ugaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania OPERESHENI CYLONE YA CIA NA UISLAMU KUHUSISHWA NA UGAIDI

    OPERESHENI CYLONE YA CIA NA UISLAMU KUHUSISHWA NA UGAIDI Msomaji wa andiko hili, naomba ulisome ukiwa huna chembe chembe za udini au mihemko, naomba usome kujifunza, hili ni angalizo langu. Waziri Mkuu wa zamani wa Pakstani, Benazir Bhutto, anamuambia jambo la kumuonya Rais wa Marekani kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Zama za mizaha ya Uhaini, Ugaidi na Uchochezi zifike mwisho!

    Katika injili ya Luka 14:28-30, twasoma; "Maana ni nani katika ninyi, kama akitaka kujenga mnara, asiyeketi kwanza na kuhesabu gharama, kwamba anavyo vya kuumalizia? Asije akashindwa kuumaliza baada ya kuupiga msingi, watu wote waonao wakaanza kumdhihaki, wakisema, Mtu huyu alianza kujenga...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Heche: Tutazitaarifu taasisi za Amnesty International, UN Human Rights, EU, Commonweath kusaidia waliokamatwa kwa ugaidi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara, John Heche ameeleza kuwa chama hicho kinaandaa barua ambazo zimepangwa kupelekwa kwa mashirika mbalimbali ya kimataifa ikiwamo Amnesty International, Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya (EU), pamoja...
  4. JamiiForums Tanzania John Heche: Ofisi ya DPP ifumuliwe, inatumika kubambika Kesi za Ugaidi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema serikali inapaswa kuzifumua upya ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) akiitaja taasisi hiyo kuwa inatumika vibaya kubambikizia wananchi na viongozi wa upinzani kesi za uongo za ugaidi. "Ofisi ya Mwaikitaru na ofisi ya DPP ni ofisi zinazopaswa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira ya kisiasa kwa sasa hatuwezi kujipatia katiba mpya halali na yenye kutetea na kulinda haki za raia. Viongozi wote ni Null and void

    Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya. Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni pamoja na Bunge (Legislature) 1. Kutunga sheria – kutengeneza na kupitisha sheria zinazotawala...
  6. JamiiForums Tanzania Tunatamani kupigania katiba mpya; Tatizo tunaogopa kesi za uhaini, ugaidi na uchochezi!

    Hakuna ubishi, wito wa Mh. Makamu wa Rais, Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi, wa kuwahimiza watanzania kupigania katiba mpya, umepata mwitikio na hamasa kubwa kutoka kwa watanzania wote. Kwa kuzingatia maoni mbalimbali yaliyotolewa, ni wazi kuwa tupo tunaomuona Dr. Nchimbi kama kiongozi wa mfano...
  7. JamiiForums Tanzania Maajabu: Mwaipopo kajitangaza wazi anamiliki vikundi vya kigaidi bila kuhojiwa. Wakati huo polisi wakibambikia vyama shi kesi za ugaidi

    Openly, kwenye media, bila uoga, Mwaipopo kajitangaza kwamba anamiliki vikundi vya kigaidi vyenye mafunzo ya hali ya juu, akivionyesha kwenye camera. Polis hawakuchukua hatua yoyote. Badala yake polis wako bize kubambika kesi za ugaidi kwa wakosoaji wa ccm na utendaji mbovu wa serikali iliyoko...
  8. JamiiForums Tanzania Ongezeko la wimbi ya kesi za Uhaini na Ugaidi nchini

    Kutokana na ongezeko kubwa la wimbi la ufunguaji wa kesi nyingi sana za Uhaini na Ugaidi hivi sasa nchini katika utawala huu uliopo, kuna kila sababu ya kuwa na mashaka makubwa juu ya intelijensia ya Jeshi la Polisi. Huenda polisi wana weledi unaotia shaka kwa kuzichukulia kwa wepesi mno...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa sasa Neno ugaidi limeingia rasmi kusibitisha kisasi cha wanzanzibar na raisi samia.

    Bila kujua watanganyika sasa mtaitwa wote magaidi kama mlivyo wafanyia wajomba zake wale uhamusho. Hii ni visasi na sio vya kusema anaficha ni kwamba anaonuesha wazi wazi kuwa kinacho fata ni kufuta Tanganyika. Msipo nielewa leo mtanielewa kesho.Tanganyika inafutwa kwa yoyote mwenye kuhoji ni...
  10. JamiiForums Tanzania Wimbi la kesi za ugaidi litaathiri taswira ya nchi na sekta ya utalii kwa namna ambayo Serikali haikutarajia

    Watanzania, tukubali tusikubali, Serikali ya CCM haina viongozi wenye uwezo wa kuona mbali. Obviously, the mazafakas cannot see beyond their noses! Katika hali ya kawaida, hakuna kiongozi yeyote mwenye busara ambaye anaweza kuitangazia dunia kwamba nchi yake ina magaidi kila kona wakati ukweli...
  11. JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa Kesi za Ugaidi Tanzania; Ni Mkakati wa Usalama au Mwelekeo Mpya wa Kisiasa?

    Katika kipindi kisichozidi wiki mbili, Tanzania imeshuhudia ongezeko la watu wanaofikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Miongoni mwao ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), viongozi wa CHADEMA Students' Organization (CHASO), pamoja na makundi ya watuhumiwa zaidi ya 20...
  12. JamiiForums Tanzania Tuiombe jamii ya kimataifa itusaidie kukomesha ugaidi TANZANIA

    Naona serikali ina hamu ya ugaidi Yaani kuwepo ugaidi TANZANIA jamii ya kimataifa ikae kimya Leo vijana wadogo kabisa wanayuo wa chadema wamepewa kesi za ugaidi Wanachama 23 wa chadema wamepewa kesi y ugaidi Mhadhili chuo ya Udom amepewa kesi ya ugaidi Hii sio nzuri polisi tendeni haki
  13. JamiiForums Tanzania Ni kweli muhadhiri wa Udom aliyekamatwa kapewa kesi ya ugaidi?

    Nimeumia sana kusoma hii habari ya Mwalimu Melkisedeki Kitunzi Kaijage ambaye ni Mhadhiri Mwandamizi wa chuo kikuu UDOM. Kaijage anafundisha somo liitwalo Government and Politics in Tanzania (PO 123) ambalo linahusu serikali na siasa za Tanzania kuanzia uhuru hadi sasa. Kupitia somo hilo...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake: Ni ugaidi gani umewahi kumfanyia mwanaume na hutousahau?

    Wakati wanaume wakitamba na ‘kula tunda kimasihara’, hawajui kuwa nao huwa wanapigwa matukio kimkakati na wanawake. Kuna waliosingiziwa mimba - wakalea na kutoa matumizi miaka nenda rudi (na wengine hadi leo hawajui kuwa watoto sio wao); kuna waliotoa hela za misiba au ugonjwa usiokuwepo; kuna...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CHASO Mbeya nao wabambikiwa ugaidi

    CCM policy ya kuua upinzani ni hiyo Hii ina baraka za samia maana alisema ugaidi wa vijana katika hotuba yake juzi =========== Viongozi watatu wa CHASO Mkoa wa Mbeya pamoja na vijana wengine watatu waliokamatwa Mkoani Mbeya tarehe 03/07/2026. Baada ya kukaa ndani kwa siku 20, hatimaye leo jioni...
  16. JamiiForums Tanzania ELIMU Mbalimbali ndio inafanya Uanaharakati uonekane ni Ugaidi

    Ni lazima kwanza uwe na ELIMU Mbalimbali ndio ikupe ujasiri wa kuwaona Wanaharakati kama Magaidi.
  17. JamiiForums Tanzania Sasa ni zamu ya cuba! Step by step wafadhili ugaidi wote duniani wanaondolewa

    Meli za kivita zimewasili hapo carribean, zikijiandaa kumuondoa castro na utawala wake wa unyama. Iran bado anapikwa, magaidi naijeria wanaoua wakristo wanaungua, etc. Ahsante Trump
  18. JamiiForums Tanzania Hapa ndipo unajua wamagharibi wakisema ugaidi wanamaanisha ni Uislamu

    Watu watano wamefariki dunia katika shambulio dhidi ya msikiti mmoja huko San Diego nchini Marekani, baada ya washukiwa wawili kuvamia eneo hilo kabla ya kujitoa uhai kwa kujipiga risasi. Waumini watatu Waislamu waliuawa ndani ya nyumba ya Mwenyezi Mungu, huku washambuliaji hao wawili Cain Clark...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna mtu mmoja aliwahi kuniuliza kwanini watu wa mashariki ya kati baadhi yao wanaona ugaidi ni kama moja ya jukumu lao hapa duniani? Nilimjibu hivi

    Its simple, Ni kwa sababu kwao ugaidi umeunganishwa na Mungu, yaani mtu anapigana na watu bila sababu ya msingi kwa niaba ya Mungu wa kufikirika. Inachekesha sana ila kwao ni "sacred." Natumaini Infropreneur na Moisemusajiografii watanisaidia katika hili
  20. JamiiForums Tanzania Sipendi ugaidi wa Iran, ila hiki Trump anataka kufanya leo ni kosa kubwa

    Masaa machache yamesalia kabla Marekani haijapiga mifumo yote ya umeme na madaraja na miundo mbinu mingine, naona Trump anaendelea kutokwa na maneno makali kwamba amedhamiria kufanya kweli. Jameni ifahamike idadi kubwa ya Wairan ni watumwa tu wa hiyo dini na kwamba hawaungi mikono maugaidi yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…