ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tuhuma za ufisadi wa makamu mwenyekiti wa Chadema taifa, zazorotesha hali na mwenendo wa uchangiaji fedha kwaajili ya baraza kuu taifa Sept.15,2026.

    Wana chama wengi wa chadema, pamoja na wafadhili wa chadema wa ndani na nje ya nchi hawana tena imani na uongozi uliopo wa chadema kuhusu masuala ya pesa, na wala hawana uhakika wa ikiwa pesa watakazoichangia chadema zitatumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa. Na, kwa mvurugano wa chini kwa chini...
  2. JamiiForums Tanzania UFISADI: Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA kanda ya Kati Amshauri Mnyika kuunda Tume kumchunguza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho

    John Wegese Heche akiwa bado ananuka Ufisadi wa pesa za Tone kwa Tone uliofanywa akiwa makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Kanda ya Kati, Aquilin Claud ameshauri Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika aunde tume ya kumchunguza Makamu Mwenyekiti wa chama...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Yaani watu wamekutunza jukwaani kwasababu umewakosha kwa nyimbo au stalii za kudensi Sasa hizo pesa ukizitumia ni ufisadi?

    Yaani Kuna watu wamekoshwa au wameopendezwa na msimamio au maelezo ya kiongozi fulani wakisiasa, Wakaona ngoja wamwekee mafuta kwenye gari yake na wampe na hela ya kula njiani yeye na wenzake ili na wenzao kutoka sehemu nyingine wapate huo ujumbe je juzitumia hizo fedha ni ufisadi? Kumbuka...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa tuhuma za ufisadi na rushwa zinazomkabili John Heche, ni wazi amekosa credibility ya kukosoa wengine kwenye masuala ya uadilifu.

    Huenda hii michezo ya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya rasilimali za chama chake kwa manufaa yake binafsi na familia yake alianza kufanya muda mrefu huko nyuma. Na huenda hiyo ndio tabia yake halisi ya kutamani kujilimbikizia mali za chama...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna UFISADI NHC ila takukuru siwaamini kuwapa taarifa

    Kwa sasa naona kila mtu anajichukulia chake mapema before 2030. Takukuru kama mngekuwa na matokeo chanya kwenye kazi zenu ningewaamini na kuwapa taarifa juu ya kinachoendelea huko shirika la Nyumba la taifa (NHC). Kwa sasa limekuwa siyo shirika la nyumba la taifa bali ni ni shirika la nyumba...
  6. JamiiForums Tanzania Unadhani Makamu Mwenyekiti wa chadema taifa anaweza kua anapitia hali gani kisaikolojia baada ya tuhuma zake za ufisadi kutrend sana mitandaoni

    Je, anapata usaidizi wowote maalumu wa kiafya kutoka kwenye idara za chama chake kulingana na nafasi yake chadema taifa, na kutokana na maoni mseto yanayoenezwa mitandaoni dhidi ya tuhuma za ufisadi wa fedha za chama zinazomkabili? Kwa maoni yangu, licha ya familia yake kumtia moyo, nadhani...
  7. JamiiForums Tanzania CCM hamuwezi kuiangusha CHADEMA kwa propaganda za kishamba kama hizi. Ninyi ni wachafu maana mna tuhuma za ufisadi na mauji ya raia

    Mnatuhumiwa kwa tuhuma nzito sana za mauaji ya kimbari yaliyofanyika Oktoba 29 na mkakaa madarakani bila ridhaa ya wananchi. Mnatuhumiwa kuteka na kuua raia wema akiwemo Humphrey Polepole na wengine wengi. Kuleta hoja kuwa Heche amekula michango ya Chadema ni ushamba na upuuzi wa kisiasa.
  8. JamiiForums Tanzania ACT: Serikali imalize mgao wa maji Dar, Wananchi hawawezi kuendelea kubebeshwa gharama za uzembe na ufisadi

    ACT Wazalendo imefuatilia kwa karibu kukithiri kwa tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo mbalimbali nchini, hususan ongezeko la mgao wa maji unaowaacha mamilioni ya wananchi bila hakika ya huduma hiyo kwa siku kadhaa mfululizo. Katika maeneo tuliyofuatilia maji hutoka mara...
  9. JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Kutoka Symbion hadi Sheria ya Fedha 2026 na Ufisadi katika Uagizaji Mafuta. je, Luhaga Mpina amebadili msimamo?

    Dar es Salaam. Taarifa waqliyoitoa Chama cha ACT-Wazalendo walipokuwa wanaongea na Waandishi wa habari. kuwa litafungua mashauri mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vya Sheria ya Fedha ya Mwaka 2026 limefungua mjadala mpya kuhusu nafasi ya siasa za upinzani katika usimamizi wa fedha za Umma...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha amjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania

    Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omaramjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania Pia soma: Luhaga Mpina: Bei ya mafuta imeshuka soko la Dunia kwa 22% lakini hatuoni bei zikishuka hapa nchini
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu wengi tunaopigia kelele ufisadi, wizi , rushwa. Ni kwamba hatuko kwenye hizo position ndo maana kelele ni Nyingi.

    Huu ndo ukweli mchungu watanzania 90% tuna toka kwenye familia zilizo jaa umaskini wa kupindukia. Ndugu zetu vijijini wanaogelea kwenye umaskini wa kutisha ndo maana zikitokea chance watu wanazitumia vizuri hakuna tuzo ya Utesekaji bora ...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania Kuna Rushwa, Ufisadi, Wizi na Ubadhirifu?

    Tanzania ina changamoto za ufisadi, rushwa na ubadhirifu wa mali za umma, kama zilivyo nchi nyingi duniani. Hata hivyo, ukubwa na aina ya matatizo hayo hutofautiana kati ya sekta na kipindi husika. Baadhi ya viashiria na taarifa zinazothibitisha uwepo wa changamoto hizi ni: Prevention and...
  13. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ingekuwa Jibu, Kenya wasingelia tena na ufisadi, tatizo ni watu

    Kama ukiweza kuipata na kuisoma KATIBA YA KENYA utagundua kuwa ni moja ya KATIBA makini zinazojitosheleza kwenye kila nyanja za KITAIFA katika zama hizi. Tatizo la Afrika Mashariki, hususan Kenya, mara nyingi limekuwa likihusishwa na ufisadi. Wazo la Katiba Mpya lilionekana kama suluhisho la...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Paul Makonda kujibu tuhuma za ufisadi wa kielimu wa kutumia vyeti vya mtu mwingine kama alivyofanya mwenzake Mwigulu?

    Hizi tuhuma zilivuma na kuwachafua sana hawa jamaa wawili wakati wa u-Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete (2005 - 2015). Cha ajabu ni kuwa, huwa wamo tu serikalini. Ama kweli wachawi na waganga wao wana nguvu sana basi...! 1. Paul Christian Makonda (jina halisi la kuzaliwa la asili ya ukoo wake ni...
  15. JamiiForums Tanzania Nakubaliana na John Heche hayati JPM alikuwa serious kudhibiti uzembe na ufisadi. Na ninaongezea asingethubutu kutembea na mtoto kama tunavyoshuhudia

    Naona wanaChadema wameanza kukubaliana na mimi juu namna hayati Magufuli alivyokuwa shujaa na mpambanaji kuzuia uzembe na ufisadi. Kwanza asingeweza kwenda Urusi na na mtoto wake au delegation kubwa namna ile na kuharibu pesa za Watanganyika.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Nilishirikishwa ufisadi na "mamlaka kuu" nikakataa, naogopa laana za Watanzania

    Amejitoa mhanga! Anytime soon atabambikiwa kesi ya Uhaini! Or any other life threatening attempts on him Huyu ni next to Lisu! Msikilize Note: mamlaka kuu ameitaja, sikutaka kuiweka kwenye heading
  17. JamiiForums Tanzania Siasa za kiunaharakati wanazozifanya CHADEMA ni zipi? Ebu tuelezeni tuelewe. Maana wanapinga uovu na ufisadi na wanataka kusaidia taifa lao.

    Kuna kijipointi cha kipuuzi mnakig'ag'ania sana kuwa CHADEMA ni wanaharakati. Harakati hizo ni zipi? Kupinga utekaji, ufusisadi na CHADEMA kutaka Katiba mpya ili tuwe na demokrasia na maendeleo ni unaharaki? Ni wakati wa kuleta mabadiliko.
  18. JamiiForums Tanzania Maridhiano bila Lissu kuachiwa bila mashariti hayawezekani. Hata Lissu akitoka hakuna kufanya maridhiano na serikali iliyojaa uoavu na ufisadi

    Nakubaliana asilimia na Zitto wa Kigoma kuwa Chademq 8nq wafuasai na wanachama wengi na chama kikubwa cha upinzani. Sisi wafuasi wa Lissu na Chadema tunajisika vipi kiongozi wetu ambae ana uchungu na taifa lake kuwekwa gerezani kwa kesi ya kisiasa ? Halafu kuna mpuuzi kama Wenje anahamasisha...
  19. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Spika Bunge la Uganda Annet Among akabiliwa na shinikizo la kushitakiwa kwa ufisadi

    Aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda, Anita Annet Among, anakabiliwa na shinikizo la kujiuzulu kutoka kwa baadhi ya wabunge kufuatia madai ya ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma. Baadhi ya Wabunge wameanza mchakato wa kukusanya saini za kumtimua yeye na wajumbe wengine wa Kamisheni ya...
  20. JamiiForums Tanzania TAKUKURU mnalala kwa makusudi: Ufisadi miradi ya ujenzi uko wazi na mnajidai hamuuoni!

    Huu mkeka wa ufisadi umepamba moto miaka ya karibuni bila kuchukuliwa hatua, TAKUKURU ina fuatilia vidagaa, na ni kwa vile wakubwa wanahusika katika hii grand corruption. Ujenzi sasa hivi ni sekta inakaribia kubomoka kabisa kutokana na corruption inayowahusu Wachina, Taasisi za ujenzi, hasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…