Habarini,
Niko kwenye umri wa kuoa ila kila nikiangalia sioni mke wa kuoa, binafsi sina standards kubwa ninazotarajia toka kwa mdada, na siko picky kihivyo, shida nikisema huenda huyu ni potential wife, unakuta mdada ni block 41 kikosi cha mizinga, hata kwenye mazingira ninayoishi kuna wanaume...