ufunuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Smartkahn

    Kitakachokwenda kutokea mwaka 2026 Huu ni Ufunuo kwa Ulimwengu

    Heri ya mwaka mpya wakuu... kwani mwaka huu (2026) hasa miezi mitatu ya mwanzo wa huu mwaka una Heri nyingi kwa wenye haki. a). Ufunuo Huu ni mbaya kwa makundi yote yenye nguvu duniani aidha yawe ni Taasisi Vitengo, Kampuni ama serikali yeyote inayojihusisha na vitendo hivi au kati ya hivi; 1...
  2. Sales man

    Kwanini wimbo huu wa Mchungaji Abiud umekuwa maarufu sana?

    Je alichoimba Mchungaji Abiiud kwenye wimbo huu ndo kinatimia?
  3. Smartkahn

    Ufunuo Kwa Jamii

    Katika maono haya niliona vinyonga wawili wa rangi ya kijani mmoja mkubwa na mwingine mdogo. Walikua wanasogeleana na kuanza kupigana taratibu taratibu kama kawaida yao. Gafra akatokea nyoka wa rangi ya... kitu kama njano au kijani hivi akawagongo(ng'ata) wale vinyonga, kutokana na sumu ya...
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ufunuo 20:4-6 inasema watakatifu watatawala na kristo kwa miaka 1000. Swali watakuwa wanamtawala nani ili hali waovu watakuwa wamekufa?

    Wajuvi wa maandiko karibuni tena tujifunze kwa pamoja. Maandiko yanasema kama ifuatavyo. ufunuo 20:4-6 Kisha nikaona viti vya enzi, wakaketi juu yake, nao wakapewa hukumu; nami nikaona roho zao waliokatwa vichwa kwa ajili ya ushuhuda wa Yesu, na kwa ajili ya neno la Mungu, na hao...
  5. I

    Dunia au Taifa Inatawaliwa na Nani? Ufunuo wa Deep State

    Dunia au Taifa Inatawaliwa na Nani? Deep State Je, Wanaojua Kila Kitu na Wenye Uwezo Mkubwa Kabisa Duniani Wanafanya Kazi Kwa Siri? Tunapokua, tunafundishwa kuwa viongozi wa kitaifa kama Marais na Waziri Mkuu ndio wenye mamlaka makubwa. Lakini je, hii ni ukweli wote? Imekuwa na misimamo...
  6. D

    Naomba kujuzwa: Leo nihubiriwa na member wa S.DA kuhusu ufunuo

    Jamani wanajamvi kuna jamaa alinialika kwenye group niseme la maombi amenialika siku nyingi niende leo nikaamua kwenda katika mambo aliyonihubiiria ni kama yafuatayo: 1.Ulazimishwaji wa kuwa wakristo wakipagani. Jamaa amenieleza kwamba kulingana na ufunuo kwamba Marekani wakiungana na kanisa...
  7. A

    Wallace Karia ondoa jina, Sauti za wengi ni ufunuo tosha.

    Busara ya kawaida kabisa inakuelekeza upumzike sasa...uachie kijiti mtu mwingine nae aendeleze pale ulipotufikisha..huko ndiko kustaarabika. Kwann usubiri kuondolewa kwa kuaibika kama wazee wenzio akina kasongo? Kwanini usimuige Leodigar Tenga aliyeondoka hapo Tff kwa heshima. Au kwasab unajua...
  8. Emanueli misalaba

    "Mtu akiua kwa upanga, atauwawa kwa upanga" Ufunuo wa Yohana 13:10

    Wana JF ni imani yangu wazima wa afya njema. Kulingana na maandiko kama nilivyonukuu kwenye Uf 13:10 inaelezea "mtu akiua kwa upanga atauawa kwa upanga" Na kwenye Mt 26:52-53 " Ndipo Yesu akamwambia, Rudisha upanga wako mahali pake, maana wote waushikao upanga, wataangamia kwa upanga "...
  9. REALITY

    Ufunuo mkubwa duniani

    Wamekufundisha kuamini sayansi, lakini hawakukuambia kuwa nyuma ya vipimo na vitabu vyao kuna uchawi wa kale unaofufuka. Hii si nadharia ya vichaa – ni sauti ya mwisho kutoka kwa Anonymous Watcher, aliyefunua macho yake na kuona: dunia si duara, anga lina gamba, na milango ya kuzimu inaanza...
  10. Zacht

    Kwenye Ufunuo wa Yohana na kauli maarufu: “I am the Alpha and the Omega.” Kuna kitu hakipo sawa wakristo njoeni

    Hivi unajua kwamba Yesu hakuwahi kusema maneno haya hadharani alipokuwa hai? Haya maneno yanapatikana kwenye kitabu cha Ufunuo maono aliyodai kuyaona mtu mmoja aitwaye Yohana, miaka kama 60 baada ya Yesu kuondoka duniani. Na huyu Yohana? Hakujitambulisha wazi. Wasomi wa Biblia wamekuwa...
  11. Tango73

    Tariff na deportation ni ukamilisho wa ufunuo wa yohana

    Ukisoma ufunuo wa yohana utagundua ya kuwa haya yote yatokeayo duniani yalishatabiriwa 2000yrs ago. Taifa moja lenye nguvu duniani ndilo hilo marekani. Rais mmoja mwenye nguvu ndiyo huyo atawalaye marekani. Tariff na timua timua ya wazamiaji ndiyo nguvu za kuitawala dunia. sasa kinachosubiliwa...
  12. Dogoli kinyamkela

    Mwanzo mpaka Ufunuo ni sisi

    Mwanzo mpaka Ufunuo ni sisi Kama ambavyo nimekuwa nikisema kwamba maandiko matakatifu hususani biblia haizungumzii habari kutoka nje yetu. Tunaambiwa kwamba imeandikwa kwa codes au mafumbo, lakini hatujawahi kuambiwa hayo mafumbo Ni yapi. Sasa hili Ni SoMo ambalo litakuwa hewani kuanzia...
  13. Bullshit

    Swali kuhusu Tawhid na Ufunuo

    1. Ikiwa Mungu ni mmoja na hana mfano, kwa nini Qur'an inatumia wingi wa "Sisi" katika baadhi ya aya zake? (mfano, Qur'an 15:9). 2.Qur'an inasema kwamba ni mwongozo kamili (Qur'an 16:89). Kwa nini kuna haja ya Hadith kuelezea baadhi ya maelezo ya dini? Asante
  14. Msanii

    Malaika anayetajwa katika Ufunuo wa Yohana 9:11, ni nani haswa? Je kupatwa kwa jua Aprili 2024 kunahusiana na malaika huyu?

    Wana JF, umofia kwenu. Sisi ambao tumeishi kwenye kupokea imani katika umoja na utofauti wa itikadi zetu, tunaelewa uwepo wa viumbe wa kipekee ambao waliumbwa kwa upepo na moto. Baadhi ya viumbe hao waliasi na kutuletea sintifahamu kubwa kwenye mahusiano yetu na aliyetuumba (kwa imani...
  15. Dr Matola PhD

    Ufunuo wa Mwafrika, Kalenda nyingi dunia moja!

    KALENDA NYINGI DUNIA MOJA 1. Kalenda ya Gregorian 2. Kalenda ya Pawukon (Bali, Indonesia) 3. Kalenda ya Ethiopia 4. Kalenda ya Kiyahudi 5. Kalenda ya Kichina 6. Kalenda ya Hijira 7. Kalenda ya Kiajemi 8. Kalenda ya Kijapani 9. Kalenda ya Julian 10. Kalenda ya Buddha 11. Kalenda ya...
Back
Top Bottom