Uchaguzi Ufaransa: Rais Emmanuel Macron amshinda Mpinzani wake, Marine Le Pen

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,302
5,441
Ufaransa.JPG

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amefanikiwa kutetea nafasi yake ya Urais baada ya kumshinda mpinzani wake, Marine Lepen katika raundi ya pili ya Uchaguzi wa Rais Nchini humo

Kura zimeonesha Macron ameshinda kwa kura 58 dhidi ya 42 za Lepen kulingana na makadirio ya taasisi za ukusanyaji wa kura ya maoni za vituo vya televisheni vya Ufaransa.

Katika salamu zake za shukrani, Macron, 44, alisema “Asanteni sana” kisha akawapa sifa nyingi wananchi waliomchagua kwa kumpa miaka mitano kuendelea kuwa Rais

Baada ya ushindi huo, Rais Macron anakabiliwa na mambo mengi katika muhula wake wa pili ikiwemo uchaguzi wa wabunge Juni.

Matokeo ya mwisho rasmi yanatarajiwa kutangazwa leo Jumatatu Aprili 25, 2022
===

Source: Aljazeera

Rais wa Ufaransa French President Emmanuel Macron has defeated his far-right rival Marine Le Pen by a comfortable margin in a runoff election and has won a second term, early projections by pollsters showed.

The first projections showed centrist Macron securing around 57-58 percent of the vote in Sunday’s runoff. Such estimates are normally accurate, but may be fine-tuned as official results come in from around the country.

Le Pen, the candidate of the far-right National Rally party (Rassemblement National or RN), received 41.8 percent of the votes, the highest in her last three unsuccessful presidential bids.

In a victory speech on Sunday evening, Macron said a simple “thank you!” and praised the majority who gave him five more years at the helm of France.

He arrived on the plaza where his supporters gathered, beneath the Eiffel Tower, to the sound of the Ode to Joy, the European Union’s anthem, hand in hand with his wife, Brigitte.

Macron also thanked people who voted for him not because they embrace his ideas but because they wanted to reject Le Pen.

“I’m not the candidate of one camp anymore, but the president of all of us,” he said.
 
Kura zimeonesha Macron ameshinda kwa kura 58 dhidi ya 42 za Lepen kulingana na makadirio ya taasisi za ukusanyaji wa kura ya maoni za vituo vya televisheni vya Ufaransa.
Kama ni kweli ulichoandika mimi.ngewashinda wote na kuwa Raisi wa ufaransa

Yaani mshindi kapata kura 58 mwenzie 42 ningeokota vibaka 60 nikawapa hela nikapata kura 60 nikawabwaga wote
 
Back
Top Bottom