uefa

The Union of European Football Associations (UEFA; yoo-AY-fə; French: Union des associations européennes de football; German: Union der europäischen Fußballverbände) is the administrative body for football, futsal and beach soccer in Europe. It is one of six continental confederations of world football's governing body FIFA. UEFA consists of 55 national association members.
UEFA represents the national football associations of Europe, runs nation and club competitions including the UEFA European Championship, UEFA Nations League, UEFA Champions League, UEFA Europa League, planned UEFA Europa Conference League, and UEFA Super Cup, and controls the prize money, regulations, and media rights to those competitions.
Henri Delaunay was the first general secretary and Ebbe Schwartz the first president. The current president is Aleksander Čeferin, a former Football Association of Slovenia president, who was elected as UEFA's seventh president at the 12th Extraordinary UEFA Congress in Athens in September 2016, and automatically became a vice-president of the world body FIFA.

View More On Wikipedia.org
  1. PSG yaifunga Real Madrid 1-0, Uefa Champions League, Messi akikosa penati

    Matokeo ya mechi za kwanza hatua ya mtoano, PSG ikianza vizuri nyumbani kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Real Madrid. Unadhani PSG wana nafasi ya kutoboa katika mchezo wa marudio na vipi kiwango cha Meddi ni kweli kinazidi kushuka au hajakaa sawa?
  2. Utabiri wangu: Fainali ya UEFA champions league ni Kati ya Liverpool vs Ajax Amsterdam

    Habari wakuu.. Kwa mwenendo huu wa Champions league Fainali ni baina ya Liverpool na Ajax .
  3. C

    UEFA Champions League Matchday 03 Analysis

    UCL FULL TIME SCORES ⬇️ AJAX 4 DORTMUND 0 INTER 3 SHERIFF 1 SHAKHTAR 0 REAL MADRID 5 PORTO 1 AC MILAN 0 PSG 3 LEIPZIG 2 ATM 2 LIVERPOOL 3 Liverpool have won a #UCL game against Atletico Madrid for the first time in their history. Fifth time lucky. 😅 Only two English teams have beaten...
  4. Uefa Nations League Final: France yabeba kombe baada ya kuifunga Spain kwa magoli 2-1

    Dakika chache zijazo, utapigwa mchezo wa Fainali ya Uefa Nations League, Spain Vs France katika dimba la San Siro pale jijini Milan, nchini Italy. Ikumbukwe hii ni fainali ya pili, baada ya ile ya kwanza mwaka 2019 ambapo Ureno ilitwaa taji hilo! Je nani kuibuka bingwa wa pili wa michuano toka...
  5. Z

    Kingamuzi cha Cannal plus

    Wadau kwa anaefahamu nawezaje kupata kingamuzi cha cannal hapa Tz na gharama zake za malipo huwa ni shi ngap
  6. Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

    Salama wakuu, Michuano ya Euro 2020 inategemewa kuanza hapo Juni 11 takribani wiki tatu kutoka sasa. Michuano hii ilitakiwa ifanyike juni mwaka jana 2020 ila ilihairishwa kutokana na Corona. Hivyo Uefa ikaamua michuano hiyo ifanyike mwaka huu lakini iendelee na jina lilelile la Uefa Euro 2020...
  7. W

    Chelsea mabingwa wapya UEFA 2020/2021

    Ni kweli mbinu za Thomas zitawasumbua makocha wengi barani Ulaya au ndo kakutana na ganda la ndizi? --- Chelsea win the Champions League with a 1-0 victory over Manchester City in Porto Credit: Alexander Hassenstein/Uefa via Getty Images Nothing less than a revolution against the Pep...
  8. M

    Kupitia mwamba Rudiger ndani ya mask machoni nawatakia Chelsea ushindi mnono usiku wa leo Uefa

    Inakuwaje wanajamvi! Namkubali sana jamaa. Kupitia yeye Chelsea itanyakuwa Uefa championship.
  9. UEFA kuiondoa sheria ya goli la ugenini

    Sheria ya goli la ugenini iliyokuwa inaipa nafasi ya kusonga mbele timu iliyofunga magoli mengi ya ugenini kwenye mashindano ya UEFA hivi karibuni itaondolewa. Sheria hiyo inayotumika kwenye mashindano ya UEFA kama Champions League, Europa League, na Europa Conference League na iliyoanza...
  10. Kwa jina la Liverpool na maajabu ya Instanbul Chelsea bingwa wa UEFA 2020-2021

    Chelsea mpoo? Fainali itapigwa jiji linaloitwa Istanbul, nchini Uturuki. Kule kwa Sultan Suleiman Khan na Shghazad Mustapha. Yes! Huko huko kwao Ertugru. Mkifika pale wanaifahamu timu moja ya England inaitwa Liverpool. Ukisema tu 'The mighty Reds' wanaacha kila kitu na kukusikiliza chochote...
  11. Manchester City kugharamia usafiri wa mashabiki wao watakaohudhuria fainali za UEFA huko jijini Porto

    Tajiri na mmiliki wa klabu ya Manchester City, Sheikh Mansour asema atagharamia gharama zote za usafiri kwa mashabiki wake watakao hudhuria fainali za UEFA huko jijini Porto, Ureno tarehe 29 mei 2021. "Pep na timu nzima wamekua na msimu mzuri kabisa na wao kufika kwenye fainali ya UEFA hasa...
  12. Fainali ya UEFA kati ya Man city dhidi ya Chelsea kupigwa Ureno

    Mchezo wa fainali ya kuwania Kombe la Klabu Bingwa Ulaya kati ya Manchester City na Chelsea utahamishiwa Ureno kutokana na UEFA na Serikali ya Uingereza kutofikia muafaka wa mchezo huo kuchezwa Wembley - UEFA ililazimika kutafuta uwanja mbadala kutokana na mlipuko wa ugonjwa #COVID19 katika nchi...
  13. Fainali ya UEFA kuchezwa Porto

    Na muafaka wafikiwa, fainali ya bingwa wa ulaya (UEFA Champions League) itachezwa jijini PORTO uko Ureno mnamo tarehe 29 may 2021. Jiji la ISTANBUL, Uturuki ndo mwanzo lilikua limepewa nafasi hii ila kulingana na changamoto ya ugonjwa wa COVID 19 imelazimika kuhamisha mashindano hayo kuepusha...
  14. Ligi ya Europa: Mbivu na mbichi za fainali kujulikana leo

    Michezo miwili ya nusu fainali ya Europa kurindima hii leo majira ya saa 4:00 usiku katika viwanja viwili tofauti ,ambapo Roma itakuwa nyumbani kuialika Manchester United huku Arsenal ikiikaribisha Villarreal Ili Roma kutinga fainali inatakiwa kushinda goli 4-0 Kwingineko Arsenal inahitaji...
  15. Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

    Habari. Hadi sasa zimebaki timu nne ambazo zitacheza hatua ya nusu fainali na ratiba: Leg 1. 27 April 2021 Tuesday Paris Saint Germain Vs Manchester City Real Madrid Vs Chelsea Leg 2. 04 May 2021 Tuesday Manchester City Vs Paris Saint-Germain Chelsea Vs Real Madrid Hapo bila kupepesa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…