ufaransa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Marekani: Howitzer za Ufaransa (CAESAR 155 mm Self Propelled Howitzer) zateketezwa vibaya mno Ukraine kwa artillery ya Urusi

    Marekani yaripoti kuwa howotzer za Ufaransa (French CAESAR 155 mm Self Propelled Howitzer) zinachomwa vibaya na kuangamizwa na MLRS (Artillery) za Urusi nchini Ukraine. Katika kuthibitisha hilo Marekani imeambatanisha na video iliyorikodiwa na drone (video ipo hapo chini) wakati artillery ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya 21 ya "Daraja la Kichina" ya wanafunzi wa vyuo vikuu duniani yafanyika nchini Ufaransa

    Tarehe 25 mwezi Juni mwaka 2022 fainali ya mashindano ya 21 ya “daraja la kichina” la wanafunzi wa vyuo vikuu duniani ilifanyika nchini Ufaransa kwa njia ya mtandaoni na nje ya mtandao, kaulimbinu ya mashindano hayo ikiwa ni “ dunia moja, familia moja”. Balozi wa China nchini Ufaransa Bw. Chen...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ufaransa ilifanya majaribio ya mabomu 17 ya nyuklia na silaha nyinginezo za nyuklia huko Algeria ilipokuwa ikiitawala, mpaka leo athari zaendelea

    Wafaransa washenzi sana, walipoitawala Mali waliamua kufanya majaribio yao ya nyuklia kwenye ardhi ya Algeria miaka ya 1960s ili athari zitakazotokana na nyuklia ziwaathiri waafrika tu. Yaani majaribio wafanye kwa faida ya Ufaransa, lakini madhila ya miaka na miaka hadi kesho yaendelee...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yaikopesha Tanzania shilingi bilioni 195 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Usambazaji wa Maji safi Shinyanga

    Na Eva Ngowi, Dar es Salaam Serikali ya Ufaransa kupitia Shirika lake la Maendeleo la Ufaransa (AFD), imetia saini mkataba wa kuipatia Tanzania mkopo wa Euro milioni 75 sawa na takriban shilingi bilioni 195 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Usambazaji wa Majisafi na Usafi wa Mazingira katika...
  5. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Ulaya hali tete, Ufaransa yakatiwa gesi

    Vita vya Russia na Ukraine vikiendelea na vikwazo vya nchi za Magharibi vikiwekwa Moscow,mauzo ya gesi ya Russia kwa Ulaya yamepungua sana na kuziacha nchi nyingi za bara hilo zikikumbwa na tatizo la kujidhamini nishati na kuongezeka gharama ya bidhaa hiyo,Shirika la gesi la Gazprom la Russia...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ufaransa apoteza viti vingi Bungeni

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameshindwa kupata kura nyingi katika uchaguzi wa wawakilishi wa viti vya Bunge, ikiwa ni pigo kubwa kwake katika utawala wake ambapo amerejea madarakani hivi karibuni kuendelea na muhula wa pili. Macron na washirika wake hawatapata Wabunge wa kutosha...
  7. STRUGGLE MAN

    JamiiForums Tanzania Iran yajibu malalamiko ya Ufaransa na Ujerumani kuhusu kukamata meli mbili za Ugiriki

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa taarifa na kukosoa taarifa zinazofanana za Ujerumani na Ufaransa kuhusu meli za mafuta za Ugiriki. Siku ya Ijumaa Idara Kuu ya Mahusiano ya Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ilitangaza kuwa meli mbili za mafuta za Ugiriki...
  8. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari raia wa Ufaransa auawa kwa bomu katika vita Nchini Ukraine

    Mwandishi wa Habari wa Ufaransa Frédéric Leclerc-Imhoff (32) ameuawa kwa kupigwa risasi nchini Ukraine. Leclerc-Imhoff alikuwa akifanya kazi katika Shirika la habari la BFM TV na alikuwa nchini Ukraine kutangaza hali halisi ya vita ikiwemo uokoaji wa watu. ------ A French journalist has been...
  9. simplemind

    JamiiForums Tanzania Ufaransa kuwekeza dola bilioni 4.2 Tanzania

    Haijawahi kutokea- Ufaransa mbioni kuwa muwekezaji nambari wani Tanzania. Ufaransa itawekeza zaidi ya dola bilioni 4.2 katika kipindi cha miaka mitano. Asiyemuelewa mama kindly spare us the noise. === Dar es Salaam. The French public and private commitment for Tanzania over the next five years...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msimu mzima hadi sasa Messi kapata goli 6 tu!! huko League 1 Ufaransa

    Mchezaji mzuri anapaswa kung'aa kwenye timu yoyote na nchi yoyote. Messi kushindwa kung'aa akiwa na timu ya PSG nchini ufaransa kumethibitisha kuwa Messi yuko over-rated!! Ameishia na keshaanza kuwaza kukimbilia Marekani au uarabuni. Mwenzake CR7 hadi sasa ana magoli 18 na ndiye shujaa wa...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Wanadiplomasia wa Hispania, Ufaransa na Italia wafukuzwa Urusi

    Taifa hilo limesema linawafukuza Wanadiplomasia 34 kutoka Ufaransa, 27 wa Hispania na 24 kutokea Italia. Mataifa hayo matatu ni miongoni mwa Nchi za Ulaya ambazo zimefukuza Wanadiplomasia zaidi ya 300 tangu vita kuanza Ukraine Mataifa hayo yaliwashutumu Wanadiplomasia wa Urusi kwa kufanya...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Ufaransa: Rais Emmanuel Macron amshinda Mpinzani wake, Marine Le Pen

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amefanikiwa kutetea nafasi yake ya Urais baada ya kumshinda mpinzani wake, Marine Lepen katika raundi ya pili ya Uchaguzi wa Rais Nchini humo Kura zimeonesha Macron ameshinda kwa kura 58 dhidi ya 42 za Lepen kulingana na makadirio ya taasisi za ukusanyaji wa...
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Matokeo Uchaguzi Ufaransa Vs Afrika

    1. Ufaransa wamepiga Kura Leo, matokeo Leo Leo. Na mpinzani kakubali kushindwa Leo Leo. 2. Afrika Sasa! Matokeo baada ya siku 14 na upinzani wanadai wameibiwa. **Tusubir kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwake. Leo francophone kote Ni full shangwe
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Rais wa zamani wa Gabon (Omar Bongo) wafunguliwa mashitaka Ufaransa

    Watoto wanne wa Rais wa zamani wa Gabon, Omar Bongo wamefunguliwa mashitaka Nchini Ufaransa kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma, matumizi mabaya ya mali za makampuni na rushwa. Watoto hao Grace, Betty, Arthur na Hermine Bongo, wote wakiwa na zaidi ya miaka 50 walifunguliwa mashitaka hayo...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Serikali yamfukuza Raia wa Ufaransa kwa kuficha mafuta

    Mmalaka Nchini Kenya imesitisha kibali cha kuendelea kuishi Nchini humo mmoja wa wauzaji wakubwa wa mafuta raia wa Ufaransa kutokana na sakata la uhaba wa mafuta linaloendelea. Mfaransa huyo ni Christian Bergeron ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Rubis Energy Kenya ambayo ni kampuni tanzu...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais Ufaransa, Le Pen wa Ufaransa asema gesi ya Urusi haiepukiki

    Mgombea urais wa Ufaransa bi Marine Le Pen said amesema anaunga mkono vikwazo vyote vya kiuchumi kufuatia uvamizi wake kwa nchi ya Ukraine isipokuwa nishati ya gesi. Bi Le Pen katika siku za karibuni amepata umaarufu zaidi katika kampeni zake dhidi ya kiongozi wa sasa wa nchi hiyo ,bw.Emmanuel...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Macron, Marine Le Pen kushindana raundi ya pili kuwania Urais wa Ufaransa

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameongoza kwenye duru ya kwanza ya uchaguzi, akimshinda kwa tofauti kubwa kuliko ilivyotarajiwa mpinzani wake, Marine Le Pen na hivyo watakutana katika duru ya pili kati ya wawili hao baadaye mwezi huu. Matarajio yalionyesha Macron atashinda kwa kati ya...
  18. Life2

    JamiiForums Tanzania Ufaransa ilijitoa NATO kwa amani, Urusi anashambulia nchi zinazotaka kujiunga

    Ufaransa ilikuwa mwanachama wa NATO mpaka mwaka 1966 ilipoamua kujitoa na kubaki Neutral state huku wanachama wote wakibariki maamuzi hayo hatukuona Makombora ya Iskander yakivurumishwa Paris. Kwa upande wa pili mambo ni kinyume kabisa nikimaanisha nchi zilizokua za Kisoviet ukitaka kutoka huko...
  19. Artificial intelligence

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kupinga ujenzi wa bomba la mafuta(EACOP) Kati ya Tanzania na Uganda nchini Ufaransa ni "Economic Espionage"

    Maandamano yaliyofanyika nchini Ufaransa leo tena yakiongozwa na Mkenya ni kiashiria cha ujasusi wa kiuchumi kuhusu Tanzania&Uganda juu ya ujengaji wa bomba hilo. Kenya katika ukanda huu wa maziwa makuu imekuwa ikitumiwa sana na washirika wa magharibi na kampuni nyingi binafsi katika...
  20. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Maandamano Ufaransa kupinga kampuni ya Total kujenga bomba la mafuta la Uganda na Tanzania

    Wanafunzi na wanaharakati wengine wa maeneo mbalimbali mjini Paris wameandamana kupinga kampuni ya kifaransa ya Total kujenga bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania. Wanafunzi hao na wanaharakati wa mazingira wanaitaka serikali ya Ufaransa kuizuia kampuni ya Total kujenga mradi huo...
Back
Top Bottom