi hizo kufungua mipaka

    Kwa mujibu wa Euronews orodha ya awali inaonesha raia wa nchi za Mozambique, Angola, Namibia, Ethiopia, Zambia, Rwanda, Uganda, Misri, Tunisia, Algeria na Morocco wataruhusiwa kuingia nchi za Umoja wa Ulaya (EU) Inaelezwa huku Ulaya ikiwa inajiandaa kufungua mipaka, Maafisa wa nchi hizo...
  6. TODAYS

    EU yaizuia Tanzania na yaziruhusu Rwanda na Uganda kuingia kwao

    Umoja wa Ulaya umetoa taarifa kwa mataifa kadhaa ambayo raia wake wanaweza kupata Visa kuingia nchi Wanachama wa umoja huo huku zitizuia raia wa baadhi ya mataifa ikiwepo Tanzania kutoruhusu raia wake kupata Visa. Hayo yamejiri kutokana na hatua stahiki zinazochukuliwa na mataifa hayo dhidi ya...
  7. beth

    Visa vya Corona nchini Uganda vyaongezeka hadi 889

    Wizara ya Afya imethibitisha visa vipya 19 vya CoronaVirus baada ya kupima sampuli 2,170 na maambukizi ya nchi hiyo yamefikia 889. Katika visa vilivyotangazwa leo, 11 walisafiri kutoka Afghanistan na walikuwa karantini wakati wanafanyiwa vipimo. 7 ni watu waliokuwa karibu na wagonjwa wa...
  8. Tz boy 4tino

    Uganda yaingiza dola billion 1.3 kutokana na mauzo ya dhahabu

    Nchi ya Uganda imeingiza kiasi cha dola bilioni 1.3 kutokana na uwepo wa kampuni ya kuchakua dhahabu dhahabu ya “Africa Gold Refinery”. Kiasi hicho kinaifanya Uganda kuwa miongoni mwa nchi za Afrika zenye mapato makubwa yatokanayo na mauzo ya dhahabu. Kampuni ya Africa Gold Refinery ina makazi...
  9. Mzukulu

    Kwanini majirani zetu na Washirika (Kenya, Uganda na Rwanda) COVID-19 inazidi tu kuwatesa lakini Tanzania wala hatuna habari nayo?

    Je, 1. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana duniani kuliko nyinginezo? 2. Tanzania ina Raia ambao wana Kinga za Mwili Kali sana? 3. Kenya, Uganda na Rwanda hakuna CORONA kihivyo ila wanazidisha tu Idadi 24/7 ili wapate Pesa za IMF na WB? 4. Ile Sindano ya NDUI tuliyoipiga miaka ya 80 wakati wana...
  10. Influenza

    Uganda yatangaza ongezeko la Wagonjwa 23 wa Corona. Watanzania 2 na Wakenya 8 warudishwa nchini mwao

    Wizara ya Afya nchini humo imesema kuna ongezeko la Wagonjwa 23 baada ya sampuli 2,219 kupimwa jana na kufanya jumla ya Wagonjwa kufikia 797. Wagonjwa wapya wote ni Waganda Katika ya Wagonjwa wapya, watano ni miongoni mwa sampuli 1,308 zilizopimwa katika maeneo ya mpakani na 18 ni miongoni mwa...
  11. Jidu La Mabambasi

    Fathers Day: Uganda waonyesha njia-watoto wachanga wapimwe DNA

    Wanaume kwa kweli tuna bambikwa watoto ambao wanazaliwa na wake zetu. Bibie kapachikwa mimba huko nje na mchepuko wake mara ghafla mwanauwe unapewa malavi davi ya kufa mtu. Huko Uganda wanaume nawapongeza, wamesituka. Wametoa azimio ala watoto wote wanaozaliwa wapimwe DNA ili kujua kama kweli...
  12. MK254

    Tanzania yasalimu amri kwa Uganda pia, kila dereva lazima apimwe, hamna kucheka cheka

    Duh! Kumbe Watanzania walikua wamenunia na Waganda pia, hawa wenzetu diplomasia imewashinda, sasa ni mwendo wa full migogoro na majirani wote. Hii ni baada ya Tanzania kusalimu amri kwa Kenya na kukubali madereva wake kupimwa na Wakenya, sasa imetangazwa hata kwa Uganda mwendo ndio huo huo...
  13. Cannabis

    Rais Museveni akiri makosa ya majibu ya vipimo vya ugonjwa wa COVID-19

    Rais Museveni amesema baadhi ya majibu ya vipimo vya COVID-19 yalisemwa watu wanaumwa ingawa hawakuwa na ugonjwa huo. Rais amesema makosa hayo yametokana na uzembe katika maabara ya Chuo Kikuu cha Makerere. Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti visa 679 vya ugonjwa wa COVID-19 na ikiwa na vifo 0...
  14. Trubarg

    SGR Kenya yakalia kuti kavu: Wafanyabiashara Uganda wakataa kulazimishwa kutumia Naivasha ICD

    Wakati serikali ya kenya wakitoa waraka wakutaka matumizi ya ICD ya Naivasha yawe lazima kwa mizigo inayoelekea Kampala ili kuboost matumizi ya SGR yao ambayo Sasa imekua Kama White Elephant. CURBING VIRUS SPREAD: Transport CS James Macharia joins other government officials in...
  15. Teargass

    Uganda - Tanzania pipeline is not Economically viable

    Cnooc questions investment in oil pipeline Cnooc workers in the field Cnooc Uganda Limited has up to the end of May to decide whether it will buy half of the stake from Tullow Oil Uganda, nearly three months after the Chinese company wrote to Uganda’s energy officials casting doubt about the...
  16. RAKI BIG

    Uganda bado Covid19 ni tatizo, lockdown ipo palepale

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuwa Shule, makanisa, misikiti, vilabu, vilabu vya usiku, maeneo ya kufanyia mazoezi na saluni za urembo zitaendelea kufungwa ili kuepuka maambukizi ya virusi vya corona. Museveni amesema kuwa si rahisi kwa maeneo hayo kufuata masharti ya kutochangamana...
  17. John abruzzi

    Mbosso, Diamond washinda tuzo za Hipipo Uganda

    Tuzo kubwa za muziki nchini Uganda , Hipipo Music Awards (Hall of Fame) , zimefanyika siku ya Jana huko Kampala na Kushuhudia wasanii tokea Lebo ya WCB , Diamond Platnumz pamoja na Mbosso wakiiwakilisha vyema Tanzania kwa Kuondoka na jumla ya tuzo tatu (3) Katika tuzo hizo ambazo mwaka huu...
  18. MK254

    Uganda wanaendelea kuwataja madereva wa Tanzania walioathirika Corona, hivi mbona hao hamuwapigii makelele?

    Museveni ni mkaidi balaa, huwa hana muda na ujinga au utoto, hata mkilia lia vipi bado anaendelea kuwaumbua waficha maradhi. Kwake anataja kabisa idadi ya madereva wa kutokea mataifa jirani ambao wana maambukizi ya corona, anawasema Watanzania bila kumumunya maneno, watajijua wenyewe kwao huko...
  19. Mkikuyu- Akili timamu

    Tetesi: Uganda wamekataa SGR ya Kenya na ardhi waliopewa bure huko Naivasha

    Wakuu, Ukajanja wa Kenyatta umekwisha. Hongera Museveni, wacha linchi la njaa na ukabila likule ujeuri wao. ======
  20. Influenza

    Wagonjwa 28 wa COVID-19 waongezeka Uganda. Watanzania wengine wanne wakutwa na maambukizi

    Wizara ya Afya nchini humo imetangaza ongezeko la Wagonjwa wengine 28 na kufanya jumla ya visa vya #CoronaVirus Nchini humo kufikia 281 Wagonjwa 21 ni madereva wa malori walioingia Uganda kupitia mpaka wa Elegu wakitokea Sudan Kusini huku 7 ni waliokuwa Karantini baada ya kukutana na madereva...
Back
Top Bottom