Uefa Nations League Final: France yabeba kombe baada ya kuifunga Spain kwa magoli 2-1

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,714
45,103
Dakika chache zijazo, utapigwa mchezo wa Fainali ya Uefa Nations League, Spain Vs France katika dimba la San Siro pale jijini Milan, nchini Italy.

Ikumbukwe hii ni fainali ya pili, baada ya ile ya kwanza mwaka 2019 ambapo Ureno ilitwaa taji hilo!

Je nani kuibuka bingwa wa pili wa michuano toka ianzishwe? Karibuni wadau...

5E3AA735-2877-4E89-B495-500203E6D6A5.jpeg


========= Matokeo======
France 2(Benzema, Mbappe) - Spain 1 (Mikel)
 
Back
Top Bottom