uendeshaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    SoC02 Mfumo juu ya uendeshaji elimu Tanzania

     Elimu ni jumla ya mambo yote ya kuhusu ujuzi,stadi,maarifa na muelekeo katika jamii.katika nchi yetu ya Tanzania tunaona kuwa Mfumo wetu wa uendeshaji umekaa vibaya,kuna baadhi ya mambo mengi ambayo hupelekea hichi chanzo. (1)Chanzo ni Nini mpak tunaona Mfumo wetu wa elimu ni mbaya? (i)...
  2. SoC02 Maji: Ushiriki wa jamii, uendeshaji na uibuaji wa miradi ya maji, utoaji taarifa na changamoto za utendaji na utatuzi

    Utangulizi. Tangu uwepo wa ulimwengu huu maji ni kimiminika ambacho kimekuwepo na kusaidia shughuli mbalimbali za uendeshaji na ujenzi wa ulimwengu tangu ikiwa tupu hadi sasa katika zama za sayansi na teknolojia iliyokubuhu (Post-science and technology society).Maji hayana mbadala,na wengine...
  3. S

    Mfumo maalum wa uendeshaji wa vyuo vya Afya- Colleges Health And Allied Sciences (COHAS)

    Habari wa jamiiforums Kwa uendeshaji wa vyuo vya Afya nimeandaa mfumo maalum wa uratibu wa matokeo na ada kwa vyuo vya afya kwa ngazi ya NTA level 4,5 & 6 Mfumo huu utarahisisha kuhifadhi taarifa na kutoa matokeo kwa wanafunzi kwa wakati, Wanafunzi ambao hawajatoa ada wanaweza kuzuiwa kuona...
  4. K

    Ushauri kwa CDF Jenerali Mkunda na Serikali kuhusu uendeshaji wa Shule za Jeshi

    Awali ya yote nampongeza sana Mhe. Rais wetu, mpendwa wetu Mama SAMIA SULUHU HASSANI kwa kazi nzuri anayoifanya na wasaidizi wake. Pia nampongeza sana aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya ulinzi mstaafu kwa kazi kubwa aliyoifanya na nampongeza sana Mkuu mpya mteule wa majeshi ya ulinzi kwa uteuzi wake...
  5. J

    Utaratibu uendeshaji wa Uchaguzi Tanzania wadaiwa kudorora miaka ya karibuni

    Vyama Vikubwa vya Siasa nchini hasa vya upinzani vimekuwa vikilalamikia mchakato mzima wa uchaguzi kwenye nyanja zote, madai yao makubwa ni kuwa chama Tawala (CCM) kimekuwa kikibebwa na kupewa upendeleo wa wazi na mamlaka. Vyama vingine vimekuwa vikinyimwa uhuru na haki sawa ya kuweza kufanya...
  6. C

    Hivi mnaposema Simba inajiendesha kwa hasara mnafikiria nini?

    Naomba nipate ufafanuzi.Iwapo Simba inapata hasara kwa uwekezaji wa Bilioni 20 +25 tunazoambiwa,je huyu Azam media angepata faida gani kuwekeza bilioni 48 kwa Simba? Je, Simba ikiamua kutangaza biashara yoyote,mfano ya bia n.k,wanaweza kulipwa kiasi gani kwa mwaka? Je, Simba hii, hii...
  7. Ripoti ya CAG: Ufanisi katika uendeshaji wa Mfuko wa Uwezeshaji wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu

    Katika ukaguzi wa uendeshaji wa Mfuko wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, CAG amebaini Mapungufu kadhaa yakiwemo; 1) 65% ya Mikopo iliyotolewa kwenye Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu haikurejeshwa. Kwa mwaka 2019/20, CAG alionesha Mamlaka za Serikali za Mitaa 130...
  8. Kwanini Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) inaendesha mambo kisiasa?

    Haya ni Maoni Yangu, kwa mtazamo wangu naona Hili swala linaumiza sana watoto wa walala hoi kwanini Bodi ya mikopo Elimu Ya Juu inaendesha mambo yake kwa ahadi za kisiasa sana. Kwenye briefing zao na taarifa ambazo huwa wanazisoma mbele ya media huwa zinajaa mbwembwe sana kuwa tuna hela Tayari...
  9. Wamiliki wa magari ya Uber/Bolt, tupeane mbinu za uendeshaji wa hii biashara

    Habari zenu wadau, Naomba tujuzane kidogo mbinu mnazotumia kuendesha hii biashara. Kwa muda kidogo nimepata changamoto za uendeshaji wa hii biashara nikiwa kama mmiliki wa chombo(gari), kutokana na changamoto na sababu za dereva kila kukicha nkaona ngoja niangalie kama kweli biashara ngumu...
  10. SoC01 Mapendekezo ya uboreshaji wa mfumo wa mabasi ya Mwendo kasi ili kuongeza ubora wa huduma na kupunguza gharama za uendeshaji

    MAPENDEKEZO YA MABORESHO YA MFUMO WA UENDESHAJI WA MABASI YA MWENDO KASI Mabasi yaendayo haraka ni mradi uliobuniwa kurahisisha huduma za usafiri kwa wakazi wa majiji makubwa yenye msongamano mkubwa wa magari na watu. Tangu kuanzishwa kwa huduma hii kumekuwepo na changamoto za kimiundombinu...
  11. Huawei kuzindua mfumo wake wa uendeshaji simu janja mbadala wa Android

    Kampuni ya Teknolojia ya China, Huawei inaanzisha mfumo wake mpya wa uendeshaji wa simu za janja (smartphones) unaojulikana kama HarmonyOS baada ya Marekani kuizuia kufanya kazi na kampuni ya Google. Huawei inatarajiwa kuzindua mfumo huo leo kwa baadhi ya vifaa kama simu za janja, vishkwambi...
  12. Sasa mwendokasi itakuwa ya raha kama vile kupanda Range

    Usiku wa jana nilikuwa na furaha isiyo kifani. Jambo hili limeniumiza kichwa kwa muda mrefu hatimaye kwa kudra za Mwenyezi Mungu, usiku wa jana nimeweza kulisolve. Sasa wanufaika wote wa mradi huu kaeni mkao wa kula. Jambo hili nililolibuni likiwekwa kwenye utekelezaji, 90% ya changamoto za...
  13. K

    UDART iendeshwe na kampuni binafsi za uendeshaji (Management companies)

    Mimi nashangaa kuendelea kuchagua wanasiasa kuendesha mashirika kama haya. Ushauri wangu ni kutangezwe zabuni maalumu za uendeshaji tu. 1. Kila kampuni ije na mpango wake wa miaka mitano. 2. Jinsi ya kulipwa iwe kutokana na faida. 3. Mradi unatakiwa kujiendesha wenyewe na kutenga pesa kila...
  14. Kuingiliwa kwa Sera na uendeshaji wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, wabunge jadilini hili

    Siyo siri, katika Awamu ya Tano iliyopita Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama viliingiliwa kiutendaji kiwazi wazi. Hii inaweza leta athari kubwa sana lisipokabiliwa mapema. Tunaona sasa hivi kwa mfano hao vijana wa JKT walioahidiwa ajira utafikiri wanaajiriwa kiwandani. Kucheza na hivi vyombo...
  15. D

    Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

    Wanandugu, naombeni msaada tafadhali. Mimi ni kijana mwenzenu nimebahatika kuchanga pesa zangu na nimefanikiwa kupata milioni moja na nusu; nataka kufungua biashara ya kuonesha mpira kwa jijini Dar (hasa mpira wa Ligi Kuu ya Uingereza). Je, vipi ni biashara nzuri kufanya au niachane nayo...
  16. T

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Nataka nianzishe biashara ya kuchezeshaa game aina ya playstastion ila kabla sijaanza inanibd nifanye utafiti kuhusu biashara. naomba kwaa aliye na uzoefu na hilo aniambie faida na hasara zake. WADAU WANAOHITAJI MUONGOZO KUHUSU BIASHARA HII MAJIBU NA MICHANGO YA WADAU
  17. L

    Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

    Hi to everyone, and hope you're doin fine. Nimefikiria kuwa na mradi wa uoshaji magari sambamba na huduma ndogondogo nyingine kama pressure n.k badala ya kutojishughulisha kabisa. Ni mradi mdogo ila nimeupenda kwani is a free risk and have low operating cost as generally nahjtaji kuwa na: 1...
  18. G

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Jamani mimi nina chaneli ya high quality mbao (zilizokatwa na ambazo bado hazijakatwa) for export toka nchi jirani. Documents na leseni zote zipo. Nafikiria masoko ya Far East na Middle East. Hivyo UAE, SAUDIA, IRAN na kule Malaysia, Vietnam na kadhalika ndio nakutaka. Je, kuna mtu anaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…